Kimbunga
Platinum Member
- Oct 4, 2007
- 14,941
- 9,947
Issue si gazeti; hii ni tangu juzi, hivi haikufika hapa JF?
Mkuu tangu juzi? Ukatunyima hii habari?
Issue si gazeti; hii ni tangu juzi, hivi haikufika hapa JF?
Ingia hapo(global publisher)kisha peruzi humo kuna taarifa inayoendana na ya uzi huu!
Kuna taarifa za kuaminika kwamba JK atatangaza baraza jipya la mawaziri punde,lakini ameiomba mamlaka husika kuwafungulia mashitaka mawaziri wake wote waliotajwa na ndg LUDOVIC UTOUH kama
wabadhilifu wakubwa wa mipesa ya wa tz..na tayari ameshawapiga pini mawaziri wote wasitoke nje ya Dar.
Mh JK ameamua kuchukua uamuzi wa kuwashitaki mawaziri wake ili kukinusuru
Chama na kasheshe la uchaguzi mkuu ujao.
Bado nafatilia na kama kuna taarifa mpya ntawajuza.

Rais anachemka, huwezi kumwambia waziri ninakufukuza kazi ndani ya siku chache halafu ukamwacha ofisini, anaweza kuhujumu wizara/nchi.
Ilibidi siku ile ile alipoamua kuvunja baraza na kuutangazia umma basi angewasimamisha kazi siku ile ile, au asubiri akisha sort out kila kitu na kujua washikaji gani anawateua na nani anawatosa ndio awaambie waliopo kwamba nimewa fire, kesho msije kazini.
hahaaa wapi??? Global Publisher...
Hebu rudia tena
Kwa kutuhumiwa kule tu, walitakiwa kuachia ofisi na kupisha uchunguzi huru!
Hapa ndipo utajua mwafrika n i nani!
This is c rap! Kikwete ni goi goi na mzembe! Doesn't have spine to act! Mzee wa misiba na semina elekezi! Sasa hivi anasumbuliwa na ugonjwa Huu "second term syndrome"
toka jana mnatuambia hapa watatangazwa hivi punde...na hao walioteuliwa wataapishwa lini?
Thread yenyewe sii imewekwa kwenye tetesi au?Heading inatakiwa ianze na 'TETESI'
Pili, JK ni legelege sana, kwani haya mambo ya ubadhilifu ameanza kuyajua leo?
Huyu yupo kwenye baraza....Mbona maghembe yupo nje ya Dar?
...punde mkuu! Hahaaaaa...na hao walioteuliwa wataapishwa lini?