Mbeya yachafuka polisi wapambana na wamachinga

habari nilizozipata hv punde kutoka kwa mfanyakazi mwenzangu huko mbeya ni kuwa fujo ni nyingi kiasi cha kwamba imebidi jeshi liitwe kuongeza nguvu kwani jamaa walijiandaa toka jana wakijua lazima ffu wangekuja kwa hio mziki wa mbeya ni mzito sana walikwenda ffu wapi magereza wakajaribu coz walikuwa karibu wapi kandoro kaomba msaada toka jeshini fujo zimeanza saa1 asubuhi mpaka sasa ndo zinazidi kusambaa maeneo mengine nackia huko jamani hali ni mbaya sana wazee wa kupiga nondo wako ngagari
 
Noambeni rasmi mtu anayefahamiana na JK amuombe anipe majukumu ya kuwa mshauri wake wa kisiasa! Ninaamini nina hekima kuliko waliopo kwa kweli.

Unless......

Kamtafute kwenye facebook, yupo anacheka wakati raia wanalia.
 
Watakuwa wamfeanya kosa kubwa sana kama wameamua kutumia jeshi liwasaidie polis.....huilo kosa alilifanya Mubarak
 
Mwenzenu anafurahia maafa na mauaji kwani analipa kafara kwa freemason na mambo yanakwenda bamubamu
 
Tafadhali wewe unayeripoti uko wapi na kama mambo ndio hayo basi wajue peoples power iko kazini. umesikia au umeambiwa
tafadhali tuambie sisi tunasubiri.
 
Back
Top Bottom