Mbeya na Kilimanjaro: Siri ya mafanikio yao ni nini?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by BondJamesBond, Nov 1, 2012.

 1. B

  BondJamesBond Senior Member

  #1
  Nov 1, 2012
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 87
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi kuna sababu yoyote ile inayowafanya wa Tanzania wanaotoka maeneo ya Mbeya na Kilimanjaro kuwa na nyoyo za kuthubutu na kuweza kufanya na hasa kwenye medani ya siasa?

  Wanasiasa wao hawana woga, nimejaribu kuwachukia lakini wapi I cant hate their hustle, ukienda Benki unawakuta, Ukienda kwenye michozo wamo, Universities nyingi ziko kwao (hawategemei hand outs za serikali) na hawana mambo ya kuoneana aibu wao wenyewe kwa wenyewe wanaambiana ukweli bila woga. I mean tazama mtu kama 2 Proud alipotokea na mpaka alipofikia, I simply have nothing but respect.

  Sasa tazama mikoa ambayo watu hawana maendeleo kama Tanga, Pwani na huko kusini watu hawana hasira yoyote ile na wako more at ease na maisha kama kawaida.

  Kweli mtu anaweza kusema kuwa wako more exposed na wana network kila sehem lakini naamini kuwa siri kubwa ya wa Tanzania wanaotoka mikoa hii ni kuwa wao ni watu wa kuthubutu na muhimu zaidi wana CONFIDENCE za ajabu na sijapata ona.

  Sasa kama kama wakijipanga vizuri hawa watu sitoshangaa kuona vijana wao (nazungumzia under 32) wakiwa tayari washaandaliwa kuwa movers and shakers in the next 20 years na kama hamuamini tazameni medani ya siasa Tanzania ni akina nani wako more active

  Hongereni sana wana Mbeya na Kilimnajaro.
  Data & Stats

  Mbeya population wanakaribia 2 million

  [h=2]Education[/h]


  Besides a growing number of secondary schools like Meta, Sangu, Loleza, Mbeya day, Iyunga,Igawilo, UWATA Secondary School, St Mary's Mbeya, St. Francis Girls Secondary School, which the best Secondary School in Tanzania (the leading school in the entire country, has been in that position for couple of years now). Mbeya has some institutes of higher learning education:  • Teofilo Kisanji University is a young institution of the Moravian Church in Tanzania offering courses in theology,business, arts, sciences and educational studies, as well as training pastors and. Since 2005, it has grown out of the earlier Moravian Theological College. The college is situated at Soweto suburb.


  • Mbeya Institute of Science and Technology (MIST) is a public institution offering degrees, advanced diplomas, and ordinary diplomas in various engineering disciplines. MIST was formerly known as Mbeya Technical College (MTC). The College is at Iyunga area. Currently, it is under the process of being transformed into a full University


  • Mzumbe University (MU) Mbeya Campus is situated in Forest area next to the Bank of Tanzania. This public University offers bachelor degrees and diplomas in law and business, as well as providing evening programs in postgraduate studies.
  • Agricultural Research Institute (ARI Uyole), with a training college and a large research library. This was previously the Ministry of Agriculture Research and Training Institute (MARTI).


  • MARTI-Igurusi is a training college in agricultural sciences, and is similar to the ARI Uyole. Its uniqueness is based on being the only agricultural institution in Tanzania which offers various irrigation courses


  • Shukrani International College of Business Management and Administration is an institution operated by The Salvation Army in Tanzania. Located in the Soweto area of Mbeya, it offers diploma courses in Business Administration, Sales and Marketing, Computer Studies, Office Management and Administration.


  • VETA Southern Highland Zonal Centre is another vocational training college, situated in the Ilomba area.


  • Tumaini University has also opened its centre in Mbeya, at Uzunguni area, which offers various diplomas and certificate courses. The processes are underway in order to open the University College at Uyole


  • The University of Arusha has already opened its centre at SOWETO suburb, which offers various courses there.


  • Mbeya Referral Hospital School for Assistant Medical Officer, the college located within Mbeya Referral Hospital, it offers Advanced Diploma and Diploma in Medicine, Pharmacy, Laboratory and Dental.


  • Tukuyu Teachers College and Makandana Teachers College, they offer Certificate and Diploma.


  • Uyole Social College, belongs to the Ministry of Health and Social Welfare, it offers Certificate in Sociology.


  • Mbozi Mission Nursing College, is under Ministry of Health and Social Welfare.


  • Uyole Teachers College is a branch of Tumaini University.

  en.wikipedia.org/wiki/Mbeya#Education  Data za Elimu na mengineyo kuhusu Kilimanjaro hakuna hata kwenye WIKI so nawapa big up watu wa Mbeya kwa kuwa mstari wa mbele online na offline pia
   
 2. Prishaz

  Prishaz JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 1,319
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 48
  Aisee!
   
 3. S

  Shekispia JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 225
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naskia harufu ya ukanda tu!
   
 4. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 11,162
  Likes Received: 117
  Trophy Points: 63
  Wrong analysis leads to wrong conlusions!
  Kwani Nape, Tundu Lissu na Zitto wanatoka kipande hiyo?
   
 5. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #5
  Nov 1, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 20,191
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 48
  Proudly chagga..
   
 6. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #6
  Nov 1, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,123
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kwenye harsh and limited life conditions ndio kunakuwa na maendeleo because you either swim or sink. Europe kuna more harsh conditions kuliko most parts of Africa na ndio maana watu wanajituma na kuna maendeleo tunayoyaona.

  And this reminds of this joke:
  Mzee mmoja wa Kichaga aliekuwa mgonjwa kitandani alimuita mtoto wake mmoja wa kiume ambae maendeleo yake kielimu na kimaisha hayakuwa yanamridhisha baba yake. Kijana alipokuja baba yake akamwambia: "Mwanangu John, nimekupeleka shule umeshindwa, nimekufundisa wisi umeshindwa. Sasa mimi ninakufa utakula mafi yako!
   
 7. Kikarara78

  Kikarara78 JF-Expert Member

  #7
  Nov 1, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 477
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 18
  Bond James Bond na Wana JF,
  Tunashukuru kwa Maoni yako iwapo huo ni Mtazamo wako tu.
  Ni kweli kila Mahali penye Mchagga utakuta aka pana Maendeleo na wanajua kutafuta Maendeleo, fanya Utafiti wako.
  Pesa ya Mchaga haitoki hovyo, Ndio maana Mwalimu Nyerere akutaka Mchaga kuwa Rais ili kuwapa fursa makabila mengine kuongoza. Yapo Makabila mengine yenye uthubutu kama Wachagga kama ulivyosema, kama Wanyakyusa, Wahaya, na wengine wengi.
  My Take: Nchi yetu haina Makabila, Udini wala Ukanda, sote tu Watu aka wananchi wamoja na Taifa moja tu yaani Tanzania.
  Nawakilisha.   
 8. JIULIZE KWANZA

  JIULIZE KWANZA JF-Expert Member

  #8
  Nov 1, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Kwi Kwi Kwi ivi kumbe nape nae ni mwanasiasa? Kuhusu zito kweni ni mtanzania? Na lisu ndio yeye tuu Mwenye mashiko kwenye ukanda wake. Unaelewa sema ubishi asili yako.
   
 9. epson

  epson JF-Expert Member

  #9
  Nov 1, 2012
  Joined: Oct 1, 2012
  Messages: 377
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 16
  half truth
   
 10. Skillionare

  Skillionare JF-Expert Member

  #10
  Nov 1, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 1,127
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Chagga na nyakyusa hawa ni wagumu asilia kwao kufanikiwa kielimu biashara ni mambo yakawaida ni kama south america na football
   
 11. Varbo

  Varbo JF-Expert Member

  #11
  Nov 1, 2012
  Joined: Aug 14, 2012
  Messages: 899
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 18
  Mikoa mingine vilaza tabora shinyanga na singida japo singida mjanja Lissu peke yake!!
   
 12. t

  thread critic Senior Member

  #12
  Nov 1, 2012
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 75
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sasa linganisha na mkoa wa pwani ambao una watu wengi zaidi.

  jibu unalo, watu wa huko mbeya walishafunguka kichwani ndio maana wako hapo wa lipo na within 5 years sitoshangaa wakiongeza Univesrities za zikafikia hata 20 kule

  Pwani nzima hakuna University hata moja
   
 13. H

  Hydrobenga JF-Expert Member

  #13
  Nov 2, 2012
  Joined: Jun 24, 2012
  Messages: 1,123
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 36
  Watu wengine bwana kwa kuleta analysis za kibaguzi.....ndio maana hatushangai kuona Department mzima mmejezana kindugu (watu wa mbeya na kilimanjaro)....

  Kila siku kujisifia......Kila siku kuwatukana watu wa Pwani ,eti Mnawaita Waswahili lakini Humuondoki Huku Pwani..kila siku mnadandia magari kuja Dar es salaam....Mshachoka Kuchunana ngozi huko kwenu ?


  Hembu tutolee List ya top 20 most successfully entrepreneurs hapa Tanzania..kama hamjajikataa wenyewe...
  Mtaacha lini Kujisifia kuukanda kila siku ?
  Halafu kama mnajiona nyinyi Mko juu si mhame huku Pwani..
  Rudini Maporini Kwenu....


  Kijitu Kimeajiriwa Kama Bank Teller Kinapata 500,000 kwa mwezi kinaanza kudhani watu wa mkoa wake wote wana Maisha kama yake...Hiki kinasahau watu wa Mkoa wake wengi wao bado wanaishi maporini huko wakichunana ngozi na kuua Albino....

  Halafu hivyo vi-college vya kata mnavyofungua huko maporini mnaviita Universities ?? Hamjawahi Kuziona Universities zilivyo ???

  Oh sisi tuna hasira ya Maisha...kajiue basi
   
 14. smallvile

  smallvile JF-Expert Member

  #14
  Nov 2, 2012
  Joined: Sep 12, 2012
  Messages: 304
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  niliyemchagga nipokee hizo pongezi kwa mikono na miguu, kwa moyo thabit, na naendelea kuwahimiza vijana toka mkoa kilimanjaro, na mikoa mingine yote, tanzania ni moja, kama tulivo wamoja basi tuchape kazi kwa pamoja,majungu si mtaji wandugu, ukweli ni mzuri hata machoni pa Mungu
   
 15. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #15
  Nov 2, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,542
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  aisee hizo universities/colleges zote hizo ziko mbeya? si mchezo
   
 16. A

  ADK JF-Expert Member

  #16
  Nov 2, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 872
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 18
  hivi chuo cha sanaa bagamoyo kipo wapi kama si pwani?
   
 17. J

  JERUSALEMU JF-Expert Member

  #17
  Nov 2, 2012
  Joined: Sep 19, 2012
  Messages: 1,494
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 48
  lazima wewe utakuwa unatoka kusini.penye ukweli ni bora ukakubali. hata mtoa mada hajasema mikoa mingine haina watu wanao thubutu,wapo ila ni wachache sana in comparison.kiukweli wasomi wa LINDI,MTWARA NA PWANI kwa pamoja hawafiki hata nusu ya wasomi wa MBEYA au MOSHI.
   
 18. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #18
  Nov 2, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,327
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 36
  Watu Wambeya kweli Kama jina Lao lilivyo ni Wambeya mzee wa sumu kugoma kuzungumzia mambo yaliyo msibu.Mbunge wenu amesomaa kweli nyie Wambeya hongereni sana
   
 19. zenmoster

  zenmoster JF-Expert Member

  #19
  Nov 2, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 950
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  chadema@work
   
 20. J

  JokaKuu JF Platinum Member

  #20
  Nov 2, 2012
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 10,662
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 63
  BondJamesBond, Awadhi2009, Pasco, Mchambuzi, Nguruvi3,

  ..nadhani "ujanja" wao unatokana na kilimo cha zao la KAHAWA.

  ..mapato ya kahawa yaliwawezesha kuwekeza ktk elimu za watoto wao, kujipenyeza ktk biashara ndogo ndogo na baadaye kuwa wafanyabiashara wakubwa.

  ..kumbukeni kwamba ndugu zetu toka Kilimanjaro ndiyo walikuwa wakwanza kufanya "umachinga"[miaka hiyo ilikuwa ku-shine viatu na kuuza kahawa] mijini baada ya sekta ya kahawa kupata matatizo miaka ya 80.

  ..kingine kinachowasaidia ndugu zetu wa Kilimanjaro ni biashara/magendo ya mpakani na majirani zetu wa Kenya.

  ..tuimarishe KOROSHO, PAMBA, etc mtaona wenyeji wa maeneo maarufu kwa mazao hayo nao wanaibuka na kuleta ushindani nchini, which is a very positive thing.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 21. Nguruvi3

  Nguruvi3 JF Platinum Member

  #21
  Nov 2, 2012
  Joined: Jun 21, 2010
  Messages: 9,002
  Likes Received: 315
  Trophy Points: 83
  Mkuu Joka kuu,
  Sababu nyingine mbali ya zao la kahawa ni uwepo wa usafiri kati ya mkoa wa kilimanjaro na mikoa mingine ikiwemo Kenya.
  Usafiri uliwezesha watu kutoka na kuingia kwahivyo wenyeji waliweza kujifunza na kunufaika na fursa.

  Mkoa wa Kilimanjaro una tatizo kubwa la ardhi, jambo lililowafanya wengi waondoke kwenda kutafuta riziki sehemu za mbali. Huko walikuta fursa walizozikosa na hivyo kuzitumia vema. Sasa hivi wanahamia sehemu kama Kimazichana, Mkamba hadi Maneromango na tayari wananufaika na rasilimali za wananchi waliowakuta. Wanamuuzia mzaramo Mhogo!

  Sababu nyingine muhimu sana ambayo haitawapendeza wengine ni ile ya wakazi wa mkoa wa kilimananjaro kuwa na upendo na makwao. Tunashuhudia wakati wa sherehe wanavyorudi nyumbani walikozaliwa.
  Wakazi hao hurudi vijijini kujumuika na familia zao.Fahari ya kuwa pamoja na familia ni kubwa sana.

  Matokeo yake ni kuelewa hali za walioachwa nyumbani, kuchukua hatua za kuwasaidia kama kuwahamisha kwenda mikoa mingine. Lakini pia kuna kuoneana wivu wa maendeleo. Fulani nyumbani kwao wamesoma na hali zao ni nzuri.
  Fulani amejitahidi watoto wake sasa wapo katika hali fulani n.k

  Hili ni tofauti na mikoa ambayo watu huhama na hawarudi makwao. Moja ya mikoa hiyo ni nyumbani Tanga ambayo kwakweli ilitakiwa iongoze hapa nchini. Tanga ni mkoa uliotoa wasomi wa mwanzo, wanamichezo na wafanyabiashara wakubwa. Tatizo wakishafanikiwa huogopa kurudi nyumbani kwa hofu ya uchawi.
  Matokeo yake wamjezana Kinondoni na kuifanya Dar kama makazi yao.Ukimuona Muhez, Pongwe au Korogwe ujue kuna msiba.

  Siamini kuwa Rais Mkapa ameacha mapori yote kusini na kuhamia Lushoto. Sasa nani atakuwa role model?
  Ukienda Kilimanjaro akina Marealle, Msuya n.k. wapo vijijini. Mathalani, waziri mkuu mstaafu Msuya yeye ndiye mwenyekiti wa kamati ya uchumi ya Benki ya ushirika ya watu wa Mwanga.

  Halmashauri ya mji wa Moshi ni bora si nchini tu bali katika kiwango cha Afrika. Ukiiangalia utaona wajumbe wake wengi ni wazee wastaafu. Wamerudi nyumbani kusaidia shughuli za kule. Huu ni ukweli unaouma lakini ndio ukweli na usemwe.

  Pamoja na yote kuingia kwa elimu kupitia wamishenari kulisadia sana kutoa wasomi wa mwanzo.
  Katika mwaka 1890 kuna wamishenari walianzaisha kanisa na shule. Sharti lilikuwa kuwa lazima mtu abatizwe.
  Waliokataa kubatizwa wakaanzisha shule za serikali (Native authority) na wengine za dini kama Waislam.
  Maeneo hayo kwasasa yana uwiano mzuri sana katika elimu.
  Kule Kilimanjaro watu wanatanguliza maarifa kwanza hata kama ni kuiba! wanaiba elimu.

  Nimalizie kwa kusema hulka na tabia za watu ni vitu muhimu sana. Pamoja na factor zote zisemazwo, wakazi wa Kilimanjaro wana hulaka ya kujituma, ni wepesi wa kutafuta chanzo na suluhu. wanaamini kuwa suluhu za matatizo yao zipo kwao. Nenda katika sehemu za milimani, utashangaa kuona bara bara zimejengwa kwa nguvu za wananchi miaka 50 au 60 iliyopita, hawakusubiri magreda walifanya Msaragambo(volunteer).

  Pamoja na ukweli kuwa shughuli za kiuchumi, miundo mbinu na elimu ni chachandu nzuri ya maendeleo, hulka na tabia zina mchango mkubwa sana. Ingekuwasi hivyo basi wazaramo wangekuwa mbali sana maana Tanzania imeanzia kwao.
  Kwanini basi wasitumie fursa zilizokuwepo kuweka tofauti(make the difference?).

  Watu wa maeneo mengine wajenge utamaduni wa kurejea makwao ili kuleta mabadiliko. Mkazi wa Kigoma akishaingia magomeni mapipa au Makuti harudi tena kwao, sasa nani ataisadia jamii iliyobaki kimawazo na fikra.
  Vivyo hivyo ndugu zangu wa Lindi na Mtwara wakishatia timu Mbagala basi hawarudi kwao.
  Hadithi inabaki kuwa wachaga na wapare wanagombea tiketi za 70,000 kwenda kwao! Huo si ujinga ni maarifa.
   
 22. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #22
  Nov 2, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 11,162
  Likes Received: 117
  Trophy Points: 63
  Kusini ndo wapi?
   
 23. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #23
  Nov 2, 2012
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 7,680
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 48

  Kwamba TASUBA ya B'moyo ni Chuo Kikuu? Jamaa kaongelea university
   
 24. P

  Pasco JF Platinum Member

  #24
  Nov 2, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 17,505
  Likes Received: 380
  Trophy Points: 83
  Mkuu Joka Kuu you are very right!, mikoa yote ambayo watu wake wamesoma, ni ile mikoa yenye cash crops toka enzi za mkoloni, hivyo wazazi ku afford kupeleka watoto wao shule!. Mfano mkoa kama Dodoma, Mungu bariki, wamisionari ndio waliookoa jahazi vinginevyo wote wameishia kama Matonya (Rip)!.
   
 25. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #25
  Nov 2, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 21,016
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 38
  Nape ni mpare,baba yake alikuwepo ktk system kwa kupata nafasi za bwereree enzi za uhuru na baada ya uhuru.Wana TANU wengi walikuwa makuli wasio naelimu yoyote na mchango wao ulikuwa kura,na migomo kama wangetumwa.Zitto kapata baraka za Jiji la Dar ambalo limejengewa oppportunity na watu wa makundi mbalimbali na nchi nyingi.Lissu ni mojawapo ya exceptional walijituma kwa machungu ,pia with msaada wa ushirikiano mkubwa wa jamii za Singida.Kwa taarifa yako watu wa Singida ni watu wenye kupendana sana na wapo tayari hata risk kazi kumkomboa mwenzao.
   
 26. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #26
  Nov 2, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  I think its a historical phenomenon!
   
 27. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #27
  Nov 2, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 21,016
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 38
  kilimanjaro ,wana shule na vyuo vya ngazi ya diploma na certificate vingi sana.Universities wanazo km 5 huku mwenge na ushirikika vikiwa vyuo kamili.

  Mbeya pia ina advantage kw amambo mengine mengi kwa vile palikuwa na makusudi ya wazi ili iwe Jiji na makao makuu ya Nyanda za juu kusini,Pia HUB ya maendeleo na mahusiano na nchi jirani.


  Pengine fahari ya Kilimanjaro ni guts za watu wake.Kuna mambo yakiachiwa na serikali ya CCM Kilimanjaro wanaweza wasilime kitu na bado wakawa juu sana kiuchumi.Kwani raia wake wameweza kuwa wawekezaji sehemu nyingi duniani na kama wakiamua rudisha mitaji nyumbani ni wazi patakuwa na mkoa mzuri sana.Imagine,IPP media wakarudisha makao yao makuu Moshi,precisionair, Dar Express,Outdoors, Ngurdoto, Naura springs, Saba Generals, etc wa ndani achilia mbali waliojenga empires Kenya,Rwanda, zambia, etc.
   
 28. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #28
  Nov 2, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,879
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Ni uchapakazi tu umewafanya wawe juu hawana muda wa kucheza bao, kulala misikitini, kunywa kahawa wao kazi tu mwanzo mwisho
   
 29. R

  Rukwa21 JF-Expert Member

  #29
  Nov 2, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 126
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wachaga wanaishi kama Waingereza, mtoto anapofika umri flani ni lazima aondoke nyumbani na kuanza maisha. Tofauti na makabila mengine mtu mpaka 30 yuko home. Wanyakyusa watafutaji na ni wabishi
   
 30. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #30
  Nov 2, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hahahahah mkuu unaua!
   

Share This Page