Chapakazi
JF-Expert Member
- Apr 19, 2009
- 2,874
- 310
Mkuu De Novo, mwenyewe nimejaribu kufikiria na kuanza kuamini kuwa Tanzania is no longer safe!
Mwili wa marehemu sasa unapelekwa makaburini na jeneza lilibebwa na walimu wa sheria tu wakiwa wamevalia majoho yao.
Kaburi lipo jirani na nyumbani, limeshajengwa na kunakshiwa na vigae (marumaru)
tell that to Sokoine, Kombe, Kolimba, etc....zote ni political assassinations! Mkuu...usicheza na politics na power. Its a dangerous game, hasa kwa wale wanaojaribu kuondoa status quo...
Professor Mwaikusa RIP.