Mboga itakayomwagwa na mapacha (RACHEL) ni Gavana Daudi Balali

Cha msingi naamini Mungu anatupenda na kutusikiliza na kuyajibu maombi yetu

Tuendelee kumwomba Mungu wetu kwa imani ipo siku tutafunuliwa kila k2 na watesi wetu wataachwa uchi ili kila nafsi iwashuhudie,kwa Mungu na kwa mwenye imani kila ki2 kinawezekana chini ya mbingu

Asiyejua kufa na achungulie kaburi,na mwenye kubisha akasome historia za watu na falme zao,Mobbutu,Bokhassa,Saddam,Pinocheti,Rumi.E.Russian.E.,Ottoman.E.n.k
 
SALVA Rweyemamu yule kibaka mwingine aliyepo ikulu alisema, "Serikali ikimtaka Gavana Ballali itampata kwa kuwa ina mkono mrefu." Sasa tunamtaka aje haraka ili kuja kumuokoa Kikwete na mafuriko ambayo Lowassa anayaleta. Vinginevyo utarudi Mwananyamala kwenye kijumba chako ambapo choo kiikko nje.
 
Wacha wamwage mboga na ugali,sisi tutavunja sufuria,halafu tutanunua vyombo vipya na kuwakaanga wamwagaji wote
 
wanajuana,watalindana,wanajua jinsi ya kunyamazishana........ila siri itakuja kujulikana,na wala usitegemee wao ndo watasema....ila ushahidi utapatikana na ukweli utasemwa na wengine.
 
Lowassa ni bingwa wa siasa za majitaka na ndizo zilizomuweka JK madarakani. Subiri movie tamu inakuja.
 
Ka jk feki, kanafiki sana. Haya matatizo yote ndani ya magamba, uchumi mbovu, unyonyaji, wizi wa mali za umma, uchakachuaji, chanzo chake ni kenyewe ka jk. Tuzidi kumwomba mungu, asitupe tena karais kama aka kajamaa. Mungu apishe mbali.
 
SALVA Rweyemamu yule kibaka mwingine aliyepo ikulu alisema, "Serikali ikimtaka Gavana Ballali itampata kwa kuwa ina mkono mrefu." Sasa tunamtaka aje haraka ili kuja kumuokoa Kikwete na mafuriko ambayo Lowassa anayaleta. Vinginevyo utarudi Mwananyamala kwenye kijumba chako ambapo choo kiikko nje.
Lowasa hivi karibuni limwambia mchungaji mmoja hivi karibuni CCM ni chama changu lakini ilipofikia kwa kusema mafisadi ni watatu tu ndani ya chama nitaweka wazi kila kitu akatoa mfano(1) Mikataba ya madini ni kiini macho kwani account mbili moja ni ile yaCCM inachukuwa mrahaba mkubwa na ya pili ni ile ya 3% tunayoijua.Alisema atatoa namba ya hiyo na jinsi fedha zinavyoingia(1) Inajulika Richmond ni yetu mimi na RA lakini ukweli sisi tunatumwa tu Richmond ni ya Rizwani
 
Kile kifo kinafanana kidogo na cha osama, tafakari

Leo si mmesikia Bungeni Mbunge ameuliza kama kweli huyu mtu amekufa au lah?? akaomba kama kweli amekufa basi tuonyeshwe video yake na picha za mazishi. Jibu lilikuwa halilidhishi hata kidogo.. Ndio maana mimi najikuta naunga mkono watu wanaosema huyu bwana yupo hai bila mashaka. Heri Osama kuna vipicha picha fulani vilimwagwa wakati mwili unashushwa baharini, wakeze na ma-Alqaeda leaders wenyewe wakathibitisha..Ila huyu jamaa, mmmh, changa la macho!
 
Hivi wiki leaks bado wanaendesha operation zao?


wanajuana,watalindana,wanajua jinsi ya kunyamazishana........ila siri itakuja kujulikana,na wala usitegemee wao ndo watasema....ila ushahidi utapatikana na ukweli utasemwa na wengine.
 
it sounds true...coz leo kuna mbunge kauliza swali kuhusu mafisadi....kwanini wanafifichwa na wanaogopwa..badae akasema mfano balali kwanini mpaka leo kifo chake kina utata na mazishi yake serikali haijatoa hata video yani yeye inakuaje anakuwa kama osama bin laden....waziri kajiuma mno kujibu hilo swali...kasema balali amekufa na vitu vyake vyote vimeenda!!
 
Kuna tetesi zinasambaa kwenye viunga mbali mbali kuwa kile ambacho mapacha watatu wanajidai nacho ni 'kifo' cha aliyekuwa gavana wa BOT,Balali. Inasemekana kulikuwa na makubaliano ya 'kumuua' ili kuficha skendo nyingi za EPA ikiwemo KAGODA ambayo inadaiwa ilimuingiza ikulu mkuu wa kaya na chama. Duru zinatonya kuwa Balali yupo hai akiwa anaranda na mask ya sura nyingine.Imepangwa HIVI wakitimuliwa,'atafufuliwa' na kuweka wazi kila kitu.MMMH HIVi kwa nini MAZISHI,KABURI lake etc yalikuwa siri?..TAFAKARI!
Hata kaburi la Yesu lilionekana....Iweje la Balale liwe kitendawili?
 
Kwa namna yoyote atakavyoeleza ubaya wa best yake JK bado watanzania hatutamuelewa, tutamuuliza swali moja tu ulikuwa wapi? Mbona hukusema kitambo?
Usiseme hatutamuelewa,sema sitomuelewa!mimi binafsi nitamuelewa!!
 
Inasemekana yupo Dar anajulikana kwa jina lingine kabisa ambalo lina nature ya African American. kazi kweli!
 
Back
Top Bottom