Mbeya: Wilaya ya Kyela sasa yatandikwa lami kila kona

Mwanongwa

Senior Member
Feb 15, 2023
169
198
Halmashauri ya wilaya ya kyela imeanza ujenzi wa barabara za mitaa kwa kiwango cha lami.

Barabara hizo tayari zimaenza kujengwa na zinatarajiwa kukamilika mnamo mwezi wa saba.

Wilaya ya Kyela ni miongoni mwa wilaya ambazo zilikuwa na miundombinu mibovu kwa muda mrefu .

Kutengenezwa kwa barabara hizo kutasaidia kurahisisha usafiri ndani ya wilaya hiyo pamoja na mji kuwa kwenye hari ya kupendeza.
IMG-20230412-WA0146.jpg
IMG-20230412-WA0145.jpg
 
Halmashauri ya wilaya ya kyela imeanza ujenzi wa barabara za mitaa kwa kiwango cha rami.

Barabara hizo tayari zimaenza kujengwa na zinatarajiwa kukamilika mnamo mwezi wa saba.

Wilaya ya Kyela ni miongoni mwa wilaya ambazo zilikuwa na miundombinu mibovu kwa muda mrefu .

Kutengenezwa kwa barabara hizo kutasaidia kurahisisha usafiri ndani ya wilaya hiyo pamoja na mji kuwa kwenye hari ya kupendeza.View attachment 2585750View attachment 2585751
Ndaga Mwanongwa.
 
Back
Top Bottom