JokaKuu
Platinum Member
- Jul 31, 2006
- 30,441
- 55,022
Mchambuzi,
..I agree with u 100%. sasa naomba niweke sawa bandiko lako kwasababu kuna wengine wanaweza wasikuelewe.
..Nakumbuka kusoma hapa JF kwamba mwanzoni mkoloni alikuwa hataki Wachaga walime kahawa wao wenyewe. Alitaka kuwatumikisha kama manamba lakini kukawa na resistance ktk mpango huo wa mkoloni.
..Sasa katika mazingira ikamlazimu mkoloni kutafuta njia mbadala ya kuwa-EXPLOIT Wachaga ndipo akawaruhusu ku-own vihamba[vipande vya ardhi], na kulima kahawa wao wenyewe. Mkoloni aliendelea kuwa mnunuzi wa kahawa na mtoza kodi.
..Kuhusu MIUNDOMBINU kuna tendency ya wa-Tanzania kuona ndugu zao wa Kilimanjaro "wamependelewa" kwa kujengewa miundombinu ya uhakika. Ukweli ni kwamba miundombinu iliyojengwa Kilimanjaro tangu enzi za mkoloni ilikuwa ni kwa lengo la kusafirisha kahawa, na siyo kutoa huduma za kijamii.
..Kutokana na hoja zangu hapo juu, utaona kwamba kihistoria wa-Tanganyika wote tulikuwa tunatawaliwa, tofauti ni kwamba mkoloni alitumia mbinu tofauti ktk kuzitawala na kuzinyonya jamii mbalimbali.
Nguruvi3,
..nakubaliana na wewe kwamba kuna kipindi Tanga ilikuwa juu kulinganisha na maeneo mengine ya Tanganyika.
..tena kuna document moja nilisoma inaeleza kwamba kuna kipindi Wabondei wa Tanga walikuwa wana-account for 30% ya wanafunzi wa Tanganyika waliokuwa wakisoma Makerere.
..nini kimetokea Tanga kiasi kwamba sasa hivi wanaonekana wamerudi nyuma kimaendeleo, and particularly ktk masuala ya elimu??
Pasco,
..umekubaliana na mimi kuhusu suala la cash crop kusadia kuchochea maendeleo ya eneo husika.
..sasa naomba tuangalie jamii ya WAKINGA ambao nao wameibuka hivi karibuni na kuwa wafanyabiashara wazuri sana Tanzania.
..nini siri ya mafanikio ya ndugu zetu Wakinga?? je, what lesson can other communities take frm them? nauliza hayo kwasababu hawa ndugu zetu nadhani wameibuka miaka ya 80 na 90 unless kuna kitu sikifahamu.
Nicholas,
..marekebisho madogo.
..baba yake Nape ni marehemu Brig.Gen.Moses Nnauye aliyepata kuwa Kamisaa wa Siasa Jeshini, na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM.
..huyu mzee kwa uelewa wangu alikuwa mwenyeji wa mkoa wa Mtwara.