Elections 2010 Mawaziri waliodondoka uchaguzi mkuu 2010

Nimefurahishwa na baadhi ya matokeo leo, kwa uhakika Watanzania sasa tunaanza kufumbuka macho, CCM wameharibu ma bilioni ya pesa kwa kampeni zao zisizo na maana na wameambulia patupu, safiiii sana. Pongezi kwa wakazi wa mikoa walio hakikisha mabadiliko ya kisiasa Tanzania.
 
1. Prof. Peter Msola
2. Nsanzugwako
3. Getrude Mongela
4. Mary Nagu
5. Mjengwa Maggid
6. Issa Michuzi
 
Jamani weka list ya Mawaziri waliodondoka hapa!!! only list no posting long sentences.

Kasheshe mawaziri wa CCM unawataka wa nini? Hawana msaada wowote na hivyo hawasitahili kutwajwa hata. Uwaziri wao haujawa na msaada wowote zaidi ya kupalilia ufisadi.
 
Back
Top Bottom