Mazingaombwe (Jugglery) ni Sayansi au Uchawi?

Mkuu, mazingaombwa (magic)
yapo ya aina mbili na kila moja ina namna yake yanavyo fanyika.

1.Kuna yale ya kutumia trick tu za macho, kachukua hiki kaweka pale n.k ni speed ya mikono na utendaji. Katika hii aina pia wameamua kuiboresha kwa kuingiza technolojia na Sayansi. Kama kucheza na mwanga(light) ili kukutrick macho yako, kutumia glass iliyopo kwenye maji mtu anatembea juu ya glass unahisi ni maji. Kuna kuchanganya some Raw chemicals moto unawaka n.k ambapo sayansi na technlojia hutumika, hawa hawanaga uchawi.JUST AKILI ZA KUDANGANYA MACHO YAKO.

2.Real Magic, hawa hutumia insible forces, wanatumia superexistance creatures( mfano majini) katika utendji wao, kuna majini yapo maalumu kabsa kwa ajili ya mazingaombwa na kazi za kufanana na hizo.
Rememb wataalamu husema majini wapo wengi sana kuliko binadamu kwa ratio hata ya 1:300 Wale real magician wanaend ku make mikataba na hawa viumbe ilikuweza kuwatumia ku entertain, kwa kipindi chote cha maisha yake hapa utakutana na wale magwiji kama Dianamo magician na wengine. Haya hufanyika.
 
Mimi natamani sana kujifunza sanaa ya mazingaombwe. Kama kuna mtu anajua mahali pa kupata elimu hii naomba anijuze.
 
Nimekua nikishuhudia wana mazingaombwe maarufu Duniani kama DYNAMO (Magician impossible) na TROY jinsi wanavyofanya Mazingaombwe mfano kuingiza smart phone kubwa kwenye chupa na Ikawa ndogo.
au kusoma mawazo yako na kukuambia ulichokiwaza katika fikra zako. ama kupoteza pete pete ikakutwa kwenye dafu baada ya kulipasua,,kutembea kwenye maji, nk.
images
images
images
images

Dynamo


Ni rahisi kumuuliza mtu Kile ulichoona kwenye Michezo ya Mazingaombwe akakujibu SI KWELI BALI kile Ni KIINI MACHO Tu..
Q; NiNI maana ya KIINI Macho? Na nini maana ya UChawi?

images

Troy

Je hakuna Uhusiano wowote wa MAzingaombwe na UCHAwi. wakina Pasco na wachangiaji wengine ningeomba maoni yenu????
 
Mazingaombwe si uchawi kaka.. ni brain game.. wana mazingaombwe wana vipaji maalum vya akili na wana akili kuweza kucheza na akili za watu wengine kirahisi
 
Kwanini umemtag Pasco kwani na yeye ni mchawi kama wana mazingaombwe?
 
Last edited by a moderator:
Huo ni uchawi, nishashuhudia mtu anakatwa kichwa laivulaivu na kirudishiwa
 
Dynamo anasema alijifunza kupitia kwa Babu yake na kusoma vitabu, naamini ana nguvu ya majini.
Anafanya vitu ambavyo ni Imposible, akifungua kanisa Bongo kina Gwajima watafunga biashara zao.

Nakubaliana na ww ni uchawi maana kama kupaa hata wachawi wanapaa na kama kupotea hata wachawi wanapotea
 
Nakubaliana na ww ni uchawi maana kama kupaa hata wachawi wanapaa na kama kupotea hata wachawi wanapotea

Jaribu kufanya meditation ikianza kukolea hata kupaa inawezekana,
We human beings tumezaliwa na nguvu aina tofauti tofauti ila zinapotea kutokana na kutotumika kwa kadri miaka inavyosonga
 
Dynamo anasema alijifunza kupitia kwa Babu yake na kusoma vitabu, naamini ana nguvu ya majini.
Anafanya vitu ambavyo ni Imposible, akifungua kanisa Bongo kina Gwajima watafunga biashara zao.

Uwezo wao una ukomo. Unawashindanisha kimakosa kwa kuwa waumini wa kanisa lolote la kiroho hawafanyi miujiza wao bali kwa uwezo wa nguvu za Mungu. Yohana 14:12-14 na Mathayo 10:8. Hivyo hakuna mwanamazingaumbwe yeyote anayeweza kuzima kazi ya Mungu tangu ulimwengu kuumbwa hadi siku ya hukumu. Atukuzwe Mungu Yahweh katika jina la Yesu.
 
Uwezo wao una ukomo. Unawashindanisha kimakosa kwa kuwa waumini wa kanisa lolote la kiroho hawafanyi miujiza wao bali kwa uwezo wa nguvu za Mungu. Yohana 14:12-14 na Mathayo 10:8. Hivyo hakuna mwanamazingaumbwe yeyote anayeweza kuzima kazi ya Mungu tangu ulimwengu kuumbwa hadi siku ya hukumu. Atukuzwe Mungu Yahweh katika jina la Yesu.
Wewe umesahau shetani aligeuza mawe kua Mkate, fimbo kua nyoka? walipewa uwezo pia. Back to our topic unauhakika gani hao watumishi wa mungu hawatumii Soma Mathayo-24:mstari wa kwanza na kuendelea ( kwa maana watatokea makristo wa uongo, na manabii wa uongo, nao watatoa ishara kubwa na maajabu; wapate kuwapoteza, kama yamkini, hata walio wateule) we una uhakika gani kama Gwajima katumwa na Mungu? hizi dini mnazokurupuka nazo ni tatizo.
 
Kuna mazingaombwe ambayo ni uchawi lakini pia kuna mazingaombwe ambayo ni just tricks tu na janja janja nyingi, ukitaka kuziona hizi janja janja, kuna kipindi kinaitwa breaking the magician codes au biggest secrets now revealed, hapa utakutana na jamaa aliyebobea ambaye anaonesha mazingaombwe bila kutumia uchawi wowote ule then mwisho ana reveal the secret behind, ukigundua hizo secret unaweza ukacheka, ni mambo ya kitoto sanaaa na si uchawi kabsaaaaaa, just nenda youtube andika biggest secrets now revealed then watch utanambia.
 
Jamani kwanza nitoe pole na pongezi kwa mihangaiko ya maisha ya kila siku........pili mie naombi kwenu ndugu zangu watanzania.............mimi napenda sana na ninandoto za kuwa mwanamazingaombwe kama kina damian magician....ila bado cjapata mwanga halisi wa haya mambo..hivyo naomba kama kuna mwenye idea au anamtu anaemtambua anaweza kufanya vitu hivi anisaidie kumpata au kama kuna anayetambua japo kidogo naomba tuwasiliane samahanini sana

napatikana dar....kimara mwisho
 
nahisi kuna kitu kinafichwa na hawataki kusema, haiwezekani watu wote wanaosema ni trick tu wanaishia kutoa link za muvi..hakuna hata mmoja ameweza kuthibitisha au kuwa na jibu la kueleweka hizo trick zinafanywaje, kila mtu anayegusia alafu anasema atarudi..
rakim kasema atatoa mfano wa mkono kutoa moshi naye kalala mbele

mwaka wa tatu sasa toka thread imeanzshwa naona majibu ya kimazingaumbwe...

huo ni UCHAWI tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom