Mbinga: Polisi & Takukuru zinamsaka Daktari aliyemuwekea POP Injinia wa Wilaya Anaetuhumiwa Kwa Wizi Ili Kupoteza Ushahidi.

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,076
49,785
Baada ya kubanwa,mafisadi wamekuja na mbinu Mpya.

Huko Mbinga Polisi Kwa Kushirikiana na Takukuru wanamsaka Daktari ambae alimuwekea POP Injinia wa Wilaya ambae Anaetuhumiwa Kwa wizi wa Fedha za Umma Ili kuwapoteza ionekane ni mgonjwa na atoroke.

Wasamalia wema wanaombea kutoa ushirikiano Ili watuhimiwa wapatikane na wakajibu tuhuma zinazowakabili.

Na nyie Serikali punguzeni Kodi na Utitiri wa makato kwenye Mishahara ya Watumishi wa Umma walaui iwe 4%.

View: https://www.instagram.com/p/C1WgSgLNANA/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==

Angalizo
Watumishi wa Umma wa miaka ya Sasa ni majizi tupu.
 
Kitumbua kimelamba mchanga 🤠,
 
Tupe jina la huyo Engineer
 
Nadhani viongozi ndiyo wezi wateule wa Rais, hakuna mtu anaweza kupitia pesa bila boss wake DED/DAS/RAS/GD/KM/Waziri n.k
 
Baada ya kubanwa,mafisadi wamekuja na mbinu Mpya.

Huko Mbinga Polisi Kwa Kushirikiana na Takukuru wanamsaka Daktari ambae alimuwekea POP Injinia wa Wilaya ambae Anaetuhumiwa Kwa wizi wa Fedha za Umma Ili kuwapoteza ionekane ni mgonjwa na atoroke.

Wasamalia wema wanaombea kutoa ushirikiano Ili watuhimiwa wapatikane na wakajibu tuhuma zinazowakabili.

Na nyie Serikali punguzeni Kodi na Utitiri wa makato kwenye Mishahara ya Watumishi wa Umma walaui iwe 4%.

View: https://www.instagram.com/p/C1WgSgLNANA/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==

Angalizo
Watumishi wa Umma wa miaka ya Sasa ni majizi tupu.

Vijidagaa hivyo, mafisadi papa yanabadilishwa wizara na kutembea ubavuni na mama!
 
Serikali ijitahidi kuweka Wakurugenzi wa Halmashauri na wakuu wa Wilaya wenye sauti zenye mamlaka, angalau huyo RC mwanajeshi anaonyesha sauti ya uongozi yenye mamlaka.
 
Baada ya kubanwa,mafisadi wamekuja na mbinu Mpya.

Huko Mbinga Polisi Kwa Kushirikiana na Takukuru wanamsaka Daktari ambae alimuwekea POP Injinia wa Wilaya ambae Anaetuhumiwa Kwa wizi wa Fedha za Umma Ili kuwapoteza ionekane ni mgonjwa na atoroke.

Wasamalia wema wanaombea kutoa ushirikiano Ili watuhimiwa wapatikane na wakajibu tuhuma zinazowakabili.

View: https://www.instagram.com/p/C1WgSgLNANA/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==

Angalizo
Watumishi wa Umma wa miaka ya Sasa ni majizi tupu.

Naona kizunguzungu sababu nashindwa kuelewa uhusiano kati ya POP na kushtakiwa.
 
Sasa kosa la dokta ni lipi? Je skuizi mtuhumiwa akifungwa POP. Inazuia kushtakiwa?
 
Kwani ukiwa watuhumiwa kwa wizi huwezi wekwa POP? Nguvu nyingine tunazipeleka kusiko. Deal na chanzo kwanza, achana ba POP.
 
Back
Top Bottom