ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 44,087
- 50,785
Baada ya kubanwa,mafisadi wamekuja na mbinu Mpya.
Huko Mbinga Polisi Kwa Kushirikiana na Takukuru wanamsaka Daktari ambae alimuwekea POP Injinia wa Wilaya ambae Anaetuhumiwa Kwa wizi wa Fedha za Umma Ili kuwapoteza ionekane ni mgonjwa na atoroke.
Wasamalia wema wanaombea kutoa ushirikiano Ili watuhimiwa wapatikane na wakajibu tuhuma zinazowakabili.
Na nyie Serikali punguzeni Kodi na Utitiri wa makato kwenye Mishahara ya Watumishi wa Umma walaui iwe 4%.
View: https://www.instagram.com/p/C1WgSgLNANA/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==
Angalizo
Watumishi wa Umma wa miaka ya Sasa ni majizi tupu.