eyetyna
Senior Member
- Jun 24, 2011
- 148
- 17
mapenzi yapo hapa?
- unampigia simu asubuhi kujua anaendeleaje na ameamkaje then hapokei?
- na je ni kwamba siku nzima yupo bize na kazi kiasi kwamba amekosa muda wa kujua nani kanitafuta siku nzima?
- anakaa siku nzima hakutafuti mpka wewe uanze na ukimtafuta hapokei mpaka anapotoka kazini ama anapofika nyumbani?