Najuta zaidi ya Tsh. 500m nimezika katika majengo, mtaji wa kufanyia biashara umepungua pakubwa sana

malembeka18

JF-Expert Member
Jan 26, 2018
2,780
2,716
Habari wakuu, nawashauri msifanye makosa kama niliyofanya, ukipata pesa wekeza katika biashara na si majengo. Fursa nyingi zimenipita kutokana na mtaji kuwa mdogo sababu ya sehemu kubwa ya faida nilipokuwa naipata haikurudi kuwekeza katika biashara zaidi.

Matokeo yake wakati fursa naziona Sasa mtaji hautoshi bidhaa zingine nashindwa kuzinunua sababu mtaji hautoshi, sehemu ya faida haikurudi ktk biashara zaidi ya kwenda kwenye maujenzi ambayo hayaniingizii pesa ya maana tofauti na ambayo hizo pesa zingekuwa katika biashara.
 
Habar wakuu nawashauri msifanye makosa kama niliyofanya..ukipata pesa wekeza ktk biashara nasimajengo...fursa nyingi zimenipita kutokana na namtaji kuwa mdogo sababu ya sehemu kubwa ya faida nilipokua naipata haikurudi kuwekeza katika biashara zaid..
Matokeo yake wakat fursa naziona Sasa mtaji hautoshi bidhaa zingine nashindwa kuzinunua sabubu mtaji hautoshi sababu sehemu yafaida haikurudi ktk biashara zaid yakwenda kwenye maujenz ambayo hayaniingizii pesa yamaana tofauti na ambayo hizo pesa zingekua katika biashara
Hiyo 500M uliipata kwa kudunduliza au ulipata kwa mkupuo?
 
Kujenga ni addictive sana, unaweza jengea mtaji usipokuwa makini ila it worth it, biashara unazoziona leo 25yr later unaweza usizikute ila nyumba unazoziona leo 25yrs zitakuwepo vilevile
Ni kweli usemalo ila kama pesa hiyo nisingewekeza ktk majumba Leo hii ningekuwa na uwezo wa kujenga majengo ya thamani hiyo maana mzunguuko wa biashara ungekuwa mkubwa sana sababu ya mtaji ni mkubwa na faida ingekua maradufu.
 
Hiyo 500M uliipata kwa kudunduliza au ulipata kwa mkupuo?
Mkuu hujaelewa sio mkupuo unajenge sehemu ya ongezeko ktk mtaji wako Kila mwaka assume umeanza biashara January na mtaji wa 100m Hadi kufika desemba umefanya stocking umekuta mtaji imeongezeka mpaka kufukia m220 maana yake umekuza mtaji kwa m110 so hiyo 110 au nusu yake unaanza wekeza ktk majengo badala yakuiacha izunguushe ktk biashara au uanzishe biashara mpya
 
Habar wakuu nawashauri msifanye makosa kama niliyofanya..ukipata pesa wekeza ktk biashara nasimajengo...fursa nyingi zimenipita kutokana na namtaji kuwa mdogo sababu ya sehemu kubwa ya faida nilipokua naipata haikurudi kuwekeza katika biashara zaid..
Matokeo yake wakat fursa naziona Sasa mtaji hautoshi bidhaa zingine nashindwa kuzinunua sabubu mtaji hautoshi sababu sehemu yafaida haikurudi ktk biashara zaid yakwenda kwenye maujenz ambayo hayaniingizii pesa yamaana tofauti na ambayo hizo pesa zingekua katika biashara
Umeshindwaje kuchukua mkopo kwa kuweka dhamana hayo Majengo mkuu?
 
Habar wakuu nawashauri msifanye makosa kama niliyofanya..ukipata pesa wekeza ktk biashara nasimajengo...fursa nyingi zimenipita kutokana na namtaji kuwa mdogo sababu ya sehemu kubwa ya faida nilipokua naipata haikurudi kuwekeza katika biashara zaid..
Matokeo yake wakat fursa naziona Sasa mtaji hautoshi bidhaa zingine nashindwa kuzinunua sabubu mtaji hautoshi sababu sehemu yafaida haikurudi ktk biashara zaid yakwenda kwenye maujenz ambayo hayaniingizii pesa yamaana tofauti na ambayo hizo pesa zingekua katika biashara
Pole sana mkuu. Ndio kujifunza huko.
 
Yauze, kama una majengo yenye thaman ya 500m, huwezi kosa 350m urekebishe makosa yako.

Kwa mfanya biashara aliyepata pesa kwenye biashara, hawezi kuacha kuheshimu mtaji wa biashara.

Hii kama si chai ni bahati, nitakupa mfano:

1. Kama hiyo 500m imetoka kwenye biashara, then mtaji wako lazima uwe over 1.5bn.

2. Kama hiyo hela ya mtaji umetumia kwenye majengo, biashara ambayo imekupa pesa yote, unatakiwa u kafanye ct scan.

3. Mfanya biashara, mwenye ile akili ya kutengeneza hiyo pesa, hawezi kutokujua kwamba majengo (unless yako kwenye very prime area) hayana faida,

Hence:

Hii ni ya Tangawizi na cocoa, chai ya kibabe.
 
Usilalamike sana Bali shukuru hata umejenga maana biashara zina mambo mengi pia unaweza kukimbiza sana na zikaja kuporomoka ghafla ukajikuta hata hujajenga ulikua unakuza tu biashara.
Mkuu Hadi nakua namawazo sio kwamba mtaji hakuna ila hautoshi imagine biashara nazofanya almost zinahitaji walautaji wa m800 ila mtaji unajikuta uko 150m
 
Yauze, kama una majengo yenye thaman ya 500m, huwezi kosa 350m urekebishe makosa yako.

Kwa mfanya biashara aliyepata pesa kwenye biashara, hawezi kuacha kuheshimu mtaji wa biashara.

Hii kama si chai ni bahati, nitakupa mfano:

1. Kama hiyo 500m imetoka kwenye biashara, then mtaji wako lazima uwe over 1.5bn.

2. Kama hiyo hela ya mtaji umetumia kwenye majengo, biashara ambayo imekupa pesa yote, unatakiwa u kafanye ct scan.

3. Mfanya biashara, mwenye ile akili ya kutengeneza hiyo pesa, hawezi kutokujua kwamba majengo (unless yako kwenye very prime area) hayana faida,

Hence:

Hii ni ya Tangawizi na cocoa, chai ya kibabe.
Ukweli ni kwamba majengo kama siyo prime area ni wastage of money baadae ukiyumba hayakusaidii labda uuze
 
Back
Top Bottom