Maziwa ya mpenzi wangu yamelala sana nifanyaje, bado nampenda

Money Penny

JF-Expert Member
Jun 20, 2016
15,921
14,821
client wa instagram: money penny bwana me nimepata demu ila maziwa yake yamelaaaaala sana

money penny: sa unataka nifanyaje jaman

client wa instagram: me nasema tu nisaidie nifanyaje

money penny: una hela?

client wa instagram: ya nini

money penny: ya kusimamisha maziwa?

client wa instagram: mh! Tsh ngapi?

Money penny: bei inatofautiana na nchi, kuna south africa, kenya, dubai, india, we chagua tu umpeleke asimamishe

client wa instagram: ah, me nataka ambae maziwa hayajalala, ina maana huyu katumika sana

money penny: kwakweli sijui kuhusu hilo boss, skuhizi dunia imeenda sana

je ni kweli msichana maziwa yakiwa yamelala sana anakuwa ametumika sana kwa wanaume au? mbona kuna waliosimamisha maziwa wametumika kuliko!

kwani nyie wanaume mko na shida ghan?
 
Sijui umri wako.

Wala Mimi si msanifu Sana katika kuandika.

Ila ndugu yangu uandishi wako ni mbovu kupitiliza.

Diversity inafaa hii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom