sasa nikikaa tu siku mbili nashindwa kuvumilia naumia sana mwisho wa siku naamua kumwambia tuachane na inashindikana na ndo anasema eti mwakan anioe jamani kwa staili hii kweli ntaweza mimi
Inategemea, kakufanyia mara ngapi?Je mwanzoni ilikuwa inatokea kitu kama hicho?Je wewe mwenyewe uko swafffi? Hamjakwaruzana?Alipopokea baadae ukamuuliza alikujibuje?Kwani yeye kazi anayoifanya ni ya kumkeep bize kihivyo au ni za kuripoti na kukaa ofisini?jiulize hayo maswali ujue kama umechokwa au bado unabebeka.mapenzi yapo hapa?
HELP ME
- unampigia simu asubuhi kujua anaendeleaje na ameamkaje then hapokei?
- na je ni kwamba siku nzima yupo bize na kazi kiasi kwamba amekosa muda wa kujua nani kanitafuta siku nzima?
- anakaa siku nzima hakutafuti mpka wewe uanze na ukimtafuta hapokei mpaka anapotoka kazini ama anapofika nyumbani?