Mbinu gani nitumie ili niweze kufaulu Advanced Mathematics

Amani iwe nanyi viongozi.

Kwa wale wakongwe wa Pure Mathematics, naomba mtuweke wazi juu ya mbinu za kuimudu na kufaulu Advanced Mathematics Katika michakato mizima ya kusoma ili nasi tutoe mabanda kama wengi wenu mlivyofanya.

Mnakaribishwa viongozi.
Naiheshimu sana hesabu (whether advance or olevel), ingawa sijawahi kufeli hesabu, ila naujua mziki wake..!
 
Amani iwe nanyi viongozi.

Kwa wale wakongwe wa Pure Mathematics, naomba mtuweke wazi juu ya mbinu za kuimudu na kufaulu Advanced Mathematics Katika michakato mizima ya kusoma ili nasi tutoe mabanda kama wengi wenu mlivyofanya.

Mnakaribishwa viongozi.


Acha hauwezi kufaulu, hiyo ni ngumu sana kwako!
 
Hisabati, moja kati ya masomo mazuri kabisa na halina longolongo. Ukifuata principles utalifaulu bila wasi.

Unachohitajika, pia unaweza soma kwa strategy Tafuta sylabus, chagua topic of your choice komaa nazo down to earth. Hizo nyingine just soma tuu kupata idea. Na katika kusoma kwako, hakikisha unaelewa concept from ground, hii itakuwezesha kusolve maswali mapya. Ila ukisoma kwa kukariri, likija swali jipya asilimia za kukosa hilo swali ni kubwa.

Hii ni recomended strategy ya mtu ambaye muda haupo upande wake.

NB: Kama unasoma combinations zenye Physics ndani yake. Aisee, weka efforts kubwa katika Physics. Huyu jamaa ni kitu kingine aisee. Binafsi huyu jamaa Physics namuheshimu kupita maelezo. Maana kufaulu kwako katika Physics kunahitaji huruma ya mtunga mtihani/Necta.
 
Nifate dm nna namba ya mtaalam yan ww hamna haja ya kwenda hata Prepo unatulia tu dom unalala unayaota wanayosoma wenzako ww unameza tu
 
Siku zote huwa natoa ushuhuda wa dada fulani nilisoma nae Olevel alikua hajui hesabu(naona niseme hivo) mtihani wa necta alipata F hesabu, hadi form 3 alikua kilaza wa hesabu yeye ni D, ile form 3 mwishoni alikuja mwalimu mpya akawa antoa mitihani na kufundisha yule binti alikomaa na hesabu mpaka mwisho NECTA form 4 alipata B, ndipo nikaamini hakuna mtu asie na akili dunia HII.

Hata wewe soma tu komaa kwa nguvu zako zote


N.B. Usitishwe na wasolve hesabu wa shuleni kwako halafu MASWALI MAGUMU UTAKUTANA NAYO KWENYE MTIHANI (Hii ilikua principle yangu)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom