Mawaziri makini

Dubo

JF-Expert Member
Aug 16, 2010
322
17
Kwanini mawaziri wote makini wa serikali yetu mpaka sasa wanatoka mkoa mmoja?
 
Kwanini mawaziri wote makini wa serikali yetu mpaka sasa wanatoka mkoa mmoja?

Fikiria vizuri kuna mambo mengine ya msingi. Kama vp kasome post za Katiba mpya upate mzuka
 
Kuna majuha wengi wengi ila ni muhimu tuwaelimishe;

Skill4ever;
Aliyekwambia kuwa ChaTo iko Bk ni nani?

Unaufahamu Mkoa wa Geita una wilaya ngapi?

Geita yenyewe, Chato, Nyanhwale nk.

Maeneo haya kuna mchangayiko wa watu wa jamii mbalimbali kuanzia Katoro, Buselesele,chato yenyewe na Geita kwa sababu ya Dhahabi ingawa Kabila kubwa zaidi Tanzania na wajanja zaidi kwa sasa maana ndiyo walio na wapinzania wengi bungeni ndiyo wengi eneo hili.

Uwe na upeo wa kuongea point constructive kwa watu uasiongee pumba hapa.
 
Unaaibisha hilo chata kwenye Avatar yako,sie Ma "Coder" tunajua maana yake,na jinsi akili zako zilivyo,sidhana hata kama unajua Maana ya JAVA,the powerfull and my lovely programming Language
 
mada zingine pumba tu. Hata karamagi.

Usimuhukumu, mpe kwanza haki ya kujieleza. Awataje kwa majina na nyadhifa zao, wizara zao, na majimbo waliyotokahao anaodhani ni mawaziri makini. Ataje pia anaodhani ni wazembe tangu uhuru hadi leo na sababu zake.
 
Unaaibisha hilo chata kwenye Avatar yako,sie Ma "Coder" tunajua maana yake,na jinsi akili zako zilivyo,sidhana hata kama unajua Maana ya JAVA,the powerfull and my lovely programming Language
Tanzania nzima "coder" wa ukweli wa Java namba moja ni mimi na kama wewe ni "coder" wa ukweli jina langu litakuwa sio geni kwako ila kama ni uchwala hauwezi nijua mimi, mimi ni mzee wa java.

Mimi nimeuliza swali kwanini mawaziri wengi makini wanatoka mkoa mmoja? Nasijautaja nashangaa nahisi mnaujua.
 
Kuna majuha wengi wengi ila ni muhimu tuwaelimishe;

Skill4ever;
Aliyekwambia kuwa ChaTo iko Bk ni nani?

Unaufahamu Mkoa wa Geita una wilaya ngapi?

Geita yenyewe, Chato, Nyanhwale nk.

Maeneo haya kuna mchangayiko wa watu wa jamii mbalimbali kuanzia Katoro, Buselesele,chato yenyewe na Geita kwa sababu ya Dhahabi ingawa Kabila kubwa zaidi Tanzania na wajanja zaidi kwa sasa maana ndiyo walio na wapinzania wengi bungeni ndiyo wengi eneo hili.

Uwe na upeo wa kuongea point constructive kwa watu uasiongee pumba hapa.
Kwani BK ni mkoa au wilaya?
 
Dubo nashukuru kwa changamoto. Umeuliza swali Skill4ever akajibu wengine wakaamua kumjibu Skill wakidhani wenyewe ndo VETO badala ya kukujibu wakamshambulia uyo. Ktk kuchanganua wanaonesha ujinga wao. Jamaa kasema bk wao wanaanza kulopoka. Pia wengine wakakimbilia chato wakati skills4ever hajataja uko,iyo ndo saikolojia inaiita 'defence mechanism'. Nimeamini ukitaka kujua ukweli wa mtu mchokoze tu,atakuona mjinga kisha nae atataja ujinga wake. Point of correction. Kagera ina wilaya zaidi ya 7. Bkb iko kagera. Kuwa na great thinking!
 
Kwanini mawaziri wote makini wa serikali yetu mpaka sasa wanatoka mkoa mmoja?

1. Kwa sababu mikoa mingine haina mawaziri
2. Inategemea umakini unaupima kwa vigezo vipi?, kuonekana kwenye vyombo vya habari mara nyingi, kupenda kuonekana kama unafanya kazi bila kuangalia athari ya matendo yako yaani kuamua kufanya bila kupima Faida na hasara
3. Kwasababu hukuwataja inakuwa vigumu kutaja ni mkoa upi na ubora wao umeupimaje kwa kipindi hiki kifupi mno?
 
Ukisoma maoni ya watu, utajua kuwa JF kuna vilaza wengi sana.
Mfano mtu anauliza chato iko bk, tangu lini wilaya ikawa ndani ya wilaya nyingine?
 
Holy crap!!!

Sikutegemea kitu kama hiki JF, kumbe umakini ni uvuvuzela?

naanza kufananisha dubo na dubious
 
Holy crap!!!

Sikutegemea kitu kama hiki JF, kumbe umakini ni uvuvuzela?

naanza kufananisha dubo na dubious
Acid, mimi ndio niliyetoa mada na sijasema umakini ni uvuvuzela, kama ulikuwa na unataka kujua kigezo changu cha umakini ungeniuliza. Umakini ni vitendo na kufuata katiba na sheria zinazoongoza nchi. Mavuvuzela hawako serikalini unajua wanapatikana mtaa wa ufipa kinondoni.
 
unfortunately i dont want to be dragged into agrument because we may have to go just 12 months ago kujua kagasheki, kamala, na few years ago kujua mkuu karamagi halafu tumchunguze vizuri mzee wa sundi malomo, mama wa ukabila na hata mwingine... hii ni iwapo utakuja mtindo huo

Lakini kwa mtindo wa utendaji kazi usio wa kikabia au kimkoa tutakua pamoja

nasema hivi kwasababu sipendi ukabila mkuu, naomba unisamehe

kuna mtu nilishawahi mwambia if i had a gun and i could see you i will shoot myself, main reason to that gesture was i just dont like divisive people kwani madhara yake si ya leo tu na tuna wajinga wengi waweza kubebea bango divisions za zamna hiyo
 
Back
Top Bottom