MAZISHI ya Hayati Mohamed Ali (Bob) Nyanga Makani, Juni 13,2012

bwna ametoa na bwna ametwaa jina la bwna lihimidiwe vile vile innallilah waina illah rjiooun pumzike kwa amamai Kamanda Makani na si dhanio la kifisadi kuhusisha kaika kipindi kigumu kwa wanafamilia na makamanda wote

Tumaini Makene tupia mawili matatu bila kusahau picha tafadhali
 
Kumbe alikuwa na ni muislam...Never knew this...tukutane paradiso Bob.

huwa wanasema cdm ni cha wakristo na wakaskazini vipi kwa bob....
yaani hiki kifo kuna watu kimewaumbua....wengine walianza kutoka moshi mdomoni palepale karemjee
 
Back
Top Bottom