Wanawake zaidi ya 100 wahukumiwa kwa kutuma watoto wakawe ombaomba

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,024
1,616
Wanawake zaidi ya 100 wamehukumiwa kifungo cha Mwezi Mmoja jela na kufanya kazi za Jamii baada ya kukiri kuwatuma Watoto wao kuomba barabarani Jijini Kampala. Pia baada ya kifungo Wanawake hao wamezuiwa kurejea Kampala na badala yake watarejeshwa Vijijini kwao

Licha ya Wanawake hao kutoa visingizio kuwa ni Wajane na wengine wameachwa na Wenza wao, Kutuma watoto kuomba Mitaani ni kinyume cha Sheria za Ulinzi wa Watoto Uganda na adhabu yake huweza kuwa kifungo cha hadi Miezi 6 Jela

Wanawake hao walikamatwa Januari 2024 wakati wa msako wa Kuwaondosha ombaomba Mijini.

Watoto waliookolewa walipelekwa Kijiji cha Watoto cha Masulita ambacho hukaribisha watoto waliokolewa katika Matukio mbalimbali
.....................................

A court in Uganda has sentenced more than 100 women to one month of community service each after they confessed to sending their children to beg in the capital, Kampala.

The court has also banned the women from returning to the city and ordered that they be sent back to their home district of Napak in northern Uganda, privately owned Daily Monitor newspaper reported.

The women pleaded for leniency, with some saying they were widows and others single mothers, state-owned New Vision newspaper reported.

"I have listened to their cries and a [jail] sentence would be inappropriate. I have to enforce a deterrent sentence...I will sentence them to community service. In default, you will serve one month of imprisonment," the judge in the case, Magistrate Edgar Karakire, was quoted as saying by the Daily Monitor.

Sending children to solicit or beg for alms is against Uganda's child protection laws and carries a maximum sentence of six months.

The women had been arrested last month during a crackdown to eject beggars from the capital, ahead of three international summits that were hosted there.

The children were taken to the Masulita Children's Village in central Uganda, which hosts rescued children.

Source: BBC
 
Hatua hii ni nzuri sana katika kunusuru wimbi la omba omba hasa maeneo ya mjini, nadhani ikifanyiwa utekelezaji katika nchi yetu Tanzania itasaidia kuibua na kuwakamata baadhi ya wazazi wanao kiuka sheria ya ulinzi wa mtoto, pia wanaowanyanyasa watoto kwa kukwepa majukumu yao kama wazazi.
 
Omba omba walikuwepo Tangu zamani sana BC, pia ombaomba wako kote duniani, hivyo cha msingi serikali ipitishe msako na kuwajua wanaotumikishwa kwa kusudi ni wangapi na wale wanaoomba kutokan na kuwa yatima, au kuwa na mapungufu (disabled people). Baada ya kuwabaini wanaowaagiza wachukuliwe hatua kama uganda, pia kwa wale wale yatima na wenye mapungufu wasiowez kufany kazi, iwape msaada kwa kuwapeleka kwenye vituo vya kuwalea, lakini kama haitowez kuwapa msaada, wawaache, sio kuwafukuza watu hawajui wataenda kuishi vp.✍️🧠 🤝
 
Back
Top Bottom