Mbinu tata: Mfanye mwanamke akufukuzie!!

DJ SEPETU

JF-Expert Member
Apr 17, 2017
8,413
12,328
Fanya mtongozo wako kwa mwanamke Wa ndoto zako uwe Wa mafanikio!

Najua wanaume wengi tunapenda kuwa na warembo ila wachache hufanikiwa!
Usiwaze leo nakupa mbinu ambazo utasahau mitoso na lugha chafu za warembo!

1. Mfanye mwanamke ajitathimini kwako!

Yes ni mzuri ila usionyeshe mfadhaiko na kukosa confidence. Inabidi ujioneshe una vigezo vyako na ana jukumu la kukulidhisha! Kumbuka warembo hutongozwa na wanaume wengi,kuwa tofauti
Mfano muulize"ni kitu gani kinakufanya tofauti na wanawake wengine?"

Hapa demu atajifaragua kwa Maelezo lukuki huku unatupia vijiswali

Unaweza ukamuuliza "sidhani kama wewe ni type yangu!
Be different

2. Tumia miondo sawa ya mwili

Mara nyingi unapomfukuzia mwanamke siku za mwanzoni huangalia pembeni! Mwanaume hupata hisia kuwa mwanamke avutiwi na wewe!

Cha kufanya ni kuiga akiangalia kando na wewe ukizungumza usimkodolee mimacho angalia kando! Mbinu hii huteka umakini na kumpa mwanamke confidence ya kutamka vitu ambavyo si kawaida kwa mwanamke!

3. Tumia sauti yenye mamlaka!
Kichekesho ni pale dume unaporemba sauti! Mfano" mambo unaendeleaje"aisee wanawake watakukimbia utaonekana mdhaifu na muhitaji.

Lakini ukitumia kama"hey! Njoo hapa,unaendeleaje itamfanya mwanamke avutiwe na wewe maana kiasili mwanamke ameumbwa kutii! Na kufuata amri!

4. Weka nafasi
Yape mazungumzo yako na mrembo nafasi!
Usiongee mfululizo ka cherehani
Ruhusu uwepo Wa ukimya unaoenda polepole!
Hii nafasi itampa mwanamke nafasi kujileta kwako kama mwana kondoo!
Atafurahi kukupa namba yake ya simu kwa kuwa anakufukuzia wewe na sio wewe unamfukuzia,baada ya kumgeuzia kibao!

IMG_20180324_125508_650.jpg
 
Wapo sio wote wapenda pochi!wengine wanajitosheleza mahitaji yao hawana vinjaa njaa!sema mwanaume unakuwa unajiongeza kwenye vigift kama choklet au biscut.kuna wanawake wavumilivu vilevile sio wote walioharibikiwa wanaoona pesa ndio kila kitu!ndo mana hamuolewi mnachoshwa mnazalishwa mnaachwa mnatanga na njia!wanawake mnanishangaza sana sababu mnapenda hela afu hamna maendeleo na kila siku mnapigwa kende.sana hizo hela mnazohongwa mnanulia midawa ya kichina mwisho wa siku unakuwa kama nyau hakuna anaekutamani hata kukusalimia.
 
'Ninaomba unitafute jioni tafadhali pale abc hotel for dinner, sababu mwenye shida ni mimi na hukua na ratiba hiyo, nimeona nisidisturb budget zako nimekurecharge airtime ya ef 10 kwa ajili ya mawasiliano, pia nimekutumia mpesa 50 kwa ajili ya Cab'. Hapo umemaliza.

Hizo ngonjera kama unatafuta mke ni kupoteza muda tu.
 
Hahaha hizi mbinu zako unawapoteza wenzio aisee
hahaha. Anajipoteza mwenyewe, siku hizi ni kuwekana wazi tu, we are just having fun na ushkaji uendelee shida yoyote tell me as friends. Uwaze magufuli kazuia mazao nje, ufikirie na kutongoza tena.
 
Upotoshaji mkubwa sio kila mwanamke ametanguliza pesa mbele wapo wengi tu ambao hivyo unavyovitaja sio mahitaji yao kwa sasa sababu vipo tangu babu zao!
Hapa nakubaliana na ww,ambao wanaongozwa na hela weng hua wanakwama na mwsho baada ya kuyumika sana huambilia ndoa kwa mwanaume yyte anaekujja kwake
 
'Ninaomba unitafute jioni tafadhali pale abc hotel for dinner, sababu mwenye shida ni mimi na hukua na ratiba hiyo, nimeona nisidisturb budget zako nimekurecharge airtime ya ef 10 kwa ajili ya mawasiliano, pia nimekutumia mpesa 50 kwa ajili ya Cab'. Hapo umemaliza.

Hizo ngonjera kama unatafuta mke ni kupoteza muda tu.
Utapigwa sana ww na madem wa badoo,kwake kumtumia hela ndo kwa heri
 
Back
Top Bottom