Mazishi ya Kanumba, kamati yapiga hela ndefu

Elezea kwa utondoti jinsi Clouds ilivyonufaika na jinsi ambavyo vyombo vingine vya habari havikunufaika. Kusema tu Clouds walinufaika haitoshi.

soma tena post nimeandika jinsi mlivyonufaika na kukoresha famili nafasi ya kunufaika. mambo mengine ni ya mahakamani
 
soma tena post nimeandika jinsi mlivyonufaika na kukoresha famili nafasi ya kunufaika. mambo mengine ni ya mahakamani

Adulterated nonsense caused by jealousy and envy. Your argument(s) lack merit. And if you think you have a case then go right ahead and sue.

I hope Clouds will read this and call your bluff.
 
Yaani kweli kabisa mtu na akili yako timamu unaona coverage waliyotoa Clouds kwenye msiba wa Kanumba wamenufaika kwa namna yoyote ile?

Mkuu! Kweli kabisa Wanadam hatuna jema, wasingetangaza tungelalamika wanabifu na marehem au wasanii wa bongo movie, wametangaza yanazuka mapya.

Kweli kati ya Mvua na Jua bora nini...majibu yote yana utata maana ikinyesha mvua mtalalamika mafuriko, likiwaka jua mtasema ukame.

Clouda wamefanya vyema kwani hata akina sie ambao hatukuwepo dar wakati wa msiba huo walau tulifahamishwa nini kilikua kinaendelea na isitoshe umati ule mkubwa wa watu waliohudhuria mazishi ulijitokeza kutokana na vyombo vya habari kuhamasisha na kutoa taarifa kamili.

Big Up Clouds na vyombo vyote vya habari, endeleeni kutujuza matukio yote muhimu yanayo husu Taifa letu maana ndio kazi yenu kutupasha habari, tena vyombo binafsi vimekua vikifanya vyema kuliko chombo chetu cha serikali TBC.
 
Shangaa na wewe ndugu yangu.
 
Nawalaumu sana ndugu wa marehemu.
Iweje msiba ushughulikiwe na marafiki wa marehemu?
Au ndio usupa staa wenyewe?
 
Pamoja na yote ila ni fundisho kubwa sana kwa sisi tulobaki.....mtu akipata mafanikio anakaa mbali sana na familia kiasi cha kuwa anamilikiwa na jamii zaidi ya familia yake (sikatai kupendwa na watu wanaokuzunguka hata kushirikiana nao) ila haya ya kamati ya mazishi ya style hii ni indicator ya modern culture kutawala sana maisha kiasi cha kukosa hata uamuzi wa kifamilia kwenye mambo ya maana, makubwa na mazito it be a sad or happy moment.

Mytake; Kwa yaliyotokea yawezekana kuwa hata yeye marehemu alikuwa anawachukulia wazazi wake "poa" mbele ya marafiki zake ndo maana hiyo kamati ilikuwa na nguvu to that extent.......tumeona misiba mingi ya watu wa caliber tofauti tofauti oftenly last say hutoka kwa wazazi au familia husika, wengine mnakuwepo kutoa ushauri na kuhakikisha mipango ya familia inaenda sawa. In other words tunapopata mafanikio kwa umakini tupiganie sana umoja na ustawi wa familia zetu ili iwe kimbilio wakati wa maisha, ugonjwa na umauti na kamwe hatutokaa tujute.....we shud never leave our parents and families exposed, spineless and with an egg shell status.....we shud always avoid these at any cost

Ushauri: Kama umeamua kuishi hiyo modern culture then weka will mapema kama wafanyavyo hao walioianzisha ili kuja kupunguza mivutano kama hii otherwise tegemea familia yako kuyumba sana sana pindi utakapo oa, zaa, ugua au aga dunia

Ni maoni tuuu

Full Hekima,sikioni tu kitufe cha "Like"
 
ina maana hao wasanii ndio serikali ya kanumba?? maana naona waliizidi nguvu familia
 
Nakubaliana na maoni yako mkuu hasa hapo penye rangi nyekundu.
 
Hao ni wacheza filamu mnaowaonea wivu mnajisumbua kwani Kanumba alipoenda Lubumbashi na Bujumbura si alikuta kanda zao kibao zimeuzwa na hawajui nani kazi-Duplicate na kula cha juu
Hapo kufa kufaana shughuli wameikamilisha vizuri na mama aneletwa na ndege ni nini mnataka hata mngewekwa ninyi mngeboronga zaidi
 
Pamoja na yote ila ni fundisho kubwa sana kwa sisi tulobaki.....mtu akipata mafanikio anakaa mbali sana na familia kiasi cha kuwa anamilikiwa na jamii zaidi ya familia yake (sikatai kupendwa na watu wanaokuzunguka hata kushirikiana nao) ila haya ya kamati ya mazishi ya style hii ni indicator ya modern culture kutawala sana maisha kiasi cha kukosa hata uamuzi wa kifamilia kwenye mambo ya maana, makubwa na mazito
it be a sad or happy moment

Mytake; Kwa yaliyotokea yawezekana kuwa hata yeye marehemu alikuwa anawachukulia wazazi wake "poa" mbele ya marafiki zake ndo maana hiyo kamati ilikuwa na nguvu to that extent.......tumeona misiba mingi ya watu wa caliber
tofauti tofauti oftenly last say hutoka kwa wazazi au familia husika, wengine mnakuwepo kutoa ushauri na kuhakikisha mipango ya familia inaenda sawa. In other words tunapopata mafanikio kwa umakini tupiganie sana umoja na ustawi wa familia zetu ili iwe kimbilio wakati wa maisha,
ugonjwa na umauti na kamwe hatutokaa tujute.....we shud
never leave our parents and families exposed, spineless and with an egg shell status.....we shud always avoid these at any cos

Ushauri: Kama umeamua kuishi hiyo modern culture then weka will mapema kama wafanyavyo hao walioianzisha ili kuja kupunguza mivutano kama hii otherwise tegemea familia yako kuyumba sana sana pindi utakapo oa, zaa, ugua au aga dunia
Ni maoni tuuu[/QUOTE
Safi safi sana mkuu kwa analysis hii. hakika imereflect the actual situation. Hawa jamaa wangekuwa na nia njema wangemweka japo mwanafamilia ili kuepuka lawama kama hizi. Na kibaya zaidi mdogo wa marehemu aliyekuwa anaishi nae ni kama mwenzao kwani huwa anashirikishwa katika sanaa hiyo.
Lawama hizi zipo juu yao iwe kweli au tetesi
 
Hili halishangazi. Wengi wa wasanii waliokuwa kwenye kamati ya mazishi ni watu opportunist, wanaotanguliza maslahi binafsi kuliko maslahi ya wengi. Ndio chanzo cha mifarakano miongoni mwa wasanii wa filamu hapa nchini. Sidhani kama kifo cha Kanumba kitaweza kumaliza migogoro na mifarakano iliyomo ndani ya tasnia hii ya filamu. Juhudi nyingi zinazofanywa na Shirikisho la Filamu (TAFF) kuwaunganisha wasanii hawa zinaelekea kugonga mwamba. Namhurumia sana Simon Mwakifwamba. Ana kazi kubwa ya kuwaelimisha maamuma hawa, kwani wengi wana elimu duni, na licha ya umaarufu wao, ni maskini wa kutupwa. Mtu anauza nakala zaidi ya milioni za filamu mpya inayotoka, lakini anaambulia patupu. Wangekuwa Hollywood, wala tusingeongelea haya leo. Wao ndio wangekuwa wanatoa fedha zao mfukoni kuwasaidia Mzee Kanumba na Mama Kanumba.
 
Back
Top Bottom