BK Wazalendoo halisiaa.........
Kwanini mawaziri wote makini wa serikali yetu mpaka sasa wanatoka mkoa mmoja?
mada zingine pumba tu. Hata karamagi.
Tanzania nzima "coder" wa ukweli wa Java namba moja ni mimi na kama wewe ni "coder" wa ukweli jina langu litakuwa sio geni kwako ila kama ni uchwala hauwezi nijua mimi, mimi ni mzee wa java.Unaaibisha hilo chata kwenye Avatar yako,sie Ma "Coder" tunajua maana yake,na jinsi akili zako zilivyo,sidhana hata kama unajua Maana ya JAVA,the powerfull and my lovely programming Language
Kwani BK ni mkoa au wilaya?Kuna majuha wengi wengi ila ni muhimu tuwaelimishe;
Skill4ever;
Aliyekwambia kuwa ChaTo iko Bk ni nani?
Unaufahamu Mkoa wa Geita una wilaya ngapi?
Geita yenyewe, Chato, Nyanhwale nk.
Maeneo haya kuna mchangayiko wa watu wa jamii mbalimbali kuanzia Katoro, Buselesele,chato yenyewe na Geita kwa sababu ya Dhahabi ingawa Kabila kubwa zaidi Tanzania na wajanja zaidi kwa sasa maana ndiyo walio na wapinzania wengi bungeni ndiyo wengi eneo hili.
Uwe na upeo wa kuongea point constructive kwa watu uasiongee pumba hapa.
Kwanini mawaziri wote makini wa serikali yetu mpaka sasa wanatoka mkoa mmoja?
Acid, mimi ndio niliyetoa mada na sijasema umakini ni uvuvuzela, kama ulikuwa na unataka kujua kigezo changu cha umakini ungeniuliza. Umakini ni vitendo na kufuata katiba na sheria zinazoongoza nchi. Mavuvuzela hawako serikalini unajua wanapatikana mtaa wa ufipa kinondoni.Holy crap!!!
Sikutegemea kitu kama hiki JF, kumbe umakini ni uvuvuzela?
naanza kufananisha dubo na dubious
unfortunately i dont want to be dragged into agrument because we may have to go just 12 months ago kujua kagasheki, kamala, na few years ago kujua mkuu karamagi halafu tumchunguze vizuri mzee wa sundi malomo, mama wa ukabila na hata mwingine... hii ni iwapo utakuja mtindo huoAcid, mimi ndio niliyetoa mada na sijasema umakini ni uvuvuzela, kama ulikuwa na unataka kujua kigezo changu cha umakini ungeniuliza. Umakini ni vitendo na kufuata katiba na sheria zinazoongoza nchi. Mavuvuzela hawako serikalini unajua wanapatikana mtaa wa ufipa kinondoni.