Inaitwa NCCR - MatanuziHuyo ndiye Mbatia wa NCCR- Manunuzi

Mbatia amefilisika sana aisee. Hata kufanya utafiti hawezi kumbe
Nitashangaa mtu mwenye akili timamu kuendelea kuwasikiliza hawa mbwa wa synovet, na ninaushangaa zaidi uongozi wa CHADEMA kwa kukaa kimya mpaka leo badala ya kuukataa utafiti huu wa kitapeli, na nilitegemea CHADEMA itamke wazi kwamba hawaiamini taasisi hii hivyo wanaitaka iachane na kufanya utafiti wote unaokihusu Chadema.wangesema JK anakubalika ndo ningekubaliana nao kwanza hawa bado sijawasahau kabisaa!
wangesema JK anakubalika ndo ningekubaliana nao kwanza hawa bado sijawasahau kabisaa!
kwani huwa inatakiwa kusubiri muda gani ndo ufanye utafiti?
Siwalisemaga huyu jamaa kuwa kuna wana watu wanatoka nae!
Unamaanisha unakubaliana na utafiti wa Synovet?Huyu bwana alishafirisika siku nyiiingi, hatuna haja ya kumsikiliza.
Hii kitu ilisemwa sana hata wakati yupo chuo kikuu, kuna na mdogo wake tulikuwa naye Umbwe, huyo wajamaa pale shuleni walitogaka naye!!!!

Mwenyekiti wa NCCR James Mbatia amepinga vikali utafiti uliofanywa na Synovate na kuonyesha vyama vya upinzani vikiongozwa na Chadena wanaungwa mkono zaidi dhidi ya CCM.

Ifuatayo ni sehemu ya mazungumzo yake kama alivyonukuliwa na mwandishi wa gazeti la mwananchi

''Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia, alisema kuwa kuchukua watu 1,994 ili kuwakilisha Watanzania wenye uwezo wa kupiga kura ambao ni zaidi ya milioni 20, ni makosa.

Watu 1,994 hawawezi kuwasilisha Watanzania milioni 20 ambao wana sifa za kupiga kura, lakini pia kwa wakati tulionao labda wangekuja na utafiti unaoleta ufumbuzi wa hali ngumu ya maisha tungewaelewa, alisema Mbatia.