mbeya nataka kitimoto

Mwee umenikumbusha kitimoto cha Mbeya kitamu saaaaaaaaaaaaaaaaaaana. Mbona vipo kila mahali huko si unajua huko ndo waanzilishi wa huyo mdudu na wanampenda san tena bei rahisi sio kama Dar.
 
Apart from SAE pia enzi zile nilishawai gonga Mdudu Savoir maeneo ya mafiati apo kama unashuka kwenda town upande wa kushoto baada ya kituo cha daladala.
Nondo kuwa makini nazo kila interval daka tax kama una private car ni vyema!

Yes, pale Savoy Resort eneo la Mafiat (sio mbali kutoka Mbeya Carnival) pana kitimoto safi sana, nadhani panamfaa kijana wetu. Lakini pia maeneo ya Mwanjelwa (Blue House) pana kitimoto mitaa ile, napo patamfaa. Lakini kijana angekuwa na muda mzuri, vitimoto vya nguvu vipo Uyole (Big Jombas) na Bar za jirani, wale ni balaa

wakuu,jana kwa kuogopa kupigwa nondo mbele ya mkwe tukatafuta eneo la karibu tukala,kesho alhamis nitakuwa pekeyangu!ijumaa alfajiri narudi arusha

sasa hivi nipo chunya,mkwajuni!baba mkwe wangu amezaliwa eneo linaitwa karungu!ndio nimeletwa ukweni for the first time
 
asante mkuu,so far kuna mwana-jf mmoja anaitwa gwakisa tutamshughulikia MBUZI MKUBWA pamoja naye maeneo ya nzovwe kesho jioni!karibu mkuu!
 
Mkuu Mc Tilly Chizenga sasa watakutafuta....waliogopa kukujoin ukiwa na mkwe wako.....kila la heri
wakuu,jana kwa kuogopa kupigwa nondo mbele ya mkwe tukatafuta eneo la karibu tukala,kesho alhamis nitakuwa pekeyangu!ijumaa alfajiri narudi arusha

sasa hivi nipo chunya,mkwajuni!baba mkwe wangu amezaliwa eneo linaitwa karungu!ndio nimeletwa ukweni for the first time
 
Last edited by a moderator:
wakuu,jana kwa kuogopa kupigwa nondo mbele ya mkwe tukatafuta eneo la karibu tukala,kesho alhamis nitakuwa pekeyangu!ijumaa alfajiri narudi arusha

sasa hivi nipo chunya,mkwajuni!baba mkwe wangu amezaliwa eneo linaitwa karungu!ndio nimeletwa ukweni for the first time

Teh teh teh. Kumbe umenasa Mbeya? Hongera sana man
 
duuh umepata mambo ya kitinchomee siku ingine kabla hujaenda nishtue mapema mi ntakupa company namna hii noma,niunganishe basi na shemeji?
 
wakuu,nilipofika mkwajuni nikaenda kula last born hotel,nilivyoenda toilet simu ikaanguka ikatumbukia chooni,choo kiko kama cha kuvuta kumbe ndani cha shimo bana,so nikakosa mawasiliano,though mjanja mmoja alishachukua namba yangu ya simu nyingine niliyotupia hapa tukawa tunawasiliana tukaenda kumuadhibu MBUZI MKUBWA kwenye bar moja inaitwa PEOPLE'S BAR

Nakushukuru ndugu yangu uliyojitokeza tukawa pamoja,jamaa kafurahia stori kali toka kwa baba mkwe!kwa sababu za kiitelijensia sitataja jf id name yake labda aje ataje mwenyewe
 
jina lako mwenyewe unaitwa bulldoza halafu nikupe shemeji yangu tena?una bahati sana nilitaka nikuandalie baamedi mmoja anaitwa tutindaga nikudanganye ndio shemeji yangu!huyo tuti balaa ungerudi kwenu na kandambili za guest na bukta la kuazima!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom