Mazungumzo baina ya wachumba

MAMMAMIA

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
3,811
1,603
MSICHANA: Kuanzia leo nitakwita Adam
MVULANA: Kwa nini?
MSICHANA: Kwa sababu wewe ndie mwanamume wangu wa mwanzo
MVULANA: Kwa hivyo mimi kuanzia leo nitakuita Peugeot
MSICHANA: Kwa nini?
MVULANA: Kwa sababu wewe ni wa 506.
 
kwe kwe kwe kweeeeee! Nafwa mbav zng? Daaah hpo hna mchumba? 506?????
 
MSICHANA: Kuanzia leo nitakwita Adam
MVULANA: Kwa nini?
MSICHANA: Kwa sababu wewe ndie mwanamume wangu wa mwanzo
MVULANA: Kwa hivyo mimi kuanzia leo nitakuita Peugeot
MSICHANA: Kwa nini?
MVULANA: Kwa sababu wewe ni wa 506.

Duh kumbe wachache mpaka anawakumbuka idadi....
 
Back
Top Bottom