Josh Michael
JF-Expert Member
- Jun 12, 2009
- 2,523
- 78
Labda zilikuwa njiani kuelekea Congo DRC na nchi nyingine katika ukanda wa maziwa makuu mzee wangu
TPDF. Au mwenzetu ni Mganda?It was just a drill by UPDF.
Bajati yao haijapita huko Bungeni na wanataka kuonyesha kwamba wako imara na ulinzi lazima kuwazuga wabunge nadhani ili wakubalike ama ?
Nasikia ni jaribio/testing.
Ukweli ni kwamba: Kuna meli imeleta silaha za majirani zetu wa Uganda. Silaha hizo ni pamoja na Vifaru, magari ya Deraya na Mabomu. Vifaru na magari vimesha pakuliwa toka melini na tayari viko kweneye mabehewa tayari kwa safari.
Sasa ilikuwa zamu ya kushusha mabomu, katika hilo zoezi wataalamu wa melini wakabaini kuwa baathi yalikuwa yamekaa vibaya hivyo yangeweza kulipuka wakati wowte.
Hapo hatua za tharura zikachukuliwa, kazi zote zikasimama, watu wote wakakusanywa kwenye emergency assembly point, kisha wataalama wa kutegua mabomu wa TPDF wakaitwa nao wakaingia kwa kasi na boat yao na wakafanikiwa kuweka mambo sawa. Kazi za bandari zikarejea katika hali yake ya kawaida.
Sasa unajua suala la kusafirisha silaha ni jambo nyeti, na mara nyingi general public katika hili huwa hawaambiwi ukweli ndio maana katika hili mtasikia story nyingi.
.... test kwamba digital media [JF na Michuzi] watakajua habari hizi mapema kabla ya [IPP na New Habari] au test gani mkuu?
Hii habari imekanushwa na vyanzo vya uhakika hivi punde- ni wanamaji wa wa jeshi la tanzania walikuwa kwenye mazoezi ya kushtukiza.
Vyaeni vyetu vyenu, indeleeni na shughuli kama kawaida!
Wanaweza kwenda Sudan na Congo kwa ajili ya mazoezi lakini sio bandarini na sehemu ambazo watu wanahangaika kila siku na hususani bandari yetuHayo mazoezi ya wanamaji yanayoleta impact kubwa namna hii yameanza lini? Watu wamesimamisha kazi zaidi ya saa moja. Wametolewa maofisini kwa ving'ora. Taharuki ilikuwa kubwa. Watu wameambiwa wataalam wa JWTZ wamefanikiwa kuyategua kwa hiyo warudi kazini! Nani anamdanganya mwenzie hapa? Tusubiri tusikie zaidi.