mbeya nataka kitimoto

Mc Tilly Chizenga

JF-Expert Member
Feb 7, 2012
4,641
3,675
wana mmu wa mbeya!nimeingia mbeya sekunde hii,nipo hapa fm guest house!

naomba mwenyeji ajitokeze atupeleke sehemu yenye kitimoto ya ukweli ya kuchoma!nasisitiza kitimoto ya kuchoma first priority!nikikosa mwenyeji nitakuwa mbeya carnival kula manyama choma!namba hiyo wenyeji-0715348782

N.B samahani kama nitakwaza watu,na prefer kampani ya masela,kama ni mdada jihakiki kwamba you are real decent woman!niko na baba mkwe wangu na shemeji yangu sitaki kuaibishana!LOL!
 
Kazi kwelikweli kwahiyo unataka mtu aje hapo akupeleke kwenye kitimoto? Si uwaulize hao wahudumu wa guest wakupe direction
 
Kazi kwelikweli kwahiyo unataka mtu aje hapo akupeleke kwenye kitimoto? Si uwaulize hao wahudumu wa guest wakupe direction

mkuu,nimetupia namba hapo pia,awe mwenyeji atupe kampani,mambo ya bili atuachie tule tunywe tufahamiane,ndio undugu wenyewe na wewe mwenyewe si unajua undugu.... haya malizia
 
Basi ungenyuti tu siku ukiwa haupo na baba mkwe utoke ukiwa free. Mambo ya kuweka masharti kama unatuma maombi ya kazi hayana maana.

Mi nipo Mbeya ila ni sela sana kwa hiyo naogopa kukubore.
 
Basi ungenyuti tu siku ukiwa haupo na baba mkwe utoke ukiwa free. Mambo ya kuweka masharti kama unatuma maombi ya kazi hayana maana.

Mi nipo Mbeya ila ni sela sana kwa hiyo naogopa kukubore.

Losambo!ipo simple tu!masela haina noma!tatizo mdada mpaka nianze kunyoosha maelezo kwa mdingi hailipi,remember i marry her daughter!msela hata uweje poa tu!need your company bro!pm me ur number niende hewani!au kama upo karibu mitaa hii ya guest nishtue!naweza nikawa nimepresent issue vibaya lakini ujumbe wangu mkuu ni kampani yako!cheers
 
fanya hivi sasa, nenda bar yeyote hapo them toa mchongo raia watakuja tu......lakini kukaa na washua mwanangu u must be very decent alaf kwa ujana sio ishu while unatakiwa ujiachie
 
fanya hivi sasa, nenda bar yeyote hapo them toa mchongo raia watakuja tu......lakini kukaa na washua mwanangu u must be very decent alaf kwa ujana sio ishu while unatakiwa ujiachie

mkuu!huyu mshua wangu ni noma kwa stori mi mwenyewe cha mtoto!dk 2 tu japo mi ndio nimeku-invite atakuwa mshkaji wako kuliko mimi!

baa ipi sasa twende nitakuta hiyo bidhaa!muda unayoyoma!
 
Mbona hunajitangaza upo wapi, ambaye angekupigia si ungemwambia simuni. Au haugopi kuibiwa as weye mgeni?
 
Mbona hunajitangaza upo wapi, ambaye angekupigia si ungemwambia simuni. Au haugopi kuibiwa as weye mgeni?

nina cha kuibiwa sasa?shingoni nimevaa rozari,saa mkononi sina,pocket money mpesa na tigopesa,cash 5700!begi lina jeans 2,taulo,mswaki,tsheti 2,vest na boxer ya man utd!simu ya elf 45,imevunjika screen na nyingine ya bei rahisi ndio naperuzi jf!

btw,kila sehemu in this country mi ni nyumbani tu!
 
kitimoto choma ina minyoo aina Taenia saginata ambayo ni vigumu sana kuitibu,huogopi?
 
Apart from SAE pia enzi zile nilishawai gonga Mdudu Savoir maeneo ya mafiati apo kama unashuka kwenda town upande wa kushoto baada ya kituo cha daladala.
Nondo kuwa makini nazo kila interval daka tax kama una private car ni vyema!
 
kitimoto choma ina minyoo aina Taenia saginata ambayo ni vigumu sana kuitibu,huogopi?

aaaah mkuu!mbona tunatishana tena mkuu!?dah!umeharibu mambo mkuu utadhani mtoto kakalia keki ya birthday,hakuna kata keki tule tena!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom