mizambwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2008
- 4,422
- 1,790
Ni aibu kwa mzee kama wewe kutumiwa na Lowassa. Mbatia siyo msemaji wa Lowassa wala msemaji wa CHADEMA. Kwanini tuhuma za Slaa kwa CHADEMA na Lowassa uje kuzijibu wewe mwenyekiti wa NCCR Mageuzi?
Umenunuliwa kwa sh ngap?
Acha kutumika mzee.
Ni heri... kuliko mfalme mzee mpumbavu.
Ndoroboooo!!!!
Acha kulialia.
Kwa taarifa yenu CCM, Mbatia ni Mwenyekiti mwenza wa UKAWA.
Hivyo ukiigusa CHADEMA, NLD, NCCR, au CUF elewa kuwa umeigusa UKAWA.
Kiongozi yeyote anaweza kujibu kwa niaba ya chama husika.
Hivyo acheni kupiga kelele, watu wenye akili zao wapo busy mitaani wanafanya kampeni kumpitisha Mgombea wa CHADEMA ndani ya UKAWA mh. Lowasa katika maandalizi ya kuingia IKULU.
nanyi fanyeni kampeni hizo porojo zenu hazitawasaidia kuingia ikulu.
Watanzania wa leo siyo wale mliowazoea wa wenzi za ujima.
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!