Wakili ni msaidizi tuu,
Mh ! ndugu yangu, mbona ni mapema sana kuweka wakili. Maana pale polisi kinachofanyika ni upelelezi tu ! Hizo nyaraka ni kwaajili ya kujiridhisha tu.
Wakili ni msaidizi tuu,
Hitaji la kuonyesha kadi ni hitaji la kisheria; watawala lazima watawale kwa mujibu wa sheria. Mama wa sheria ni katiba ndio mana nahitaji kifungu kilichozaa hiyo sheria ya polisi kuwa ni chombo cha kukagua umiliki na hati za viwanja,kuogopwa, nk. na kama utaalamu huo wanao; vipo vyombo vyenye kazi hiyo lakini sio polisi ndio maana wanasheria lazima waingie ili kujua hiyo sheria inayowapa polisi nguvu hiyo. Hata mahakamani sio kama kila ushahidi unaitishwa tu kiholela ndio mana kuna admissible na inadmissible evidence na kama mshitaki anahitaji ushahidi wa nyaraka zilizoko mikononi mwa mshitakiwa upo utaratibu wa discovery of documents mtu hajifanyii ujinga wake unavyomtuma. Hta hivyo hoja yangu ilihusu usemi wako wa kulalia kwenye usemi wa Askofu kusema haogopi; ndio mana nikasema wajibu wa raia ni kutii sheria na si kuogopa; definition ya kutii na kuogopa ni vitu viwili tofauti. Hata ndani kwako ukiwawekea watoto sheria ambazo wewe baba huzitii inakuwa shida ndio mana pamoja na boss kujiwekea sheria kadi ya gari kukaguliwa ni lazima na yeye pia akubali kuitii bali sio kutii vitu ambavyo havipo kwa mujibu wa sheria.For your info mine isn't an arguement but rather a contention sort of thing.
Mkuu Buchanan umewahi kusoma kitabu "The dark side of Julius Nyerere" nadhani kuna soft copy hapa JF unaweza kupitia kuna sehemu Marehemu Sheikh Yahaya alijionyesha akifanya kazi za usalama wewe na mimi tunalidhani ana kazi ya utabiri tu kumbe alikuwa na kazi nyingine kubwa.
Nimemfuatilia sana Kardinali Pengo tangu mfumo wa vyama vingi ulipoanza kufanyakazi alitumika sana kummaliza Augustine Mrema wakati uleeee tatizo waTanzania hatuna kumbukumbu nzuri.Kazi anayoifanya Pengo ni maagizo maalumu toka ofisi maalumu na kwasababu maalumu.
Kardinal Pengo safari hii katumika vibaya pengine uzee umemjia vibaya tusimlaumu hizo ni dalili za utuuzima.
Can you put down what EXACTLY Pengo said ? Usisahau pia kuandika alichosema Gwajima ili sisi tusiojua tuweze kulinganisha.
Unajua wewe na mimi tunajadili tu. That is why mwanzo nilikuomba tutumie maneno mazuri. Mimi niwe wazi tu, nimemfahamu Gwajima kipindi hiki cha msukosuko wake. Sina sababu ya kuwa subjective, najaribu kuangalia flow ya logic tu. Watu (Bishops) wamekaa na wakaja na azimio. Mtu mwingine (Kadinali) akapokea azimio, na yeye akasema anachoona baada ya kulipokea azimio. Mtu mwingine (Gwajima) ametoa matusi, au kama yeye anavyosema amekemea, whatever the language. Tuhuma ya msingi ya Gwajima ni kutukana au kutoa maneno ya kashfa kwa Kadinali.
Mimi sipendi kwenda kwenye vifungu vya sheria, sipendi pia kusema nani ana kosa at this stage. Tuangalie mpira kama unavyopigwa. Mimi nashawishika kuamini kuwa kuna mambo ambayo Polisi wameyaona au kuyagundua wakati wanamhoji kwa mara ya kwanza, au hata kabla ya mahojiano, yanayowapelekea kuhisi kama kuna uovu zaidi ya matusi. Kwa raia ambaye HANA jambo baya lolote analofanya (NI LOGIC TU), angekabidhi nyaraka zote ambazo polisi wameziomba. Kama zingeonekana ni nyaraka halali, hapo Gwajima angejisafisha kabisa na polisi wangekosa neno la kusema.
Ndugu yangu, Polisi tunao kwenye jamii, tunaishi nao, wanaona mambo mengi sana huku mtaani. Ukiona wana suspect kitu ujue wanataarifa kidogo kama 20-50%. Baada ya hayo mashaka, wamepunguza kasi ya kuhoji kuhusu matusi, wameamua kuanza na hayo mengine. Gwajima anajua siri ya mtungi kuliko wewe na mimi tunaoandikiana hapa, pengine hata hatujui leo tutakula nini. Gwajima amepima upepo, ameona movie inayofuata. That is why ameamua kujihami.
Ukumbuke hata ICU anasema alilazimika kuagiza bunduki ili ajilinde, Pistol yenye risasi 3 na risasi zingine 17 ambazo bunduki yake iliko anajuaGwajima, read between the lines. Mimi na wewe tuendelee kujadili, Pia Gwajima ana hiari ya kuacha kupeleka nyaraka kesho kutwa (tarehe 16 March), Polisi wanajua watakachofanya ili wajiridhishe kuwa Gwajima ni raia mwema.
Ujue pia polisi wa siku hizi ni wasomi, nakutana nao kibao wanasoma sheria na masomo mengine, Maana mimi ni mkufunzi pia katika chuo fulani. naamini Polisi watafuata sheria kabla ya kufika mahakamani. TUNA MASHAKA GANI ? kwanza ni watumishi wa Mungu, TUNAOGOPA NINI ?
I am sorry, I HAVE NOTED NOTHING FROM YOUR ARGUMENT. I ACTUALLY DONT GET WHAT YOU TRY TO ARGUE. EBU FUNGUKA KIDOGO, MAANA NAONA MANENO TU MABAYA KAMA UJINGA, MAUJINGA NK. Unataka kusema nini ? Manake hoja ya msingi ilikuwa ni kuhusu mawakili wa Gwajima kuwaandikia barua Polisi. Nikasema kuwa hiyo fight ni kubwa mno, kwanini asipeleke tu hizo nyaraka, wakazikagua,wakajiridhisha kwamba Gwajima ni raia mwema ? why does he need an advocate katika swala la kuonesha tu vielelezo ? Wajibu wa vyombo vya dola ni pamoja na kuhakikisha kuwa raia wake wanaishi kwa amani. Mimi nina katiba mkononi, sidhani kama vifungu vitakusaidia lolote. Tunajaribu kuongea facts. Hivi kuna ubaya gani kuhojiwa na Polisi ? kuna ubaya gani kutakiwa kuonesha nyaraka kama zipo ? Kama ni dereva, una haja gani ya kuogopa kuonesha kadi ya gari, leseni nk ? mbona tunakaguliwa na tunarudishiwa ?
Kazi ya polisi ni kutuhumu sio ku prove innocence; kama wanavyovigezo waende mahakamani sio kutafuta ushahidi kwa mtuhumiwa na kama watauhitaji ushahidi huo toka kwa mtuhumiwa kuna utaratibu na masharti ya kuuomba. Hakuna cha critical thinking hapo wala cha kufanyia cocktail ya aina yoyote bali ni vifungu tuuu; watu watawale kwa mujibu wa sheria, na kama kifungu kipo si ukitaje au si wamtajie Askofu ili awapatie? Unapokuwapo kituoni una hiari ya kujibu au kukaa kimya sio lazima kuongea au kutoa kielelezo chochote; hiyo ndiyo position ya sheria
Ndugu yangu kilichopo nyuma ya pazia hapa si kingine bali ni katiba pandikizi na hofu ya dola kuanguka katika uchaguzi mkuu ujao; makanisa yanatakiwa yaufyate kwa staili ya mwenzio akinyolewa wewe tia maji. Gwajima akilegeza tu hao wanaojiita sijui umoja gani wa maaskofu gani wote kikaangoni; wala hoja yangu sio kwamba Gwajima yuko sawa kwenye tuhuma zile za msingi shida yangu ni haya yanayoibuliwa tokea kusikojulikana.Unajua wewe na mimi tunajadili tu. That is why mwanzo nilikuomba tutumie maneno mazuri. Mimi niwe wazi tu, nimemfahamu Gwajima kipindi hiki cha msukosuko wake. Sina sababu ya kuwa subjective, najaribu kuangalia flow ya logic tu. Watu (Bishops) wamekaa na wakaja na azimio. Mtu mwingine (Kadinali) akapokea azimio, na yeye akasema anachoona baada ya kulipokea azimio. Mtu mwingine (Gwajima) ametoa matusi, au kama yeye anavyosema amekemea, whatever the language. Tuhuma ya msingi ya Gwajima ni kutukana au kutoa maneno ya kashfa kwa Kadinali.
Mimi sipendi kwenda kwenye vifungu vya sheria, sipendi pia kusema nani ana kosa at this stage. Tuangalie mpira kama unavyopigwa. Mimi nashawishika kuamini kuwa kuna mambo ambayo Polisi wameyaona au kuyagundua wakati wanamhoji kwa mara ya kwanza, au hata kabla ya mahojiano, yanayowapelekea kuhisi kama kuna uovu zaidi ya matusi. Kwa raia ambaye HANA jambo baya lolote analofanya (NI LOGIC TU), angekabidhi nyaraka zote ambazo polisi wameziomba. Kama zingeonekana ni nyaraka halali, hapo Gwajima angejisafisha kabisa na polisi wangekosa neno la kusema.
Ndugu yangu, Polisi tunao kwenye jamii, tunaishi nao, wanaona mambo mengi sana huku mtaani. Ukiona wana suspect kitu ujue wanataarifa kidogo kama 20-50%. Baada ya hayo mashaka, wamepunguza kasi ya kuhoji kuhusu matusi, wameamua kuanza na hayo mengine. Gwajima anajua siri ya mtungi kuliko wewe na mimi tunaoandikiana hapa, pengine hata hatujui leo tutakula nini. Gwajima amepima upepo, ameona movie inayofuata. That is why ameamua kujihami.
Ukumbuke hata ICU anasema alilazimika kuagiza bunduki ili ajilinde, Pistol yenye risasi 3 na risasi zingine 17 ambazo bunduki yake iliko anajuaGwajima, read between the lines. Mimi na wewe tuendelee kujadili, Pia Gwajima ana hiari ya kuacha kupeleka nyaraka kesho kutwa (tarehe 16 March), Polisi wanajua watakachofanya ili wajiridhishe kuwa Gwajima ni raia mwema.
Ujue pia polisi wa siku hizi ni wasomi, nakutana nao kibao wanasoma sheria na masomo mengine, Maana mimi ni mkufunzi pia katika chuo fulani. naamini Polisi watafuata sheria kabla ya kufika mahakamani. TUNA MASHAKA GANI ? kwanza ni watumishi wa Mungu, TUNAOGOPA NINI ?
Nikusaidie tu,if u have well functioning brain,kesi ya Gwajima ipo politically motivated na hauhitaji msaada kuona hilo.Pili docs alizoombwa sio kama lesen na kadi ya gari ambazo tunatembea nazo barabarani.Tatu nikuulize wewe ungeweza kutoa bila maandishi yoyote?Ukijibu maswali yangu nitajua which group you belong nisijekua nafanya argument na div.5
ndugu yangu kilichopo nyuma ya pazia hapa si kingine bali ni katiba pandikizi na hofu ya dola kuanguka katika uchaguzi mkuu ujao; makanisa yanatakiwa yaufyate kwa staili ya mwenzio akinyolewa wewe tia maji. Gwajima akilegeza tu hao wanaojiita sijui umoja gani wa maaskofu gani wote kikaangoni; wala hoja yangu sio kwamba gwajima yuko sawa kwenye tuhuma zile za msingi shida yangu ni haya yanayoibuliwa tokea kusikojulikana.
Kwanza nikusahihishe,pengo alisign waraka na yeye akaja kuwageuka baadae.pili nikuulize ni kifungu gani cha sheria kinawapa polisi power ya kudai hizo docs?Tatu wewe wangekuomba ungepeleka bila maandishi?No wonder this country is not moving forward,umesema wewe ni lecturer?Im questioning your credibility
Polisi walivyo na kimbelembele wangejua kitu chochote nyuma ya pazia juu ya GWAJIMA wangesema haraka sana kama walivyosema kuhusu silaha kwamba haimiliki kihalali wakati si kweli! Mimi namshauri GWAJIMA aendelee kutumia Wakili wake ili amwongoze kila hatua ili angalau itajulikana tu mwisho wa siku kinachotafutwa ni nini na pia itampa nafasi nzuri ya kujiandaa na utetezi!Gwajima yy kiburi, haogopi jeshi la polisi, mahakama wala bunge, na anasema hivyo wakati anajua ana mambo yake nyuma ya pazia akidhani polisi hawajui, sasa polisi wamepata pa kuanzia kufichua maovu yake...