Huko kuna watu wengi sana.Wakuu wanaoifahamu Mbagala vzuri ...
Je kwa sasa Mbagala Mbande Kuna fursa gani za biashara kwa mtaji mdogo usiozidi 3M?
Hahaha......... sidhani kama atapata wateja 😅Anzisha danguro, hutojuta
Vyote vipo hapo mbande mkuu.....au hujafika kitambo...!!!Mkuu kwa sehemu kama mbande fursa zipo nyingi sana.
Maana watu wengi kule huduma nyingi hufuata rangi tatu au gerezani na tandika.
Biashara ya kwanza ni
Photoshop studio
Duka la simu
Stationary + Internet cafe
Hardware.
Kwa uchache tu
Anasema fursa..Vyote vipo hapo mbande mkuu.....au hujafika kitambo...!!!
Mpaka Photosho mkuu
Tajiri mkuu wa matajiri kasema 😅😅😅Hahaha......... sidhani kama atapata wateja 😅
Huko ni mbali sana na mjiTajiri mkuu wa matajiri kasema 😅😅😅
Daaah danguro huwa ni mjini kati.Huko ni mbali sana na mji
Kabisa Mkuu, liwe full equipedDaaah danguro huwa ni mjini kati.
Balaa la danguro xio dhambi ndogoKabisa Mkuu, liwe full equiped
Hahaha.......ni kweli sio biashara nzuriBalaa la danguro xio dhambi ndogo
watoto wa watu wanapotea na kuharibika kwa kila namna hakuna dhambi isofanyika kwenye madanguroHahaha.......ni kweli sio biashara nzuri
Kabisa Mkuu, japo ni biashara yenye hela nzuri sana ukifanya.watoto wa watu wanapotea na kuharibika kwa kila namna hakuna dhambi isofanyika kwenye madanguro
Daaah balaa tupu xana inahitaji roho ngumu.Kabisa Mkuu, japo ni biashara yenye hela nzuri sana ukifanya.
Unakuwa unakusanya hela japo shilingi elfu 50 Kwa Kila kichwa, wewe kazi yako ni kuwapa Vyumba Kila mmoja pamoja na huduma ya Ulinzi tu 😜
Kabisa MkuuDaaah balaa tupu xana inahitaji roho ngumu.