Mazungumzo na Dr. Slaa: Maswali na Majibu

Status
Not open for further replies.
Willie jibu maswali yangu humu kila swali lina ruhusa kama lina maslahi kwa taifa , kama mzee alikuwa mgonjwa kiasi cha kupelekwa india imekuwa je kapata recovery ya haraka kuweza kuja kula bata hapo USA.
Je ni nani alimlipia nauli ya kwenda INDIA?
kama ni serikali imekuwaje kaongezea safari zake kuja USA?
madoctori baada ya operation walimruhusu kuja USA? ukizingatia USA wasingeweza kumpa VISA akiwa mgonjwa tena kutoka India kama alikuja kwa safari ya kusalimia hali wanajua ana operation kubwa ambayo amemaliza kufanyiwa?

hakizidia hapo plan B inasemaje kwa kuzingatia hao USA hawana huduma za BURE?
- Inategemea sheria inasema nini wewe na mimi, yaani wananchi wa kawaida tunatakiwa kutibiwa wapi, lakini ninaamini kwamba sheria iko wazi kuhusu viongozi wa juu! sio kosa langu kuhusu hiyo sheria, hata mimi nikiumwa ninatibiwa Muhimbili kama wananchi wengine!

- Huo utetezi wako wa DR. Slaa kutokulipa kodi ni upuuzi sana!

Willie @ NYC, USA.

quote_icon.png
By VIKWAZO
hakuna sheria inayozuia mwananchi (bila kijali cheo) kutibiwa nje ya nchi tena kwa ghalama ya serikali kama wataalamu wakisha sema hivyo kutoka na kukosa uwezo wa kumtibu hapa nchi ila tatizo ni kwamba serikali itasema haina pesa.
ila wao wakiumwa hata kichwa kwa sababu ya kutokunywa maji au jua kali wanakwenda kutibiwa nje.
tuweke siasa pembeni kidogo kuvuia matibabu ya mtu ni sawa na kuua, ndio maana kuna watoto na watu wenye magonjwa ya moyo wako kwenye waiting list ya kwenda india TATIZO ni pesa kutoka serikalini.
kwa viongozi wa serikali na walikuwa viongozi wa serikali kutibiwa nje sio matakwa ya wataalum mara nyingi ni mashinikizo ya kisiasa/ubinafsi.
ndio maana Kitine kwa kutumia udhaifu huo wa sheria aliweza kututoa milioni Hamsini kwa matibabu ya mke wake huko USA lakini baadaye kila kitu ilijulikana ni fake mpaka dr waliyesema amemtibu huyo mama alikuwa sio dr ila mwanafunzi katika hicho chuo.
sasa kama wataalamu wanatoa maamuzi hapo ilikuwaje.
mimi nadhani hawa viongozi wakijisikia tu wanakamata pipa na kwenda zao kutibiwa si bajeti hipo

Ndugu Willie nina swali kwako, mzee alilipiwa na nani tiketi ya kwenda kutibiwa?
ilikuwaje anakuja USA hali alikuwa na safari ya kutibiwa india ACCOUNT zinasemaje hapo
kama mzee afya yake ilikuwa mbaya kiasi cha kwanda kutibiwa india nguvu za kuja kula bata hapo USA kazipata wapi?
TUWE WAZALENDO KWA TAIFA
 
Willie jibu maswali yangu humu kila swali lina ruhusa kama lina maslahi kwa taifa , kama mzee alikuwa mgonjwa kiasi cha kupelekwa india imekuwa je kapata recovery ya haraka kuweza kuja kula bata hapo USA.
Je ni nani alimlipia nauli ya kwenda INDIA?
kama ni serikali imekuwaje kaongezea safari zake kuja USA?
madoctori baada ya operation walimruhusu kuja USA? ukizingatia USA wasingeweza kumpa VISA akiwa mgonjwa tena kutoka India kama alikuja kwa safari ya kusalimia hali wanajua ana operation kubwa ambayo amemaliza kufanyiwa?

hakizidia hapo plan B inasemaje kwa kuzingatia hao USA hawana huduma za BURE?
Sahihisho kidogo mkuu, Mzee Malecela alifanyiwa oparesheni Uingereza na sio India, maana India gharama kidogo ni nafuu.
 
Malaria Sugu,Wiki hii nimekuwa maeneo mbalimbali ya Kisarawe. Wengi wao waislamu. Unawazungumzia Waislamu gani? Waislamu ninaokutana nao wanazungumzia tatizo la kuwa na mlo usio na uhakika wa siku, kutokuwa na maji safi na salama, hakuna zahanati na dawa, hakuna barabara, wanaishi nyumba za makuti. Unawazungumzia wepi na ulikutana nao wapi?
majibu yako yamekata ngebe za 'magamba' endelea kujenga CDM vijijini kama mtendaji mkuu na wabunge wazidi fichua uozo wa serikali,many Tanzanian we are together with u but few are very sick just treat them doctor!usisahau kufika Rungwe kuna ufisadi njoo uwafumbue macho
 
Back
Top Bottom