Maximo, Coutinho out Yanga, Pluijm na Tambwe ndani

mi huwa nawapenda hawa jamaa wakivurugwa wanakimbilia AZAM huwezi hama team ya pira hata siku moja...huo ni uongo hakuna mpenzi wa AZAM tuacheni uongo jaman. ni ni uongo kuwa kutakuwa na maendeleo ya mpira kama simba na yanga zitakufa..angalia kipato ambacho imepata AZAM Kwenye mechi zake utagundua haina washabiki wa maana ni wale ambao wakivurugwa simba wanakimbilia huko wakivurugwa yanga wanakimbilia huko. so tuache kudanganya.YANGA imepigwa na Simba watu wanahamia AZAM m[aka ikianza kushinda wanarudi tena Yanga....TUACHE UNAFIKI.
 
aende zake bwana kocha gani anyeogopa kuishambulia simba anajaza viungo wa ulinzi tu? Simba hii inayo teswa na stand Go maunited leo inaitoa jasho yanga iliyojaza wachezaji wa timu za taifa kibao. Je ikiklutana na zamaleki si itapigwa kumi>kumi. Go MASIKIO MASKIO
 
aende zake bwana kocha gani anyeogopa kuishambulia simba anajaza viungo wa ulinzi tu? Simba hii inayo teswa na stand Go maunited leo inaitoa jasho yanga iliyojaza wachezaji wa timu za taifa kibao. Je ikiklutana na zamaleki si itapigwa kumi>kumi. Go MASIKIO MASKIO

Kwani mara zote simba inapowachapa hua maximo anakuwepo?

5 bila ilikuwaje?

3 -1 ilikuwaje.?

Kubalini tu...kimpira Yanga haina uwezo wa kuifunga simba hata iweje

Acheni visingizio
 
Mechi ya Mtani Jembe ni siku ambayo Yanga huwapa talaka makocha wao!!

Mkuu sembo wewe ni mwepesi sana kuona maajabu kwa Yanga. Hebu jiulize Logaloga alifukuzwa kwenye mechi gani? Haikuwa lile bonanza la Simba Day ambapo mlikula bakora 3 toka kwa Zesco ya Zambia? Kama ninyi mmemtimua kocha baada ya kufungwa katika mechi ya bonanza tena kocha akiwa amesaini mkataba mpya hata mwezi haujapita, itakuwaje Yanga ikifungwa na Mtani wake? Nyani haoni kundule bali huona la mwenzake.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom