Ipi ni Tiba sahihi ya Mba wa kichwaani?

BabaMorgan

JF-Expert Member
Dec 18, 2017
4,050
10,492
Msaada wa tiba ya mba kichwaani au sabuni inayoweza kuwapunguza??

Natanguliza shukrani

Update 20.05.2023
Nashukuru kwa michango yenu kupitia mawazo yenu niliamua kununua mafuta ya mnyonyo castor oil 4000 ambayo napaka kila nikitoka kuoga atleast naona kuna mabadiliko saa hivi hata nikikuna kichwa kiwango cha mba kinachotoka ni kidogo.
 
Jaribu hii
16828584818636445748075245521087.jpg
 
Kama ulipo Kuna maji ya chumvi na sabuni unayotumia ni ya kipande huwezi kupona MBA kamwe.Sasa ufanye vipi epuka sabuni ya kipande kichwani tumia Shower gelly ama kama usawa unakaba basi jitahidi utumie shampoo.Ila sabuni za vipande hizi sijuwi mnaita medicated soap ndo chanzo Cha MBA.
 
Mba sugu, tumia dawa ya kulainisha nywele ya Softenfree Super... kopo la kijani make sure ni super.

Hii unaweka kama una curl nywele, chukua chana, tumia kitana kunyoosha nywele na dawa hiyo, ni kali, baada ya dak 10 chunga isikuunguze, osha kabisa nywele kwa shampoo.. rudia badaa ya siku 7 kisha kila baada ya wiki 2..

Umeponaaaaaaaaaaa

Msaada wa tiba ya mba kichwaani au sabuni inayoweza kuwapunguza??

Natanguliza shukrani
 
Kama ulipo Kuna maji ya chumvi na sabuni unayotumia ni ya kipande huwezi kupona MBA kamwe.Sasa ufanye vipi epuka sabuni ya kipande kichwani tumia Shower gelly ama kama usawa unakaba basi jitahidi utumie shampoo.Ila sabuni za vipande hizi sijuwi mnaita medicated soap ndo chanzo Cha MBA.
Inaweza kuwa kweli na isiwe kweli vilevile.
 
Back
Top Bottom