Mbinu kali za kibaharia za kumuumiza adui au mbaya wako

hapa mbinu ya kininja ni kutoka na mama wa adui kimapenzi lazima ushindi lazima na utaitwa baba
 
1. Alichonga mchongo wa kunifilisi, Nikamtengenezea kesi feki akapambana na jamuhuri, kahonga mpk kafilisika na Anaweza kutoka 2026 kwa possibility parole.

2. Aliniumizia mzazi maksudi kabisa, Nikamchomea gari&nyumba akidhan Ni ajali ya moto. Bado kisasi chake kingine kinaendelea

3. Tuligombea mwanamke, Kwa jeur ya pesa akamchukua. Mungu sio athuman alipofilisika Nilimgongea dada yake,mke wake na Mchepuko wake kwa vipind tofauti tofaut. Afu baadae tukasameheana hajui mpk leo.

4. Tuligombea mwanamke, akakaza shingo. Nilimhamisha kikazi akapelekwa mkoani uko kushoto kabisa mwa tanzania.
Alipozidisha jeuri nikamtumia ushahidi kua mm ndo nmemhamisha, akizd Ujinga na Kaz namharibia kabisa akarud kusin akalime korosho. Aliomba radhi, Sasa tumekua marafiki sn.

5. Alinisingizia mimba kusudi.
nilimpa dawa za kuitoa bila yeye kujua. Akaja kustuka anablid, Aliumwa sn almanusura afe. Nikamwambia usipokiri kosa nakuacha ufe. Alipokiri nikamtibia na baada ya hapo tukaachana.

6. At teenage, 17yrs
Alikua anatoka na Mimi na rafki yangu.
Afu kila mmoja anasema anampenda sana
Kisasi chake mi na Jamaa yangu tukamuitia jamaa wengine wawili tukampiga gangbang ya mtu 4 kwa 1

7.
 
We jamaa inaonekana una maadui wengi kuliko hawa wale maadui watatu wa TAIFA.

Hao woote umefanikiwa kuwalipizia? Inaonekana wanakuonea sana mpka unapata maadui wengi au basi ni watu wachache tu hapo ila umewalipizia visasi vya kutosha?

Mi hudhai kwamba, adui ili aumie ni lazima umguse yeye na si kuwatumia watu wengine kama chambo, maana utakuwa unajiumiza ww mwenyewe ili kumuumiza mtu ambaye sometime hata hana muda na wew ama awezi kuumia kama udhanivyo, kibaya zaidi huyo unaemtumia kama chambo huoni kama nae unamuingiza ugomvi usiomuhusu? Pia huoni kama ni ubinafsi kudate na mtu bila mapenzi ya dhati ila kwa lengo la kumtumia tu? Acha ubinafsi, kisasi kizuri ni kile kinachomgusa muhusika.

Akizingua mfuate yeye binafsi, ukiwahusisha wengine hapo utajiwekea nawewe negative chance ya kulipizwa kisasi na hao unaowatumia kama chambo, namaanisha Cycle yenu ya visasi itadumu milele vizazi na vizazi maana utahusisha hata wasiostahili, hao wakija kugundua nao wakifanya mchezo kama wako unadhani kuna kumaliza leo hiyo childish game?

Azam Tv channel ya Azam two kuna tamthilia inakaribia kumaliza mwaka haiishi matukio kila siku mapya ya visasi, inaitwa REVENGE inataka kufanana na wewe, na hiyo tabia ndio inasababisha hii tamthilia haiishi na sidhani kama itaisha hivi karibuni.

Mfuate muhusika na umzingue yeye binafsi.
 
Usikubali kushindwa kirahisi, Maisha ni vita nianze namna hii. Katika harakati zangu za kupigana vita mbalimbali hasa katika jamii nyingi za kuonewa na kudhulumiwa, ilinifanya nifikirie sana namna ya kulipa visasi kwa namna mbalimbali mfano nimeshaitumia mbinu hii mtambuka.

1. Kutoka kimapenzi na mke wa adui nilivunja ndoa kbsa.
2. Kutoka kimapenzi na Mtoto wa adui yangu nikashinda zaidi.
3. kutoka kimapenzi na mdogo au Dada wa Adui yangu nilishinda vibaya sana.
4. Kutoka kimapenzi na Mpenzi au Mchumba wa Adui yangu hapa nilishinda knock out.
5. Kutoka kimapenzi na jirani wa Adui yangu nikipata ushindi wa cap historically.
6. Kutoka kimapenzi na Mfanyakazi wa Adui yangu hapa nilimdharirisha sana.
7. Kutoka kimapenzi na wanafunzi wa maadui zangu hapa nilishinda hadi vita mpya zote.
8. Kutoka kimapenzi na best au rafiki wa Adui yangu hapa niliua pande zote.
9. Kutoka kimapenzi na Mama mdogo, Shangazi na mamkubwa wa Adui nilifanya maajabu ya kupigiwa magoti na abc kadhaa.

Ongezeni mbinu zenu za kimedani za ubaharia na nyie
Naishia hapa maana orodha ni ndefu ntarudi kwenye comments.

Wadiz a.k.a Master of The Eagle Craw.
Jesus!!yaani umalaya ndio mbinu!?
Hii mbinu,ni kwa kada ya chini ya watu,akili ndogo sana.
Jamaa yangu alikuwa na kampuni,akawa na tender kubwa sana kuifanyia kazi kampuni nyingine.
Hii kampuni nyingine,manager wake,kijana mdogo tu,akaleta figisu sana kwa jamaa yangu,akitaka kampuni ya jamaa yangu,ipigwe faini kwa kutotekeleza tender vzr,jamaa yangu akaona isiwe shida,hawezi kubembelezs,akapiga chini tender,akapunguza wafanyakazi,miaka saba baadae,akapata tender nyingine,akaongeza wafanyakazi,akafungua na kampuni nyingine mbili!!
Yule dogo aliyemletea figisu,Bado ni muajiliwa mpaka leo!!
 
Usikubali kushindwa kirahisi, Maisha ni vita nianze namna hii. Katika harakati zangu za kupigana vita mbalimbali hasa katika jamii nyingi za kuonewa na kudhulumiwa, ilinifanya nifikirie sana namna ya kulipa visasi kwa namna mbalimbali mfano nimeshaitumia mbinu hii mtambuka.

1. Kutoka kimapenzi na mke wa adui nilivunja ndoa kbsa.
2. Kutoka kimapenzi na Mtoto wa adui yangu nikashinda zaidi.
3. kutoka kimapenzi na mdogo au Dada wa Adui yangu nilishinda vibaya sana.
4. Kutoka kimapenzi na Mpenzi au Mchumba wa Adui yangu hapa nilishinda knock out.
5. Kutoka kimapenzi na jirani wa Adui yangu nikipata ushindi wa cap historically.
6. Kutoka kimapenzi na Mfanyakazi wa Adui yangu hapa nilimdharirisha sana.
7. Kutoka kimapenzi na wanafunzi wa maadui zangu hapa nilishinda hadi vita mpya zote.
8. Kutoka kimapenzi na best au rafiki wa Adui yangu hapa niliua pande zote.
9. Kutoka kimapenzi na Mama mdogo, Shangazi na mamkubwa wa Adui nilifanya maajabu ya kupigiwa magoti na abc kadhaa.

Ongezeni mbinu zenu za kimedani za ubaharia na nyie
Naishia hapa maana orodha ni ndefu ntarudi kwenye comments.

Wadiz a.k.a Master of The Eagle Craw.
Me nkajua mwanaume, Mwanaume kweli kumbe kidude mcharuko cha mapenzi
 
Naona mkitambiana uchawi 😅😅😅

Je, mna hakika hao wote mnaowatendea hayo wamewakosea kweli au ni ile hali ya kichawi tu inaibuka ndani yenu?
Hata kama wamewakosea mna hakika hamkuwa sababu/chanzo cha nyinyi kukosewa?
Ni nadra sana mwanaadamu mwenye shughuli zake zinazomuweka bize kuweza kulipa visasi vingi nmna hii.
Kwanza ni ngumu mtu mwenye kipato cha kati au cha juu kutenga muda wake na hela kwaajili ya kulipa visasi vingi nmna hii huku faida yake ikiwa ni kuburudisha moyo wake. Na ukiona wewe ni mtu wa kulipa visasi sana ujue wewe ndio mkosaji.
Ukiona unapata muda wa kutenga hela kwaajili ya kuumiza wengine ili tu kujifurahisha na sii kupata faida kwenye shughuli zako, basi moja kwa moja wewe ni masikini mbaya au ni masikini mtarajiwa.

Eti ooh tunguli yangu ni kubwa kuliko yako, eti ohh hii tunguli yangu nilichanjwa makalio ndio nikapewa,
Mara ooh mimi tunguli yangu inapumua.

Nyinyi mnadhani hao mnaowatendea ubaya kiasi hicho wamekaa tu kuwatazama kama cinema? Unaweza kujisifia umalaya kumbe ulimkomoa mtu kwa kulala nae kimapenzi au kulala na mke wa mtu nae akakulogea humohumo ili kipato chako kiishie kwenye umalaya.
 
Hakuna ubaharia hapo. Yaani ushindane na mtu ambaye amekuzidi kufikiria na maarifa?!
 
Hakuna ubaharia hapo. Yaani ushindane na mtu ambaye amekuzidi kufikiria na maarifa?!
Sijataka kuwaumiza zaidi kimaandishi maana ningetimiza maudhui nilichofanya ni genocide mengine sijaweka. Tahadhsri usifanye dhuluma wa kuonea mtu utapata amani muda wote.
 
Usikubali kushindwa kirahisi, Maisha ni vita nianze namna hii. Katika harakati zangu za kupigana vita mbalimbali hasa katika jamii nyingi za kuonewa na kudhulumiwa, ilinifanya nifikirie sana namna ya kulipa visasi kwa namna mbalimbali mfano nimeshaitumia mbinu hii mtambuka.

1. Kutoka kimapenzi na mke wa adui nilivunja ndoa kbsa.
2. Kutoka kimapenzi na Mtoto wa adui yangu nikashinda zaidi.
3. kutoka kimapenzi na mdogo au Dada wa Adui yangu nilishinda vibaya sana.
4. Kutoka kimapenzi na Mpenzi au Mchumba wa Adui yangu hapa nilishinda knock out.
5. Kutoka kimapenzi na jirani wa Adui yangu nikipata ushindi wa cap historically.
6. Kutoka kimapenzi na Mfanyakazi wa Adui yangu hapa nilimdharirisha sana.
7. Kutoka kimapenzi na wanafunzi wa maadui zangu hapa nilishinda hadi vita mpya zote.
8. Kutoka kimapenzi na best au rafiki wa Adui yangu hapa niliua pande zote.
9. Kutoka kimapenzi na Mama mdogo, Shangazi na mamkubwa wa Adui nilifanya maajabu ya kupigiwa magoti na abc kadhaa.

Ongezeni mbinu zenu za kimedani za ubaharia na nyie
Naishia hapa maana orodha ni ndefu ntarudi kwenye comments.

Wadiz a.k.a Master of The Eagle Craw.
Lipa watu pesa wakamfanyizie ila hakikisha wanakaa maeneo mbali na hapo.

Muwekee sumu inayomaliza taratibu .
 
Mbinu za kupambana na adui yako ni kumpa mawazo ya kisaikojia,,

Nlikuwa na ugomvi na Jirani yangu mmoja,,hatuna salamu wala kusemeshana ,,sio yeye wala jamaa zake humo nyumbani kwake,

Siku nikasema ngoja nimpe jamaa mawazo ya kisaikojia..

Nikaleta mafundi pale home wakawa wanapima eneo lililobaki najenga apartment za kupangisha.

Tukawa tunaongea Kwa sauti jinsi kufanya Ujenzi wa hizo apartment.

Mafundi wakaanza kupima na kuweka tathimini ya Ujenzi..
Ilikuwa heka heka tupu muda huo,

Jirani walitoka nyumba nzima wanashangaa.,,
nikajifanya kama siwajali.
Jamaa alikuwa na dada zake warembo kweli kweli,
Pisi kali haswa.

Baadae nikaleta mchanga gari 2 pamoja na kokoto.
Kwamba naanza Ujenzi siku ile,,,

Jirani alikonda sn kwa mawazo hana raha week nzima...
Baadae nikasema kibali cha Ujenzi kinasumbuwa.,

Nikaamua kujenga ukuta tu...
Nitamaliza apartments baadae,

Mbinu yangu hii ilifanikiwa 100%,,
Kwani dada zake jamaa na mkewe walianza ukaribu na Mimi..
Kwa kujuwa nina kibunda kikubwa cha noti kimenitembelea.

Wakaanza Mara salamu ,,
mara tabasamu ,,
Nikajitafunia papuchi mkewe jirani ,
na dada zake 2..bila kujuwana....
Kama jamaa ana ngoma.na wewe umeipata ngoma.
 
Acha ubinafsi, kisasi kizuri ni kile kinachomgusa muhusika.
Kwenye Prison Break, mhusika mkuu Michael Scofield alikuwa anabeba maumivu yote ya kudhuriwa mwili wake kama starehe tu ila alikuwa hawezi kuvumilia kama jambo litafanywa dhidi ya kaka yake (Lincoln) au demu wake Michael (Sara). T Bag akagundua kuwa njia pekee ya kumuumiza Michael ni kuwaumiza watu anaowapenda
 
Usikubali kushindwa kirahisi, Maisha ni vita nianze namna hii. Katika harakati zangu za kupigana vita mbalimbali hasa katika jamii nyingi za kuonewa na kudhulumiwa, ilinifanya nifikirie sana namna ya kulipa visasi kwa namna mbalimbali mfano nimeshaitumia mbinu hii mtambuka.

1. Kutoka kimapenzi na mke wa adui nilivunja ndoa kbsa.
2. Kutoka kimapenzi na Mtoto wa adui yangu nikashinda zaidi.
3. kutoka kimapenzi na mdogo au Dada wa Adui yangu nilishinda vibaya sana.
4. Kutoka kimapenzi na Mpenzi au Mchumba wa Adui yangu hapa nilishinda knock out.
5. Kutoka kimapenzi na jirani wa Adui yangu nikipata ushindi wa cap historically.
6. Kutoka kimapenzi na Mfanyakazi wa Adui yangu hapa nilimdharirisha sana.
7. Kutoka kimapenzi na wanafunzi wa maadui zangu hapa nilishinda hadi vita mpya zote.
8. Kutoka kimapenzi na best au rafiki wa Adui yangu hapa niliua pande zote.
9. Kutoka kimapenzi na Mama mdogo, Shangazi na mamkubwa wa Adui nilifanya maajabu ya kupigiwa magoti na abc kadhaa.

Ongezeni mbinu zenu za kimedani za ubaharia na nyie
Naishia hapa maana orodha ni ndefu ntarudi kwenye comments.

Wadiz a.k.a Master of The Eagle Craw.
We ndo fala kabisa. Visasi vyako vyote ni mapenzi mapenzi tu! Na ngoma lazima unayo wewe, hufai!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom