Mawasiliano

eyetyna

Senior Member
Jun 24, 2011
148
17
mapenzi yapo hapa?
  • unampigia simu asubuhi kujua anaendeleaje na ameamkaje then hapokei?
  • na je ni kwamba siku nzima yupo bize na kazi kiasi kwamba amekosa muda wa kujua nani kanitafuta siku nzima?
  • anakaa siku nzima hakutafuti mpka wewe uanze na ukimtafuta hapokei mpaka anapotoka kazini ama anapofika nyumbani?
HELP ME
 
Hakupendi huyo. Muna muda gani kwenye mahusiano?
 
mapenzi yapo hapa?
  • unampigia simu asubuhi kujua anaendeleaje na ameamkaje then hapokei?
  • na je ni kwamba siku nzima yupo bize na kazi kiasi kwamba amekosa muda wa kujua nani kanitafuta siku nzima?
  • anakaa siku nzima hakutafuti mpka wewe uanze na ukimtafuta hapokei mpaka anapotoka kazini ama anapofika nyumbani?
HELP ME

Duh hapo kuna walakini
Maana angekuw ayuko busy kuna hata time ya lunch anaweza kuangalia simu yake ni nani na nani wamempigia akafanya hata kuwapigia na kujua hali zao au walikuwa na shida gani au kutuma hata sms
Duh hebu chunguza tena
 
Ukiona hivyo ujue mapenzi kwako yameshaisha. jaribu kukaa naye akueleze ukweli
 
YAAN NASHINDWA HATA KUELEWA.NA NILISHAMUHOJI AKASEMA KAZI NI NYING NA ANAKOSA MUDA HATA WA SIMU.
AKAJIREKEBISHA NA BAADA YA MUDA TENA ANACHANGE.
  • KUNA VITU ANAVYONIONYESHA KWELI ANANIPENDA LAKINI SIMUAMIN COZ OF THIS
  • NA YEYE ALISHAWAHI KUNIAMBIA KUWA MAWASILIANO HAYAPI KIPAUMBELE SAN KATIKA MAHUSIANO
  • YEYE ANACHOJUA NIKO NDANI YA MOYO WAKE
  • NA HATA NIKIKAA KIMYA SIKU MBILI AMA TATU HASTUKU WALA HACHANGE ANAKUWA YUKO NORMAL
inaniuma sana.
 
mmmmh nilijaribu kumzoea kwa design hiyo lakin najikuta naumia sana,na nilishawahi kumwambia tuachane kisa hiki akagoma kabisa,lakin sasa najikuta naumia sana.
 
YAAN NASHINDWA HATA KUELEWA.NA NILISHAMUHOJI AKASEMA KAZI NI NYING NA ANAKOSA MUDA HATA WA SIMU. AKAJIREKEBISHA NA BAADA YA MUDA TENA ANACHANGE.
  • KUNA VITU ANAVYONIONYESHA KWELI ANANIPENDA LAKINI SIMUAMIN COZ OF THIS
  • NA YEYE ALISHAWAHI KUNIAMBIA KUWA MAWASILIANO HAYAPI KIPAUMBELE SAN KATIKA MAHUSIANO
  • YEYE ANACHOJUA NIKO NDANI YA MOYO WAKE
  • NA HATA NIKIKAA KIMYA SIKU MBILI AMA TATU HASTUKU WALA HACHANGE ANAKUWA YUKO NORMAL
inaniuma sana.
mh kwel inauma, hapo mara nying hakuna mapenzi. We jaribu kukaa kimya hata wiki uone mweleo.
 
sasa nikikaa tu siku mbili nashindwa kuvumilia naumia sana mwisho wa siku naamua kumwambia tuachane na inashindikana na ndo anasema eti mwakan anioe jamani kwa staili hii kweli ntaweza mimi
 
mh pole but hata kukaa kimya ni njia ya kumuweka mtu karibu, jaribu ushauri wangu japo ni mgumu, itakusaidia kujua mbivu na mbichi.
 
Hakutaki huyo!Hakuna mtu anakosa muda wa kuwasiliana na ampendae hata kama amebanwa vipi!Muda unakosekana kwa usiempenda wala kumjali!
 
angalia inawezekana likawa ni li mume la mtu. likiwa na wife wake linajidai liko bize! so utakuwa nyumba ndogo kabsaaa kwa dalili hizo mmmmh
 
mkuu mda mwingine inabidi kujikaza tu,japo ni ngumu kama unapenda mawasiliano ya mara kwa mara, kaa kimya hata week mbili itakusaidia kuelewa upo na mtu wa aina gani
 
Seems ako na m2 mwingne tena yuko around him muda wote wa kazi so akipokea cm yako atakuwa haongei kwa uhuru. Vipi one day km inawezekana ukampa visit ya ghafla ofcn kwake muda wa lunch ukajionee mwenyewe? Duh! Pole sana!
 
YAAN NASHINDWA HATA KUELEWA.NA NILISHAMUHOJI AKASEMA KAZI NI NYING NA ANAKOSA MUDA HATA WA SIMU.
AKAJIREKEBISHA NA BAADA YA MUDA TENA ANACHANGE.
  • KUNA VITU ANAVYONIONYESHA KWELI ANANIPENDA LAKINI SIMUAMIN COZ OF THIS
  • NA YEYE ALISHAWAHI KUNIAMBIA KUWA MAWASILIANO HAYAPI KIPAUMBELE SAN KATIKA MAHUSIANO
  • YEYE ANACHOJUA NIKO NDANI YA MOYO WAKE
  • NA HATA NIKIKAA KIMYA SIKU MBILI AMA TATU HASTUKU WALA HACHANGE ANAKUWA YUKO NORMAL
inaniuma sana.

Pole dia ila naona kunashida mahali. Sidhani kama unaweza kuwa bize kwa siku nzima kwa mtu unayempenda. Sijui........labda mi niko very demanding......lakini duu, sipati picha. Mi sidhani kama ningeweza.....duuh
 
mapenzi yapo hapa?
  • unampigia simu asubuhi kujua anaendeleaje na ameamkaje then hapokei?
  • na je ni kwamba siku nzima yupo bize na kazi kiasi kwamba amekosa muda wa kujua nani kanitafuta siku nzima?
  • anakaa siku nzima hakutafuti mpka wewe uanze na ukimtafuta hapokei mpaka anapotoka kazini ama anapofika nyumbani?
HELP ME

YAAN NASHINDWA HATA KUELEWA.NA NILISHAMUHOJI AKASEMA KAZI NI NYING NA ANAKOSA MUDA HATA WA SIMU. AKAJIREKEBISHA NA BAADA YA MUDA TENA ANACHANGE.
  • KUNA VITU ANAVYONIONYESHA KWELI ANANIPENDA LAKINI SIMUAMIN COZ OF THIS
  • NA YEYE ALISHAWAHI KUNIAMBIA KUWA MAWASILIANO HAYAPI KIPAUMBELE SAN KATIKA MAHUSIANO
  • YEYE ANACHOJUA NIKO NDANI YA MOYO WAKE
  • NA HATA NIKIKAA KIMYA SIKU MBILI AMA TATU HASTUKU WALA HACHANGE ANAKUWA YUKO NORMAL
inaniuma sana.

Duh.. nikikusoma ..naona umepatikana na unayo shida ya kweli.. Pole kwa mthani huo...

Ushauri wangu.. Funga mara moja moyo wako ili usindelee kuumia.. Haina haja ya kuchukua maamuzi ya jazba..lakini usimruhusu acheze na Saikolojia yako... yaani asiingie kichwani kwako.. Usijirahisi kwake..na vizuri mkabaki mnaheshimiana kama kaka na dada..kwa hilo utaweza kumjua vizuri kwani hautokuwa na pressure ya moyo..

Kumbuka Mapenzi ni kusikilizana..kama mmoja hana utahayari..kamwe hamtofika mbali..hata kama atalia hadi machozi ya damu..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom