Dr. Zaganza
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 1,195
- 1,661
Mba ni seli za ngozi zilokufa. Kama Ni mpenzi wa vipodozi asilia, nicheki kwa 0713039875 nikupe shampoo asilia ,tatizo lako liishe Kama wengine
shukran mkuuTumia sabuni ya detol au yeyote medicated kali then paka mafuta ya mba kama radiant
product ipo madukani?Niliteseka na tatizo kama hilo nimetumia shampoo ya grace products baada ya siku 5 tatizo kwishnei
lets try boss inaitwaje niitafute...Mimi nilisumbuliwa sana na mba,kuna mtu aliniuzia dawa nikawa naitumia kupaka kichwani sasa nimepona
Tatizo la dawa za mba inaweza ikatibu kwangu kwako isitibu.
pamoja boss ntakuchekiMba Ni seli za ngozi zilokufa. Kama Ni mpenzi wa vipodozi asilia, nicheki kwa 0713039875 nikupe shampoo asilia ,tatizo lako liishe Kama wengine
Kama hapo ulipo unaweza kupata shampoo ya "Head and Shoulders" iliyoandikwa anti dundruf utasahau tatizo ndani ya wiki tu.Habari zenu wandugu JF, poleni kwa uchovu wa siku mpya ya maombolezo!
Naomba kwenda moja kwa moja kwenye jambo langu, nasumbuliwa sana na mba kichwani ambao unatoka kma ungaunga kila napochana nywele, sasa hvi imefikia kiasi kwamba nikichana tu unamwagika nakuwa kama nimemwagiwa poda au sembe kichwani.
Tatizo hili ni la muda kidogo na linanifanya niwe nanyoa kila baada ya mwezi.
Note: nikipaka mafuta mikono yote sku hyo inahamia kichwani kwa kujikuna
Virgin ndiyo bidhaa gani hiyo mkuu?Tumia virgin, imesaidia wengi mimi mmoja wao
Hii post yako inatusaidia niniMimi nilisumbuliwa sana na mba, kuna mtu aliniuzia dawa nikawa naitumia kupaka kichwani sasa nimepona
Tatizo la dawa za mba inaweza ikatibu kwangu kwako isitibu.
Tena liwe dongo haswaaaaa.Sijaiona tiba isiyo na gharama kama hii, labda Tshs200/= ya wembe tu.
Ni kwa kunyoa kipara ngoto mfululizo hata mwezi mzima hadi waishe.
Hiyo ndiyo njia rahisi ya kufukuzia hao mba sugu kuliko njia zingine ambazo huchelewesha na sazingine kudunda.