Mbinu za kumfanya mwanamke akufukuzie bila ya kumwambia, au ukidondosha vocal asichomoe.

plan z

JF-Expert Member
Jun 10, 2019
1,389
1,419
Naanza moja kwa moja kama kichwa kinavyojieleza. Kumekuwa na changamoto kwa wanaume hasa kwenye idara hii nyeti ya kumpata yule aliyeuteka moyo wako, wengi wamekuwa wakifeli, sasa leo nimewajia na mbinu hizi kali ambazo zitakusaidia.

1. Usimwonyeshe unampenda sana.

Wanaume wengi wamezoea kumwonyesha mwanamke wanayemtaka kwamba wanamjali sana ili waweze kukubaliwa, hii inapelekea yeye kuchagua anayemtaka na kuwapotezea wasiowataka . Hivyo inatakiwa umwonyeshe haupo kwa lengo la kumtaka, hapa utajichukulia points na kuonekana wa tofauti kwa sababu wengine wanamsumbua na wewe haumsumbui.

2. Be yourself.

Wanaume wengi wanaficha tabia zao halisi wakati wa kumfukuzia mwanamke. Jionyeshe halisi wewe ni nani na misimamo yako ni ipi, wakati mwingine useme HAPANA.

3. Usiwe rafiki sana.

Usijenge sana ukaribu wa kupitiliza itamfanya akuzoee na utakosa mvuto kwake, jenga ukaribu wa kawaida huku ukiendelea na shughuli zako zingine.

4. Mfanye awe na wivu.

Kuwa mkarimu kwa wanawake wengine isipokuwa kwake tu, hii itamfanya yeye kujiuliza maswali mengi labda ana kasoro gani na atajaribu kufanya kila njia ili akuvutie.

5. Usitabirike.

Wakati mwingine mwahidi utampigia saa kumi lakini mpigie baada ya masaa matatu.

6. Mfanye ajisikie mpweke.

Wakati mwingine jenga naye ukaribu sana then piga kimya, atajiuliza uko wapi unafanya nini mbona umekuwa kimya, atazidi kuvutiwa na wewe.

7. Kuwa mtawala.

Kuwa kiongozi, panga ratiba pia mchagulie sehemu ya kukaa yani sio yeye apange kila kitu.

8. Kuwa msiri.

Wakati mwingine unapokutana na mwanamke na wewe ni fundi ujenzi, akakuuliza unafanya kazi usipende kujiweka wazi sana, mwambie tu natengeneza vitu vya hapa na pale then atajionea mwenyewe.

9. Jiamini.

Vaa vizuri uwe mtanashati pia jiamini. Kujiamini ndo siri ya mafanikio kwa hilo uliloazimia. Ukidondosha vocal dondosha kwa kujiamini utakuja kunishukuru.

Dondosheni mbinu zingine hapo kwenye comment.
Wengine tiririka na video hapa chini

Mkuu acha kupotosha watu. MWANAMKE MPE HELA TU, hata kama hajakuomba we mpe tu
 
Kama huna pesa hizo ni kelele kama kelele zingine..maisha yamebadilika jifunze kuutambua wakati tulio nao.
Pesa na ngono ni sehemu ndogo sana kwenye mapenzi . Unaweza kuwa na pesa na ni mzuri kitandani lakini ukaachwa au ukagongewa. Mapenzi ni upendo na uaminifu vikikosekana hivi hautatamani kuwa na mwanamke hata kama ungekuwa na pesa kiasi gani.
 
Nilishaachaga zamani sana hizo hatu baada ya kuona mambo yanazidi kuwa magumu kupata demu
 
tupe mbinu za kusaka pesa Mkuu
 
Pesa na ngono ni sehemu ndogo sana kwenye mapenzi . Unaweza kuwa na pesa na ni mzuri kitandani lakini ukaachwa au ukagongewa. Mapenzi ni upendo na uaminifu vikikosekana hivi hautatamani kuwa na mwanamke hata kama ungekuwa na pesa kiasi gani.
So bora kipi..mana ukikosa pesa utachapiwa vzr tu
 
Back
Top Bottom