Hata ningekuwa mimi nisingemuacha, ndio mtindo wa siku hizi,wachota maji, huchotea kwenye ndoo na kidumu ila kwa kawaida kidumu huwa kimoja hivyo ni rahisi kukibeba na ndoo, tatizo linakuja pale kwenye kidumu zaidi ya kimoja, utavibeba vingapi?. Hata hicho kidumu kimoja nacho lazima kibebeke, kama hakina kishikio, hata ukikibeba hakibebeki.sasa je ,ungekuwa wewe ungemuacha demu wako ?
No matter how good one is, ukishakataliwa na wananchi you are done. JK akiwabeba kwa mbeleko ya vile viti vyake, mbeleko hiyo itageuka sanda kwenye kaburi la CCM 2015
Bado muda mchache tutaambiwa the country is experiencing dictatorship rule![/QUOTE]
Kuna udictatorship ndani ya regime ya Kikwete upo, kutuma na kufadhili vyama vikijifanya upinzani kumbe ni mamluki(TLP- Dovutwa) nao ni style ya udikiteta, Mobutu aliitumia sana hii bila kusahau disarming of potential threats kama alivyofanya kwa Sita
Mtanzania, nakubaliana na wewe kuwa Batilda ni mpiganaji. Wananchi wakishasema hapana, wewe ukilazimisha ni kuwatukana.Pasco,
Kukataliwa kwa Batilda nitofauti hivyo bado naamini atabebwa. Batilda hakuwa mbunge wa Arusha na alikuwa anagombea mara ya kwanza.
Kukataliwa ambako inakuwa ngumu kubebwa ni kama kule kwa Masha, Marmo, Kamala na wengine ambao walikuwa wabunge wa majimbo hayo na wananchi wao wamesema hapana.
Batilda amejitahidi kwa kuacha viti maalum ambavyo angepita bila matatizo na kwenda kwenye siasa za matusi na ugomvi kibao kwenye jimbo. Hata kama ameshindwa hatakiwi kuadhibiwa kwa hilo. Yeye ni bora zaidi ya akina Simba ambao bila aibu waliamua kusubiri vya kupewa.
Inawezekana kwani afya yake si nzuri sana.Ingawa mpaka sasa ni tetesi tu lakini I have it from a pretty reliable source kwamba Mheshimiwa Mizengo Pinda anaweza kupumzishwa kutokana na ushauri wa daktari. Yangu mancho
Tuweke majungu kando, hivi Vicky Kamata hana uwezo wa uongozi? Huyu inasmekana anamasters degree. Tatizo liko wapi? Anafanana na Sugu?Unataka kunambia hadi Vicky Kamata naye atapewa wizara?
Lakini jamaa hashindwi yule.
Safari hii mkwere atawashangaza atakuwa raisi wa Kwanza kuunda baraza la mawaziri wote wanawake! Kuanzia waziri Mkuu na wizara zote. Wanawake wanaweza wakiwezeshwa.
Hata ningekuwa mimi nisingemuacha, ndio mtindo wa siku hizi,wachota maji, huchotea kwenye ndoo na kidumu ila kwa kawaida kidumu huwa kimoja hivyo ni rahisi kukibeba na ndoo, tatizo linakuja pale kwenye kidumu zaidi ya kimoja, utavibeba vingapi?. Hata hicho kidumu kimoja nacho lazima kibebeke, kama hakina kishikio, hata ukikibeba hakibebeki.
Kwa hiyo zile habari kwamba anaishi kwa matumaini ni za kweli? Mbona viongozi wengi tu awamu iliyopita wanaishi kwa matumaini ikiwa pamoja na kaka mkuu?Inawezekana kwani afya yake si nzuri sana.