Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati tembelea line ya umeme Mbeya - Chunya, makongorosi kms 150

peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
12,829
21,460
Maswali ya msingi katika kutembelea line hiyo:

1. Umeme nguzo zimeoza na zingine zimeinama na kulala huko msituni ikitokea Mbeya kwenda Chunya.

2. Umeme umesafirishwa zaidi ya kms 150 kutoka Mbeya hadi makongosi KVA 11 bila sub station.

3. Bado uko ziarani Mbeya bado mgao uko hawakuongopi!

4. Kwanini kusiwepo na ofisi ndogo ya Tanesco eneo la Saza au makongorosi? Badala ya kutegemea ofisi ya Tanesco Chunya iliyoko kms zaidi ya 60.

5. Meneja wa Tanesco Mbeya akuambie ni lini itajengwa sub station makongorosi au Chunya mjini?
 
Back
Top Bottom