Mbeya na Kilimanjaro: Siri ya mafanikio yao ni nini?

Mchambuzi,

..I agree with u 100%. sasa naomba niweke sawa bandiko lako kwasababu kuna wengine wanaweza wasikuelewe.

..Nakumbuka kusoma hapa JF kwamba mwanzoni mkoloni alikuwa hataki Wachaga walime kahawa wao wenyewe. Alitaka kuwatumikisha kama manamba lakini kukawa na resistance ktk mpango huo wa mkoloni.

..Sasa katika mazingira ikamlazimu mkoloni kutafuta njia mbadala ya kuwa-EXPLOIT Wachaga ndipo akawaruhusu ku-own vihamba[vipande vya ardhi], na kulima kahawa wao wenyewe. Mkoloni aliendelea kuwa mnunuzi wa kahawa na mtoza kodi.

..Kuhusu MIUNDOMBINU kuna tendency ya wa-Tanzania kuona ndugu zao wa Kilimanjaro "wamependelewa" kwa kujengewa miundombinu ya uhakika. Ukweli ni kwamba miundombinu iliyojengwa Kilimanjaro tangu enzi za mkoloni ilikuwa ni kwa lengo la kusafirisha kahawa, na siyo kutoa huduma za kijamii.

..Kutokana na hoja zangu hapo juu, utaona kwamba kihistoria wa-Tanganyika wote tulikuwa tunatawaliwa, tofauti ni kwamba mkoloni alitumia mbinu tofauti ktk kuzitawala na kuzinyonya jamii mbalimbali.

Nguruvi3,

..nakubaliana na wewe kwamba kuna kipindi Tanga ilikuwa juu kulinganisha na maeneo mengine ya Tanganyika.

..tena kuna document moja nilisoma inaeleza kwamba kuna kipindi Wabondei wa Tanga walikuwa wana-account for 30% ya wanafunzi wa Tanganyika waliokuwa wakisoma Makerere.

..nini kimetokea Tanga kiasi kwamba sasa hivi wanaonekana wamerudi nyuma kimaendeleo, and particularly ktk masuala ya elimu??

Pasco,

..umekubaliana na mimi kuhusu suala la cash crop kusadia kuchochea maendeleo ya eneo husika.

..sasa naomba tuangalie jamii ya WAKINGA ambao nao wameibuka hivi karibuni na kuwa wafanyabiashara wazuri sana Tanzania.

..nini siri ya mafanikio ya ndugu zetu Wakinga?? je, what lesson can other communities take frm them? nauliza hayo kwasababu hawa ndugu zetu nadhani wameibuka miaka ya 80 na 90 unless kuna kitu sikifahamu.

Nicholas,

..marekebisho madogo.

..baba yake Nape ni marehemu Brig.Gen.Moses Nnauye aliyepata kuwa Kamisaa wa Siasa Jeshini, na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM.

..huyu mzee kwa uelewa wangu alikuwa mwenyeji wa mkoa wa Mtwara.
 
Chagga na nyakyusa hawa ni wagumu asilia kwao kufanikiwa kielimu biashara ni mambo yakawaida ni kama south america na football
hakuna kama wachagga jamani tuseme ukweli, huko mbeya kwa wanyakyusa mnasema tu lakini hamna kitu, sisi wengine tulishaishi na kufanya biashara huko sana. shule mbeya bado sana, wanazidiwa hata na watu wa Ruvuma na iringa ambao huwa hawajitapitapi kama wahaya na wengine hao. i declare my interest, mimi ni mchagga. mbeya nenda maeneo ya chunya, hamna shule, wilaya ya ileje hamna shule, tukuyu nako shule kidogo sana, labda wale wa kyela kidogo nao kwasababu wanalima mpunga mzuri hupata hela kuwasomesha watoto. jaribu kuangalia mikoa ipi tz yenye shule nyingi za secondary, kilimanjaro lazima itakuwa mbele, itafuata iringa, ndio zije zingine, mbeya iko nyuma kidogo kwa wingi lakini kwasababu wanyakyusa ambao ni wachache sana kule mbeya walisoma miaka ila wakajazana shirika la bima (zamani liliitwa shirika la kinyakyusa), basi watu hadi leo kule mbeya wanaamini wasomi wengi wanatoka mbeya tu na sio sehemu zingine. kule hata msafwa anajiita mnyakyusa. wahaya walisoma na wanaendelea kusoma sana lakini hawakumbuki kwao, hawajengi kwao, anaishi maisha ya kujionyesha hapa bongo lakini akifa ukitumwa kusindikiza msiba kwao unaenda kulala kwenye mbavu za mbwa zilizooezekwa kwa majani ya migomba.....wachagga wamesoma hadi nyerere aliwapiga vita akashindwa, na wanakumbuka kwao, ukipata hela lazima ujenge kwao ili uheshimike, usivae tu kisharobaro kumbe home vumbi!
 
Ukarimu ni kuish na wa2 vizur sio kuuza hadi chumba unacholala,mnauza then mnahamia porin,.waliohamia pwan waliwafuata nyie au wanaangalia channel za biashara ndo maana utakuta wa2 wa kil,mbeya na mikoa mingine wametapakaa tz nzima wanatafuta pesa,ukija kwe2 2takukaribisha ila hakiuzwi ki2 kizembezembe na bado mtahamia hadi baharin...
Hongera kwa kuthibitisha ubaguzi wenu
 
Mchambuzi,

..I agree with u 100%. sasa naomba niweke sawa bandiko lako kwasababu kuna wengine wanaweza wasikuelewe.

..Nakumbuka kusoma hapa JF kwamba mwanzoni mkoloni alikuwa hataki Wachaga walime kahawa wao wenyewe. Alitaka kuwatumikisha kama manamba lakini kukawa na resistance ktk mpango huo wa mkoloni.

..Sasa katika mazingira ikamlazimu mkoloni kutafuta njia mbadala ya kuwa-EXPLOIT Wachaga ndipo akawaruhusu ku-own vihamba[vipande vya ardhi], na kulima kahawa wao wenyewe. Mkoloni aliendelea kuwa mnunuzi wa kahawa na mtoza kodi.

..Kuhusu MIUNDOMBINU kuna tendency ya wa-Tanzania kuona ndugu zao wa Kilimanjaro "wamependelewa" kwa kujengewa miundombinu ya uhakika. Ukweli ni kwamba miundombinu iliyojengwa Kilimanjaro tangu enzi za mkoloni ilikuwa ni kwa lengo la kusafirisha kahawa, na siyo kutoa huduma za kijamii.

..Kutokana na hoja zangu hapo juu, utaona kwamba kihistoria wa-Tanganyika wote tulikuwa tunatawaliwa, tofauti ni kwamba mkoloni alitumia mbinu tofauti ktk kuzitawala na kuzinyonya jamii mbalimbali.

Nguruvi3,

..nakubaliana na wewe kwamba kuna kipindi Tanga ilikuwa juu kulinganisha na maeneo mengine ya Tanganyika.

..tena kuna document moja nilisoma inaeleza kwamba kuna kipindi Wabondei wa Tanga walikuwa wana-account for 30% ya wanafunzi wa Tanganyika waliokuwa wakisoma Makerere.

..nini kimetokea Tanga kiasi kwamba sasa hivi wanaonekana wamerudi nyuma kimaendeleo, and particularly ktk masuala ya elimu??

Pasco,

..umekubaliana na mimi kuhusu suala la cash crop kusadia kuchochea maendeleo ya eneo husika.

..sasa naomba tuangalie jamii ya WAKINGA ambao nao wameibuka hivi karibuni na kuwa wafanyabiashara wazuri sana Tanzania.

..nini siri ya mafanikio ya ndugu zetu Wakinga?? je, what lesson can other communities take frm them? nauliza hayo kwasababu hawa ndugu zetu nadhani wameibuka miaka ya 80 na 90 unless kuna kitu sikifahamu.

Nicholas,

..marekebisho madogo.

..baba yake Nape ni marehemu Brig.Gen.Moses Nnauye aliyepata kuwa Kamisaa wa Siasa Jeshini, na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM.

..huyu mzee kwa uelewa wangu alikuwa mwenyeji wa mkoa wa Mtwara.

Ahsante kwa marekebisho.
Pia kuweka record sawa.Barabara za Kilimaanjaro maeneo mengini mpya sana.Manispaa wamekuwa wakiongeza kilomita kila kukicha, ziendazo nje ya Mji zilijngwa na taasisi fulani ktk meneo husika kupitia ufadhili.Mweka zilijengwa na chuo cha wnayama pori Mweka,kwa umihimu wa KCMC ,Chuo cha Ushirika, bara bara ya machame nayo ilijengwa kwa umuhimu wa machame hospital na lobbying ya wamachame wa mwanzo, marabara ya Moshi arusha kutokea maeneo ya CCP imeshaharibika na kabisa baada ya barabara kuhamia barabara itumikayo leo.Barabara zote zimetoweka na kubakia machimo yanayonyesha kwa mbalia kuwa paliwahi kuwa na lami.Kilichobaki ni vidaraja vyembamba vya mjerumani ambavyo vinasifika kustahimili shuhuli.

Barabara ya mailisita kwenda weruweru ni msaada kwa shule ya weruweru na ushawishi wa mama merry Kamm.Barabara ya sanya Juu,nayo ni kwajili ya umuhimu wa mardi wamisitu wa west kilimanjaro na hospital ya rufaa ya kifua kikuu. Nyingine zote ni mpya kabisa.

Kwa ujumla wakoloni waligundua njia salama kwao kudeal na wachaga ndio maana manamba walitoka nje "cha saka, machomba, wakasa".ambao walikuwa ni watu wa porini na wa hovyo.Wakoloni walijenga mfumo ambao hado leo CCM wanatumia mthibiti mchaga.Shule za wachaga zilijaa watu wa kuja kuliko wachaga wenyewe an hata watu wa nje.Shule niliyosoma haikuw ahi faulisha hata mtu mmoja hadi hsule za kata zilivyokuja ila wote walioamua kwenda secondary masomo hayakuwa kikwazo.Hao watu wa Tanga na mikoa mingine wana tabia hatarishi kiuchumi kwao na kwa watu wanaowazunguka.Hesabua kina Shelukindo ,Kibanga na hata Makamba leo, wamepat anafasi ya kucheza roll kubwa sana ktk nchi inayojengwa na wengine,ila uwepo wao maadarakani ndio ulinzi wao kiuchumi, wakitoka tuu ni muda tuu kila kitu kinabaki hadithi.

Tatizo ni watu, kwa pinda na Zenj maeneo ambayo hayjawahi pata lami kabisa, wawakilishi wao wamekubali jengea lami ya kiwango cha chini kwa kushiriki katika rushwa."hata hapa panatosha nani atakuja dai wakati hata hii ni neema tosha".

Statistics zisizo rasmi zinaonyesha kuwa wachaga walijenga nyumba kwa kazi kama kuchinja,kushona, biashara ndogo ndogo na wachache kupitia shule(miko ya maofisini na viwandani).Ila Tanzania nzima,mikoa mingine yote watu wamejenga kupitia mashirika,kama si reli, ni bandari, ni TTCL,Posta,bank ,general Tyre, Urafiki na kwingineko wachaga hawakuwa wengi kwani System ya Nyerere iliwabana na iliendelea wabana hadi leo huku wengine wakiruka hivyo vikwao wanavyotaka kwa minajili ya dini na mengineyo.

wachaga wan adapt mazingira haraka sana na kubadili kuwa success hata pale wakiwa ni underdogs,wachaga wengi waliingia mjini wakiuza karanga, umachinga, shoe shining,house boys,kuuza makongozo na chips etc huku wakidharaulika na wenyeji wao ila soon wanaanza kubalika na mizaha waliyokuwa wakikejeliwa inakuwa Brand yao na baadaye wanakuwa threat kwa wenyeji.
 
Hongera kwa kuthibitisha ubaguzi wenu
2ngekuwa wabaguz 2ngeish wenyewe,hata uko kil wako wa2 wa mikoa mingine wanaishi kwa aman hakuna ubaguz,kuna shm viwanja vinauzwa ghal km Dar,Je mnaouza mnajiendeleza.,asilimia kubwa ya wa2 wa pwan biashara hawatak kufanya,shule hawatak,nyumba1 familia5 mbaya zaid kat izo familia5 wanamtegemea m2 mmoja au wawil.,ukwel ni ukwel2,2jifunze kutoka kwa wengine 2ache kukumbatia mila na desturi zisizo na maendeleo...
 
kwa bahat mbaya sana, uvivu ni tabia, kila mtu mwenye uwezo wa kufanya kaz afanye, tanzania isonge mbele, kuna haja ya watu kulazimishwa kufanya kaz kama ile kipind ya nyerere, tuache kufitiniana, na kupgana vita, tuache ujinga kabisa, Tanzania bado tuko nyuma sana sana! iyo kilimanjaro unayoizungumzia, umeenda same? mwanga? mabogini? kahe? na iyo mbeya.. umeenda mwakarer? huko vijjini huko? samahani.. sio muda wakeeeh.
 
Ni kwamba na wao spectrum yao haipo single colored pia nao wana vary, huko mabogini wachaga ni wachache sana, wengi wakiwa jamii za kipare na wengine waliofuta miradi ya mpunga na kazi kiwandani TPCna watu waliowahi fanya kazi na wapare ktk miradi wanalalamika sana vitabia fulani vya wapare ambavyo huku dara hatuvijui.Uvivu kutoamika kwa kauli zao,na woga, kuwa na small idea halafu wanataka big sucess.Mpare yupo tayari kupoteza muda akihoji mradi wa kilimo hadi ufike kwake kiasi gani cha hela kimemezwa au huyo aliyetumwa kapata wapi huo upendo km si mtu mwizi badala ya kutumia kilichopo huku wakiibana bodi itoe mahesabu.Wameishia kutofanya chochote.CCM hawatakuwa na hofu kwa muda mrefu sana kuchukua kura kwa wapare, maghembe aliwatukana live kuwani wajinga na wakampa kura iali awaone kuwa si wajinga.Wapare wameshika kazi mabank, wizarani, usalama wa taifa,jeshini,wametoa waziri mkuu,etc ila wenye impact hata kwa wanaopeana nafasi za wazi ni kichekesho.

Warombo wanatoka sehemu hostile sana,mito yao hutoa maji kipindi kifupi, hali ngumu kwa kila kitu, tembo huaribu mazao, ila ufanyaji kazi wa mrombo mwanamke na mwanamume unatisha.Wao hostile environment imekuwa motivation ya mafanikio wakati wengine ni kiyume.

kama umewahi kaa milimani kule Kilimanjaro upande wa wachaga basi utakuwa umeona haya.Vijana toka mikoa ya dar, moro and the sort wakitolewa ktk miji yao na kupelekwa vijijini kabisa kufanya kazi za nyumbani kama kuangalia mifugo na shamba.Huwa wanakuja na matambo sana,wamevaa kimangaribi,na muda wote wanaongea na kufikiri kuingia studio huku hawana elimu hata ya msingi ya mambo ya music.Kwa ujumla huwa wanakuwa wamekwenda mazingira wrong kwa kile wakitakacho, na hii imazia kwa waliotangulia.Hupoteza sana muda kwa vitu visivyo muhimu.Hata jamii za kiislam hutopeza muda kulalamika kuwa wanaminywa ktk nafasi za shule wakti hakuna mtoto wao aliyepo shule na mwenye kujituma.
 
2ngekuwa wabaguz 2ngeish wenyewe,hata uko kil wako wa2 wa mikoa mingine wanaishi kwa aman hakuna ubaguz,kuna shm viwanja vinauzwa ghal km Dar,Je mnaouza mnajiendeleza.,asilimia kubwa ya wa2 wa pwan biashara hawatak kufanya,shule hawatak,nyumba1 familia5 mbaya zaid kat izo familia5 wanamtegemea m2 mmoja au wawil.,ukwel ni ukwel2,2jifunze kutoka kwa wengine 2ache kukumbatia mila na desturi zisizo na maendeleo...

Huu ndio ukweli..mmoja wenu akipata kicheo katika ofisi .....basi familia nzima mnajaa kwenye ofisi .... usibishe bwana...
Tunayaona haya maofisini...mtu anajaza ndugu na watu wa kabila lake kibao...hili ndio mnaloweza hakuna chengine...
Wizi maofisini na Ufisadi..kwa ujumla uadilifu zero
 
hakuna kama wachagga jamani tuseme ukweli, huko mbeya kwa wanyakyusa mnasema tu lakini hamna kitu, sisi wengine tulishaishi na kufanya biashara huko sana. shule mbeya bado sana, wanazidiwa hata na watu wa Ruvuma na iringa ambao huwa hawajitapitapi kama wahaya na wengine hao. i declare my interest, mimi ni mchagga. mbeya nenda maeneo ya chunya, hamna shule, wilaya ya ileje hamna shule, tukuyu nako shule kidogo sana, labda wale wa kyela kidogo nao kwasababu wanalima mpunga mzuri hupata hela kuwasomesha watoto. jaribu kuangalia mikoa ipi tz yenye shule nyingi za secondary, kilimanjaro lazima itakuwa mbele, itafuata iringa, ndio zije zingine, mbeya iko nyuma kidogo kwa wingi lakini kwasababu wanyakyusa ambao ni wachache sana kule mbeya walisoma miaka ila wakajazana shirika la bima (zamani liliitwa shirika la kinyakyusa), basi watu hadi leo kule mbeya wanaamini wasomi wengi wanatoka mbeya tu na sio sehemu zingine. kule hata msafwa anajiita mnyakyusa. wahaya walisoma na wanaendelea kusoma sana lakini hawakumbuki kwao, hawajengi kwao, anaishi maisha ya kujionyesha hapa bongo lakini akifa ukitumwa kusindikiza msiba kwao unaenda kulala kwenye mbavu za mbwa zilizooezekwa kwa majani ya migomba.....wachagga wamesoma hadi nyerere aliwapiga vita akashindwa, na wanakumbuka kwao, ukipata hela lazima ujenge kwao ili uheshimike, usivae tu kisharobaro kumbe home vumbi!

ungekua karibu ningekuchapa makofi, umedanganya kuhusu wanyakyusa. fanya research kaka!
 
Ukisikia Pa...ujue limekupata.....
Povu linakutoka wewe....watu wa pwani ni Wakarimu na wastaarabu...Imagine Dar es salaam Ingekuwa Kilimanjaro ..asingetia mguu mtu mwengine yoyote ...wewe si unaona mshaanza kudai nchi yenu ya kaskazini.....
Muache tabia mbovu za kuwatukana wenyeji wenu.....
Kama watu wa Klm cio wenyeji wa huko pwani c muwafukuze?? Wht r u waiting for then?? Kelele zote za nn sasa? Eti wakarimu?
Ukarimu kwa wenyeji au wasio wenyeji?? Hide ua stupidity n not ua wisdom!
 
Sio WAOGA! Ni free thinkers!
ndo maana hata mikoa hiyo ni sehenu ya ngome ya vyama vya upinzani hapa
nchini! Hawadanganyiki kirahisi!

ukiwa mwalimu darasani ni rahisi sana kumjua mtoto wa kichaga,kinyakyusa na kihaya.
 
Kama watu wa Klm cio wenyeji wa huko pwani c muwafukuze?? Wht r u waiting for then?? Kelele zote za nn sasa? Eti wakarimu?
Ukarimu kwa wenyeji au wasio wenyeji?? Hide ua stupidity n not ua wisdom!
Mkuu punguza hasira...wewe umeirukia tu hii posti...soma posti zote Tangu mwanzo..utaelewa kwa nini tumefika hapa...
Mimi nlikuwa najibu kashfa alizozitoa huyo mwenzako.....
 
Mikoa mingine vilaza tabora shinyanga na singida japo singida mjanja Lissu peke yake!!

Jiangalie wewe na kauli zako za ajabu ajabu! kama wewe ni kilaza ni wewe peke yako usitutukane wote! Hapo kwenye bold tuna profesa wetu wa uchumi grade one. Just a joke,lakini wanyamwezi siyo vilaza tuombe radhi tafadhari.
 
Huu ndio ukweli..mmoja wenu akipata kicheo katika ofisi .....basi familia nzima mnajaa kwenye ofisi .... usibishe bwana...
Tunayaona haya maofisini...mtu anajaza ndugu na watu wa kabila lake kibao...hili ndio mnaloweza hakuna chengine...
Wizi maofisini na Ufisadi..kwa ujumla uadilifu zero
Sifa kuu ya binadam ni UBINAFSI,ndo maana anamiliki,iki changu haijalish kakitolea jasho au laa,ukwel ni kwamba binadam hana chake hata huo mwili sio wake aliemuumba aki utaka anauchukua ungekuwa wako wakati unakufa bisha usife.,kwa iyo kubebana ofisin ni tabia ya m2 au wa2 kwa sababu ndan yao kuna ubinafsi na sio jamii flan2 ndo iko ivyo ila maendeleo yanaletwa kwa kujishughulisha,hao wanao bebana ofisin hawajaendelea kwa kubebana au unataka kuniambia wachaga wote wameajiriwa maofisin..
 
Jiangalie wewe na kauli zako za ajabu ajabu! kama wewe ni kilaza ni wewe peke yako usitutukane wote! Hapo kwenye bold tuna profesa wetu wa uchumi grade one. Just a joke,lakini wanyamwezi siyo vilaza tuombe radhi tafadhari.

Aleyeanza Ubaguzi humu ni mleta mada...hakuna hata mkoa mmoja hapa nchini ambao hauna wasomi wa hali ya juu....
Lakini mtu analeta ubaguzi na kusema Pwani hawana maendeleo...hivi ni kweli ?
Dar es salaam kweli hakuna maendeleo au wasomi....
Tanga hakuna Maendeleo au wasomi ?
Zanzibar hakuna Maendeleo au wasomi ?

halafu watu tukiwajibu wanakuja Juu...mwenzao aliyeanzisha Mada ya kibaguzi wanamsifu....

Kwa ujumla huwezi Kusema watu wa pwani au watu wa mkoa fulani ni vilaza halafu utegemee kuachiwa...
 
Mkuu punguza hasira...wewe umeirukia tu hii posti...soma posti zote Tangu mwanzo..utaelewa kwa nini tumefika hapa...
Mimi nlikuwa najibu kashfa alizozitoa huyo mwenzako.....
ni kipimo gani umetumia kujustify nina hasira mkuu? Au ulitegemea kupata majibu ya kuku please ww tu thts y u r making tht unjustifiable answer? Style up man/woman! B ready to take wht cant please u!!
 
Sifa kuu ya binadam ni UBINAFSI,ndo maana anamiliki,iki changu haijalish kakitolea jasho au laa,ukwel ni kwamba binadam hana chake hata huo mwili sio wake aliemuumba aki utaka anauchukua ungekuwa wako wakati unakufa bisha usife.,kwa iyo kubebana ofisin ni tabia ya m2 au wa2 kwa sababu ndan yao kuna ubinafsi na sio jamii flan2 ndo iko ivyo ila maendeleo yanaletwa kwa kujishughulisha,hao wanao bebana ofisin hawajaendelea kwa kubebana au unataka kuniambia wachaga wote wameajiriwa maofisin..

Kama unajua kuwa tabia ni za mtu binafsi..na so za jamii nzima ...kwa nini mleta mada amejumlisha kuwa watu wote wa pwani Hawana maendeleo...
Hivi kuna Mkoa ambao hauna wasomi hapa nchini...?
 
Back
Top Bottom