TUMBIRI
JF-Expert Member
- May 7, 2011
- 1,933
- 1,199
Mazungumzo kati ya NAPE na Rtz kwenye simu
Criiiii Criiii Criiii Criiii
Criiiii Criiii Criiii Criiii
Ritz: | Dah! Mhashimiwa anapiga simu. Naam Mkuu! |
Nape: | Habari yako Comrade? |
Ritz: | Salama tu Mheshimiwa |
NAPE: | Kazi niliyowapa inaendaendaje? |
Ritz: | Inaendelea vizuri tu Kamanda |
NAPE: | Jana nilipita JF nikakakuta thread nyingi ni Pro-CDM |
Ritz: | Ni kweli Kamanda. Tunaendelea kupambana si unajua mwanzo mgumu |
NAPE: | Alafu hivi Malaria Sugu yupo? Sioni kabisa thread na coment zake siku hizi! |
Ritz: | Afadhali umeuliza Mkuu. Usema kweli Rejao, FF na MS wananitegea sana. Na ndiyo maana thread za Pro-CDM zinaongezeka kwa sababu kazi inanizidi kimo |
NAPE: | Waambie sitaki mchezo. Chama kinawalipa alafu kazi hawafanyi! Waambie ntawashtaki kwa Katibu Mkuu |
Ritz: | Sawa Kamanda. Sasa Vipi kuhusu mishahara yetu ya mwezi uliopita na mwezi huu? |
NAPE: | Wa mwezi uliopita mtalipwa mwezi huu ila wa mwezi huu msubiri kwanza. Si mnajua chama kina Crisis ya fedha. Ruzuku yenyewe si mnajua ni Shilingi 800 Million tu! |
Ritz: | Sawa Kamanda. Kitu kingine Mkuu tufanyieni utaratibu mtununulie Laptop maana kazi ya kuingia kwenye Internet Café kufanya kazi ya Chama ni ngumu sana. Kwanza ni gharama na pia tunakuwa at risk kugundulika kwa Wananchi |
NAPE: | Hilo ntalifanyia kazi. Kitu kingine? |
Ritz: | Hamna Kamanda! |
NAPE: | Sawa basi emu ingia sasa hivi JF Jukwaa la Siasa naona kuna thread inamuhusu Hamad Rashid, Regia Mtema na Godbless Lema. Emu kazicrash crash! |
Ritz: | Sawa Mkuu! |
NAPE: | Haya kazi njema Mpiganaji! |