Mawazo magumu

TOWASHI

JF-Expert Member
Nov 30, 2011
294
181
Katika kujaribu kufikiria kuhusu jiji la Dar es salaam hususan msongamano na vurugu Kariakoo, nikapata wazo gumu la kufunga soko la Kariakoo. Linaweza kugeuzwa kuwa ofisi au kubomolewa na kuwa open space. Masoko ya nje ya mji kwa maana ya kila manispaa yakaboreshwa au kujengwa upya. Ni mawazo tu
 
Ama likafanywa nyumba ya kuishi waziri wa mambo ya nje ambae anaishi hoteli ya gharama na kuzidi kunyonya kodi za walala hoi
 
Back
Top Bottom