Mawaziri hawa wana tatizo gani?

Tatizo tulilonalo ni mafumo:Fikiria kama JK angekuwa na uwanja mpana wa kuteua mawaziri&nbsp;kati ya watanzania zaidi ya milioni 42 kwa takwimu zinazokadiriwa kufikia sasa,akaachana na dhana ya kuchagua mawaziri miongoni mwa wabunge wa chama cha mapinduzi....Tujikite katika kuutafutia mzizi mfumo mbovu uliopo...<br>
 
Kwa sasa hakuna waziri mchapa kazi. Kama mkuu wa kaya utendaji wake wa kazi ni asilimia 20, mawaziri lazima utendaji wao uwe chini ya hapo. Vinginevyo wataonekana wanamdhalilisha mkuu wako. Kwa hiyo hata wale walionekana wachapa kazi enzi za Mkaa hapa wamenywea au wamelazimishwa kunywea. kumbuka magufuli alivyotiwa kufuli kubomoa nyumba zilizo ndani ya road reserve kule ubungo na mwenge.
 
Tibaijuka nae kafanya nini hadi umsifie? Au kwa sababu alivunja ukuta wa mwarabu pale palm beach? Baada ya hapo nini kiliendelea kama si kuufyata mkia.

Kweli Tibaijuka nae kaufyata mkia wake kwani wananchi tumepeleka malalamiko kuwa huku Jangwani Beach kuna fisadi katuzibia barabara kwa kujenga ukuta mpaka leo hii hakuna lolote lililotendeka ; amebakia kuzungumzia mambo ya Kigamboni, wanangoja mpaka wananchi wachukue sheria mkononi ndio waanze kuzinduka!!
 
tmebaki na mawaziri wawili tu tibaijuka na magufuli,pamoja na naibu wetu mwanri,hao uliowataja wakapumzike tu jaman,na tena mwanri anafaa kuwa waziri mkuu
Mkuu wangu hakika nakuambia hakuna kitu hapo. Ukiona mtu anazungukazunguka na waandishi wa habari na kuwalipa posho nono ujue ana agenda yake. Utendaji wa akina Mwanri ni wa kwenye TV tu. Kila siku Mwanri anakemea watu mbona sijasikia wakichukiliwa hatua? Mkuu wangu nakumbuka maneno ya Bob Marley alilosema kwamba siki moja usiku ungekuwa mchana ghafla watu wangeshangaa na mambo yote ya viongozi wetu yakiwekwa hadharani watu mtashangaa.
 
Mwanri ni kama mcheza sinema. Matendo na maneno yake hayana uhalisia.Tuletee data za ofisini kwake interms of effeciency na corruption
 
Laana ya wananchi wanyonge wanaolia kwa kunyanyaswa...na wasipokaa vyema wataenda wengi sana India.
 
Mwanri ni kama mcheza sinema. Matendo na maneno yake hayana uhalisia.Tuletee data za ofisini kwake interms of effeciency na corruption

Mwanri na Pombe ni kama wanafanana...Ila Mwanri yeye ni janga zaidi,hasira nyingi na kupiga kelele,ni kama mbwa anayebweka wakati hana meno.
 
Back
Top Bottom