Baregu kateuliwa mbunge?Balegu kuwa Tume ya Katiba,
Zitto kamati ya Madini,?
hy hajielewi na nccrccm yake
Ni bora angesema wazi kuliko kuwadanganya watu wa Mtwara.
Yaani Zitto aliteuliwa na raisi kuongoza kamati ya bunge?
kesi yake na kafulila imeishia wapi? au baada ya kupewa ubunge imeisha??2015 atagombea jimbo gani au ataubiri tena kiti cha huruma kama cha sasa??
Ni bora angesema wazi kuliko kuwadanganya watu wa Mtwara.
Yaani Zitto aliteuliwa na raisi kuongoza kamati ya bunge?