Mazungumzo kati ya NAPE na Rtz kwenye simu

TUMBIRI

JF-Expert Member
May 7, 2011
1,933
1,199
Mazungumzo kati ya NAPE na Rtz kwenye simu

Criiiii Criiii Criiii Criiii
Ritz:
Dah! Mhashimiwa anapiga simu. Naam Mkuu!

Nape:
Habari yako Comrade?

Ritz:
Salama tu Mheshimiwa

NAPE:
Kazi niliyowapa inaendaendaje?

Ritz:
Inaendelea vizuri tu Kamanda

NAPE:
Jana nilipita JF nikakakuta thread nyingi ni Pro-CDM

Ritz:
Ni kweli Kamanda. Tunaendelea kupambana si unajua mwanzo mgumu

NAPE:
Alafu hivi Malaria Sugu yupo? Sioni kabisa thread na coment zake siku hizi!

Ritz:
Afadhali umeuliza Mkuu. Usema kweli Rejao, FF na MS wananitegea sana. Na ndiyo maana thread za Pro-CDM zinaongezeka kwa sababu kazi inanizidi kimo

NAPE:
Waambie sitaki mchezo. Chama kinawalipa alafu kazi hawafanyi! Waambie ntawashtaki kwa Katibu Mkuu

Ritz:
Sawa Kamanda. Sasa Vipi kuhusu mishahara yetu ya mwezi uliopita na mwezi huu?

NAPE:
Wa mwezi uliopita mtalipwa mwezi huu ila wa mwezi huu msubiri kwanza. Si mnajua chama kina Crisis ya fedha. Ruzuku yenyewe si mnajua ni Shilingi 800 Million tu!

Ritz:
Sawa Kamanda. Kitu kingine Mkuu tufanyieni utaratibu mtununulie Laptop maana kazi ya kuingia kwenye Internet Café kufanya kazi ya Chama ni ngumu sana. Kwanza ni gharama na pia tunakuwa at risk kugundulika kwa Wananchi

NAPE:
Hilo ntalifanyia kazi. Kitu kingine?

Ritz:
Hamna Kamanda!

NAPE:
Sawa basi emu ingia sasa hivi JF Jukwaa la Siasa naona kuna thread inamuhusu Hamad Rashid, Regia Mtema na Godbless Lema. Emu kazicrash crash!

Ritz:
Sawa Mkuu!

NAPE:
Haya kazi njema Mpiganaji!
 
siri za chadema zimeanza kutoka kumbe ndio mbinu inayotumika kuifanya JF kuwa na mada nyingi zinazounga chadema. Mnalipwa kwa kazi hiyo kama CCM nayo ingefanya hivyo kungekuwa na tofauti NAPE umeipata hiyo ni mbinu ya washindani wenu imewekwa wazi
 
kwa jinsi Muenendo wa JF ulivyo mawasiliano hayo inafaa kuwa ni mawasiliano kati ya DR Slaa, Mbowe, na Godbless Lema kwani chadema ndio wanatawala jukwaa hili na ndipo unaona siri inatoka kwa wajumbe waliaasi chadema au hawajalipwa hivyo wameanza kui-support CCM
 
mawasiliano haya ni kama utani (joke) lakini yana ujumbe mkubwa wa kile wanachokifanya chadema kuitawala JF ...... CCM mpo siri haiwezi kuwa siri daima chadema wameanza kujianika
 
Jukwaa hili la ajabu kuna thread hapa hapa ilikuwa inasema Rihz na Nape si kambi moja leo mwingine anatoa utani wa mawasiliano uongo uliojaa uongo
 
FF ni mtu mzima,kutumwa na nape ni kujivunjia heshima(nape ni kilaza kuliko FF)
 
siri za chadema zimeanza kutoka kumbe ndio mbinu inayotumika kuifanya JF kuwa na mada nyingi zinazounga chadema. Mnalipwa kwa kazi hiyo kama CCM nayo ingefanya hivyo kungekuwa na tofauti NAPE umeipata hiyo ni mbinu ya washindani wenu imewekwa wazi
Kwa nini unafikili CHADEMA wanafanya hivyo na CCM hawafanyi hivyo?
 
kama CCM ingekuwa inatumia mbinu hii JF isingekuwa kama ilivyo sasa ambapo mashambulizi mengi yako dhidi ya CCM ndio sababu naona hii ni mbinu ya chadema
 
Wanao tetea ccm ujue wana vimirija vya ufisadi ktk taasisi za serikalini eg wanaimport na kuuza Magari kwa kukwepa kodi tra
 
we pipijojo mbona povu linakutoooooooooka its just a joke! A joke
 
Jukwaa hili la ajabu kuna thread hapa hapa ilikuwa inasema Rihz na Nape si kambi moja leo mwingine anatoa utani wa mawasiliano uongo uliojaa uongo
La ajabu si kidogo mkuu. Lakini na wewe unalipwa kiasi gani na magamba mkuu? Manake naona unajitahidi kutoa ushawishi japo hakuna wajinga wengi wa kukupa support!
 
Hata kama CDM watumie mbinu gani, hawawezi kuangusha CCM hata siku moja.
 
hata kama cdm watumie mbinu gani, hawawezi kuangusha ccm hata siku moja.
kudadadeki, kumbe mnaokomaa mpaka mishipa ya uso, mishipa ya shingo, mishipa ya kinyeo, mapovuuuuuuu kibao mdomoni mkiyatetea mafisadi pia magamba ya ccm mnakuwa mnafanya kazi ya nape?? Kweli mmechoka eeh ata uyu mwenye uji badala ya akili kichwani anaweza kuwa tuma mkaheshimu, sikuwa nimewafahamu. Rejeo, ff muhatari sana nyie. Ndo maana mapwenti yenu janvin yamekaa kimasabuli masabuli, aah from now nimewadharau sana ata laptop mnaomba watumwa nyie
 
JF ni ya CDM sasa kuna wana CDM ambao wanachukia upotoshaji na uongo mwingi unaoendelea humu wanaamua kueleza ukweli na uhalisia wa mambo sasa wale waongo wanachukia kuambiwa ukweli kuwa ni waongo....
 
Back
Top Bottom