Mazungumzo kati ya NAPE na Rtz kwenye simu

Waliona huu ni uchafu ndio maana wakaileta huku.

Kama ni uchafu si wangeufuta moja kwa moja na wangenipiga Ban! Unajua Rejao mi nafanya kazi tiGo so nimedaka maongezi yako na Nape kama yalivyo nikayaleta hapa. Tatizo Mods hawaamini! Wanadhani ni Jokes kumbe ni kweli!
 
CHADEMA UTAWAJUA TU KWA JAZBA. Kwanza CHADEMA OVYO, CCM OVYO, NCCR NDIO UPUUZI KABISA.
Halafu wewe utakuwa CHADEMA maana bila kutukana na jazba kibao hamuoni raha. Mind your life achana na mambo ya siasa. Wewe unaonekana ungekuwa IGUNGA ungeshakufa kwa kujidai unajitoa muhanga wakati mgombea akishinda hakutambui kwa lolote.
Kenya walijidai kufanya mabadiliko kuchagua wapinzani sasa hivi wamepata mabadiliko gani? Zaidi ya kupoteza ndugu zao kwenye vita vya uchaguzi wa kina Odinga. Na bado madaktari wanagoma.
Hivi unafkiri SLAA Akishnda atakupa hata udiwani, au atamwambia bosi wako akuongezee mshahara? SIASA ZA KBONGO ZA WAZEE NA WASIO KUWA NA KAZI. ACHANA NAZO BWANA MDOGO.

kudadadeki, kumbe mnaokomaa mpaka mishipa ya uso, mishipa ya shingo, mishipa ya kinyeo, mapovuuuuuuu kibao mdomoni mkiyatetea mafisadi pia magamba ya ccm mnakuwa mnafanya kazi ya nape?? Kweli mmechoka eeh ata uyu mwenye uji badala ya akili kichwani anaweza kuwa tuma mkaheshimu, sikuwa nimewafahamu. Rejeo, ff muhatari sana nyie. Ndo maana mapwenti yenu janvin yamekaa kimasabuli masabuli, aah from now nimewadharau sana ata laptop mnaomba watumwa nyie
 
JF ni ya CDM sasa kuna wana CDM ambao wanachukia upotoshaji na uongo mwingi unaoendelea humu wanaamua kueleza ukweli na uhalisia wa mambo sasa wale waongo wanachukia kuambiwa ukweli kuwa ni waongo....
In so saying, ina maana W.J. Malecela ni CDM. Maana ni mmoja wa wamiliki wa hisa za JF.
 
CHADEMA UTAWAJUA TU KWA JAZBA. Kwanza CHADEMA OVYO, CCM OVYO, NCCR NDIO UPUUZI KABISA.
Halafu wewe utakuwa CHADEMA maana bila kutukana na jazba kibao hamuoni raha. Mind your life achana na mambo ya siasa. Wewe unaonekana ungekuwa IGUNGA ungeshakufa kwa kujidai unajitoa muhanga wakati mgombea akishinda hakutambui kwa lolote.
Kenya walijidai kufanya mabadiliko kuchagua wapinzani sasa hivi wamepata mabadiliko gani? Zaidi ya kupoteza ndugu zao kwenye vita vya uchaguzi wa kina Odinga. Na bado madaktari wanagoma.
Hivi unafkiri SLAA Akishnda atakupa hata udiwani, au atamwambia bosi wako akuongezee mshahara? SIASA ZA KBONGO ZA WAZEE NA WASIO KUWA NA KAZI. ACHANA NAZO BWANA MDOGO.
We need some hundred years to realize our potentials. Yaani unachukua Kenya kama reference ya mageuzi ya nchi yetu? Hivi wamarekani wanaochagua upinzani kila mwaka wamepigana mara ngapi? You need to grow men.
 
Mazungumzo kati ya NAPE na Rtz kwenye simu

Criiiii Criiii Criiii Criiii
Ritz:
Dah! Mhashimiwa anapiga simu. Naam Mkuu!

Nape:
Habari yako Comrade?

Ritz:
Salama tu Mheshimiwa

NAPE:
Kazi niliyowapa inaendaendaje?

Ritz:
Inaendelea vizuri tu Kamanda

NAPE:
Jana nilipita JF nikakakuta thread nyingi ni Pro-CDM

Ritz:
Ni kweli Kamanda. Tunaendelea kupambana si unajua mwanzo mgumu

NAPE:
Alafu hivi Malaria Sugu yupo? Sioni kabisa thread na coment zake siku hizi!

Ritz:
Afadhali umeuliza Mkuu. Usema kweli Rejao, FF na MS wananitegea sana. Na ndiyo maana thread za Pro-CDM zinaongezeka kwa sababu kazi inanizidi kimo

NAPE:
Waambie sitaki mchezo. Chama kinawalipa alafu kazi hawafanyi! Waambie ntawashtaki kwa Katibu Mkuu

Ritz:
Sawa Kamanda. Sasa Vipi kuhusu mishahara yetu ya mwezi uliopita na mwezi huu?

NAPE:
Wa mwezi uliopita mtalipwa mwezi huu ila wa mwezi huu msubiri kwanza. Si mnajua chama kina Crisis ya fedha. Ruzuku yenyewe si mnajua ni Shilingi 800 Million tu!

Ritz:
Sawa Kamanda. Kitu kingine Mkuu tufanyieni utaratibu mtununulie Laptop maana kazi ya kuingia kwenye Internet Café kufanya kazi ya Chama ni ngumu sana. Kwanza ni gharama na pia tunakuwa at risk kugundulika kwa Wananchi

NAPE:
Hilo ntalifanyia kazi. Kitu kingine?

Ritz:
Hamna Kamanda!

NAPE:
Sawa basi emu ingia sasa hivi JF Jukwaa la Siasa naona kuna thread inamuhusu Hamad Rashid, Regia Mtema na Godbless Lema. Emu kazicrash crash!

Ritz:
Sawa Mkuu!

NAPE:
Haya kazi njema!

aisee ungetongoza hivi wake za watu akuna angekukataaa big up br/sis
 
Kama ni uchafu si wangeufuta moja kwa moja na wangenipiga Ban! Unajua Rejao mi nafanya kazi tiGo so nimedaka maongezi yako na Nape kama yalivyo nikayaleta hapa. Tatizo Mods hawaamini! Wanadhani ni Jokes kumbe ni kweli!
Kwa hii comment yako tunaweza kukuchukulia hatua kali kama kweli unafanya tigo. Bythen, watu wenye akili zao hawafanyi mazungumzo nyeti kwa kutumia simu. Wenye akili ndogo na mbovu kama wewe ndio mnaweza kufanya hivi.
 
Ndiyo nichukulie hatua kama unaweza! Sasa kama unasema wenye akili hawafanyi mazungumzo nyeti kwa kupitia simu kwa hiyo unakiri kwamba na wewe ni miongoni mwa watu wasio na akili? Maana mazungumzo haya nimeyanasa kwenye Connection ya line ya simu ya NAPE na wewe!

Habari za kweli ni mpaka leo kina ritz,shosy,malaria sugu,hawajapewa mshahara hadi leo na hata hela ya kuingilia internant cafee hawana,wamepanga kuandamana mpaka ofisi za CCM.Kudai ujira wao

Na kudhibitisha kwamba hii habari ni ya kweli, Genge la Rtz (Rejao, MS, FF na Ngongo) sasa hivi wanatumia simu zao za mkononi kukomenti humu JF. Juzi juzi tu hapa Rtz alikuwa anamdai Rejao 'Like', Rejao akamwambia 'Like' siioni Kaka si unajua siku hizi natumia Simu.

We need some hundred years to realize our potentials. Yaani unachukua Kenya kama reference ya mageuzi ya nchi yetu? Hivi wamarekani wanaochagua upinzani kila mwaka wamepigana mara ngapi? You need to grow men.[/QUOT

Wewe!? Huwezi kufananisha siasa za bongo na za kimarekani.
 
Back
Top Bottom