Mazingira haya ya elimu ya mtanzania halisi na posho ya tshs300,000 kwa siku!!aibu.

Vitendo

JF-Expert Member
Oct 23, 2009
582
103
miak50.jpg
Aibu hii sijui hadi lini!!!
 
asee yani namna hii hata Mungu hapendi jamani watu wanajizulia laana bureee....? manake yani mtoto kama yule angeweza kujengewa hata darasa angefurahi sana ila jamaa wanataka posho ipande bungeni.... jamani huu si utu///
 
Je mambo haya ndio ya kujivunia miaka 50 ya uhuru huku waheshimiwa wakitumia mabilioni ya shilingi kununua majumba huko New York na Washington?
 
Ndio maana ikifika wakati wa campain,wanakuwa karb na wananc ili wapate kula nasio kura,posho lk 3 per day,mchele kl ni sh 2000 sasa mwenzang na mi ni kunywa uji tu maisha yanaendelea.
 
Nimejaa upepo mpaka natamani nipasuke tu! Maisha gani haya jamani? Ukiona watu wanajitoa muhanga, yanaanza hiivi hivi. Sasa tuliowatuma kulinda raslimali zetu ndio kwanza wamegeuka mchwa! Watanzania kweli hatuna bahati. Ee Yesu rudi mapema!
 
Back
Top Bottom