Mawakili wa Gwajima wamwandikia Kova barua

Hitaji la kuonyesha kadi ni hitaji la kisheria; watawala lazima watawale kwa mujibu wa sheria. Mama wa sheria ni katiba ndio mana nahitaji kifungu kilichozaa hiyo sheria ya polisi kuwa ni chombo cha kukagua umiliki na hati za viwanja,kuogopwa, nk. na kama utaalamu huo wanao; vipo vyombo vyenye kazi hiyo lakini sio polisi ndio maana wanasheria lazima waingie ili kujua hiyo sheria inayowapa polisi nguvu hiyo. Hata mahakamani sio kama kila ushahidi unaitishwa tu kiholela ndio mana kuna admissible na inadmissible evidence na kama mshitaki anahitaji ushahidi wa nyaraka zilizoko mikononi mwa mshitakiwa upo utaratibu wa discovery of documents mtu hajifanyii ujinga wake unavyomtuma. Hta hivyo hoja yangu ilihusu usemi wako wa kulalia kwenye usemi wa Askofu kusema haogopi; ndio mana nikasema wajibu wa raia ni kutii sheria na si kuogopa; definition ya kutii na kuogopa ni vitu viwili tofauti. Hata ndani kwako ukiwawekea watoto sheria ambazo wewe baba huzitii inakuwa shida ndio mana pamoja na boss kujiwekea sheria kadi ya gari kukaguliwa ni lazima na yeye pia akubali kuitii bali sio kutii vitu ambavyo havipo kwa mujibu wa sheria.For your info mine isn't an arguement but rather a contention sort of thing.

Unajua wewe na mimi tunajadili tu. That is why mwanzo nilikuomba tutumie maneno mazuri. Mimi niwe wazi tu, nimemfahamu Gwajima kipindi hiki cha msukosuko wake. Sina sababu ya kuwa "subjective", najaribu kuangalia flow ya logic tu. Watu (Bishops) wamekaa na wakaja na azimio. Mtu mwingine (Kadinali) akapokea azimio, na yeye akasema anachoona baada ya kulipokea azimio. Mtu mwingine (Gwajima) ametoa matusi, au kama yeye anavyosema "amekemea", whatever the language. Tuhuma ya msingi ya Gwajima ni kutukana au kutoa maneno ya kashfa kwa Kadinali.

Mimi sipendi kwenda kwenye vifungu vya sheria, sipendi pia kusema nani ana kosa at this stage. Tuangalie mpira kama unavyopigwa. Mimi nashawishika kuamini kuwa kuna mambo ambayo Polisi wameyaona au kuyagundua wakati wanamhoji kwa mara ya kwanza, au hata kabla ya mahojiano, yanayowapelekea kuhisi kama kuna uovu zaidi ya matusi. Kwa raia ambaye HANA jambo baya lolote analofanya (NI LOGIC TU), angekabidhi nyaraka zote ambazo polisi wameziomba. Kama zingeonekana ni nyaraka halali, hapo Gwajima angejisafisha kabisa na polisi wangekosa neno la kusema.

Ndugu yangu, Polisi tunao kwenye jamii, tunaishi nao, wanaona mambo mengi sana huku mtaani. Ukiona wana "suspect" kitu ujue wanataarifa kidogo kama 20-50%. Baada ya hayo mashaka, wamepunguza kasi ya kuhoji kuhusu matusi, wameamua kuanza na hayo mengine. Gwajima anajua siri ya mtungi kuliko wewe na mimi tunaoandikiana hapa, pengine hata hatujui leo tutakula nini. Gwajima amepima upepo, ameona movie inayofuata. That is why ameamua kujihami.

Ukumbuke hata ICU anasema alilazimika kuagiza bunduki ili ajilinde, Pistol yenye risasi 3 na risasi zingine 17 ambazo bunduki yake iliko anajuaGwajima, read between the lines. Mimi na wewe tuendelee kujadili, Pia Gwajima ana hiari ya kuacha kupeleka nyaraka kesho kutwa (tarehe 16 March), Polisi wanajua watakachofanya ili wajiridhishe kuwa Gwajima ni raia mwema.

Ujue pia polisi wa siku hizi ni wasomi, nakutana nao kibao wanasoma sheria na masomo mengine, Maana mimi ni mkufunzi pia katika chuo fulani. naamini Polisi watafuata sheria kabla ya kufika mahakamani. TUNA MASHAKA GANI ? kwanza ni watumishi wa Mungu, TUNAOGOPA NINI ?
 
Mkuu Buchanan umewahi kusoma kitabu "The dark side of Julius Nyerere" nadhani kuna soft copy hapa JF unaweza kupitia kuna sehemu Marehemu Sheikh Yahaya alijionyesha akifanya kazi za usalama wewe na mimi tunalidhani ana kazi ya utabiri tu kumbe alikuwa na kazi nyingine kubwa.

Nimemfuatilia sana Kardinali Pengo tangu mfumo wa vyama vingi ulipoanza kufanyakazi alitumika sana kummaliza Augustine Mrema wakati uleeee tatizo waTanzania hatuna kumbukumbu nzuri.Kazi anayoifanya Pengo ni maagizo maalumu toka ofisi maalumu na kwasababu maalumu.

Kardinal Pengo safari hii katumika vibaya pengine uzee umemjia vibaya tusimlaumu hizo ni dalili za utuuzima.

Can you put down what EXACTLY Pengo said ? Usisahau pia kuandika alichosema Gwajima ili sisi tusiojua tuweze kulinganisha.
 
Unajua wewe na mimi tunajadili tu. That is why mwanzo nilikuomba tutumie maneno mazuri. Mimi niwe wazi tu, nimemfahamu Gwajima kipindi hiki cha msukosuko wake. Sina sababu ya kuwa “subjective”, najaribu kuangalia flow ya logic tu. Watu (Bishops) wamekaa na wakaja na azimio. Mtu mwingine (Kadinali) akapokea azimio, na yeye akasema anachoona baada ya kulipokea azimio. Mtu mwingine (Gwajima) ametoa matusi, au kama yeye anavyosema “amekemea”, whatever the language. Tuhuma ya msingi ya Gwajima ni kutukana au kutoa maneno ya kashfa kwa Kadinali.

Mimi sipendi kwenda kwenye vifungu vya sheria, sipendi pia kusema nani ana kosa at this stage. Tuangalie mpira kama unavyopigwa. Mimi nashawishika kuamini kuwa kuna mambo ambayo Polisi wameyaona au kuyagundua wakati wanamhoji kwa mara ya kwanza, au hata kabla ya mahojiano, yanayowapelekea kuhisi kama kuna uovu zaidi ya matusi. Kwa raia ambaye HANA jambo baya lolote analofanya (NI LOGIC TU), angekabidhi nyaraka zote ambazo polisi wameziomba. Kama zingeonekana ni nyaraka halali, hapo Gwajima angejisafisha kabisa na polisi wangekosa neno la kusema.

Ndugu yangu, Polisi tunao kwenye jamii, tunaishi nao, wanaona mambo mengi sana huku mtaani. Ukiona wana “suspect” kitu ujue wanataarifa kidogo kama 20-50%. Baada ya hayo mashaka, wamepunguza kasi ya kuhoji kuhusu matusi, wameamua kuanza na hayo mengine. Gwajima anajua siri ya mtungi kuliko wewe na mimi tunaoandikiana hapa, pengine hata hatujui leo tutakula nini. Gwajima amepima upepo, ameona movie inayofuata. That is why ameamua kujihami.

Ukumbuke hata ICU anasema alilazimika kuagiza bunduki ili ajilinde, Pistol yenye risasi 3 na risasi zingine 17 ambazo bunduki yake iliko anajuaGwajima, read between the lines. Mimi na wewe tuendelee kujadili, Pia Gwajima ana hiari ya kuacha kupeleka nyaraka kesho kutwa (tarehe 16 March), Polisi wanajua watakachofanya ili wajiridhishe kuwa Gwajima ni raia mwema.

Ujue pia polisi wa siku hizi ni wasomi, nakutana nao kibao wanasoma sheria na masomo mengine, Maana mimi ni mkufunzi pia katika chuo fulani. naamini Polisi watafuata sheria kabla ya kufika mahakamani. TUNA MASHAKA GANI ? kwanza ni watumishi wa Mungu, TUNAOGOPA NINI ?

Kwanza nikusahihishe,pengo alisign waraka na yeye akaja kuwageuka baadae.pili nikuulize ni kifungu gani cha sheria kinawapa polisi power ya kudai hizo docs?Tatu wewe wangekuomba ungepeleka bila maandishi?No wonder this country is not moving forward,umesema wewe ni lecturer?Im questioning your credibility
 
I am sorry, I HAVE NOTED NOTHING FROM YOUR ARGUMENT. I ACTUALLY DON’T GET WHAT YOU TRY TO ARGUE. EBU FUNGUKA KIDOGO, MAANA NAONA MANENO TU MABAYA KAMA “UJINGA”, “MAUJINGA” NK. Unataka kusema nini ? Manake hoja ya msingi ilikuwa ni kuhusu mawakili wa Gwajima kuwaandikia barua Polisi. Nikasema kuwa hiyo fight ni kubwa mno, kwanini asipeleke tu hizo nyaraka, wakazikagua,wakajiridhisha kwamba Gwajima ni raia mwema ? why does he need an advocate katika swala la kuonesha tu vielelezo ? Wajibu wa vyombo vya dola ni pamoja na kuhakikisha kuwa raia wake wanaishi kwa amani. Mimi nina katiba mkononi, sidhani kama vifungu vitakusaidia lolote. Tunajaribu kuongea facts. Hivi kuna ubaya gani kuhojiwa na Polisi ? kuna ubaya gani kutakiwa kuonesha nyaraka kama zipo ? Kama ni dereva, una haja gani ya kuogopa kuonesha kadi ya gari, leseni nk ? mbona tunakaguliwa na tunarudishiwa ?

Nikusaidie tu,if u have well functioning brain,kesi ya Gwajima ipo politically motivated na hauhitaji msaada kuona hilo.Pili docs alizoombwa sio kama lesen na kadi ya gari ambazo tunatembea nazo barabarani.Tatu nikuulize wewe ungeweza kutoa bila maandishi yoyote?Ukijibu maswali yangu nitajua which group you belong nisijekua nafanya argument na div.5
 
Kazi ya polisi ni kutuhumu sio ku prove innocence; kama wanavyovigezo waende mahakamani sio kutafuta ushahidi kwa mtuhumiwa na kama watauhitaji ushahidi huo toka kwa mtuhumiwa kuna utaratibu na masharti ya kuuomba. Hakuna cha critical thinking hapo wala cha kufanyia cocktail ya aina yoyote bali ni vifungu tuuu; watu watawale kwa mujibu wa sheria, na kama kifungu kipo si ukitaje au si wamtajie Askofu ili awapatie? Unapokuwapo kituoni una hiari ya kujibu au kukaa kimya sio lazima kuongea au kutoa kielelezo chochote; hiyo ndiyo position ya sheria

Hakika wewe unaijua sheria,mimi nategemea kova apeleke kesi hyo mahakamani kama anao ushahidi na sio kutafuta ushahidi kutoka kwa mtu anayemtuhum,anataka kufanya kazi ya mahakama ili kuwafurahisha akina pinda,hakika wataanguka wote mda si mrefu,oktoba hiyo.
 
Unajua wewe na mimi tunajadili tu. That is why mwanzo nilikuomba tutumie maneno mazuri. Mimi niwe wazi tu, nimemfahamu Gwajima kipindi hiki cha msukosuko wake. Sina sababu ya kuwa “subjective”, najaribu kuangalia flow ya logic tu. Watu (Bishops) wamekaa na wakaja na azimio. Mtu mwingine (Kadinali) akapokea azimio, na yeye akasema anachoona baada ya kulipokea azimio. Mtu mwingine (Gwajima) ametoa matusi, au kama yeye anavyosema “amekemea”, whatever the language. Tuhuma ya msingi ya Gwajima ni kutukana au kutoa maneno ya kashfa kwa Kadinali.

Mimi sipendi kwenda kwenye vifungu vya sheria, sipendi pia kusema nani ana kosa at this stage. Tuangalie mpira kama unavyopigwa. Mimi nashawishika kuamini kuwa kuna mambo ambayo Polisi wameyaona au kuyagundua wakati wanamhoji kwa mara ya kwanza, au hata kabla ya mahojiano, yanayowapelekea kuhisi kama kuna uovu zaidi ya matusi. Kwa raia ambaye HANA jambo baya lolote analofanya (NI LOGIC TU), angekabidhi nyaraka zote ambazo polisi wameziomba. Kama zingeonekana ni nyaraka halali, hapo Gwajima angejisafisha kabisa na polisi wangekosa neno la kusema.

Ndugu yangu, Polisi tunao kwenye jamii, tunaishi nao, wanaona mambo mengi sana huku mtaani. Ukiona wana “suspect” kitu ujue wanataarifa kidogo kama 20-50%. Baada ya hayo mashaka, wamepunguza kasi ya kuhoji kuhusu matusi, wameamua kuanza na hayo mengine. Gwajima anajua siri ya mtungi kuliko wewe na mimi tunaoandikiana hapa, pengine hata hatujui leo tutakula nini. Gwajima amepima upepo, ameona movie inayofuata. That is why ameamua kujihami.

Ukumbuke hata ICU anasema alilazimika kuagiza bunduki ili ajilinde, Pistol yenye risasi 3 na risasi zingine 17 ambazo bunduki yake iliko anajuaGwajima, read between the lines. Mimi na wewe tuendelee kujadili, Pia Gwajima ana hiari ya kuacha kupeleka nyaraka kesho kutwa (tarehe 16 March), Polisi wanajua watakachofanya ili wajiridhishe kuwa Gwajima ni raia mwema.

Ujue pia polisi wa siku hizi ni wasomi, nakutana nao kibao wanasoma sheria na masomo mengine, Maana mimi ni mkufunzi pia katika chuo fulani. naamini Polisi watafuata sheria kabla ya kufika mahakamani. TUNA MASHAKA GANI ? kwanza ni watumishi wa Mungu, TUNAOGOPA NINI ?
Ndugu yangu kilichopo nyuma ya pazia hapa si kingine bali ni katiba pandikizi na hofu ya dola kuanguka katika uchaguzi mkuu ujao; makanisa yanatakiwa yaufyate kwa staili ya mwenzio akinyolewa wewe tia maji. Gwajima akilegeza tu hao wanaojiita sijui umoja gani wa maaskofu gani wote kikaangoni; wala hoja yangu sio kwamba Gwajima yuko sawa kwenye tuhuma zile za msingi shida yangu ni haya yanayoibuliwa tokea kusikojulikana.
 
Nikusaidie tu,if u have well functioning brain,kesi ya Gwajima ipo politically motivated na hauhitaji msaada kuona hilo.Pili docs alizoombwa sio kama lesen na kadi ya gari ambazo tunatembea nazo barabarani.Tatu nikuulize wewe ungeweza kutoa bila maandishi yoyote?Ukijibu maswali yangu nitajua which group you belong nisijekua nafanya argument na div.5

Let's assume wewe ni msomi na unafanya argument na DIV 5 (Yaani mimi). Tatizo lako ni kufikiri kuwa mtu mwenye akili nzuri na aliyeendashule ni Yule tu anayekubaliana na wewe kwa 100%, which is wrong. Tarehe16/04/2015 siyo mbali, na bahati nzuri Gwajima ametamka kuwa hatatoa documentshizo mpaka aandikiwe barua. May I ask you, Hiyo barua inahitaji dakika ngapikuandikwa ? Let's wait and see. Ukiniponda au ukinidharau, haisaidii maana haitaongezawala kupunguza kitu chochote kwenye kesi ya Gwajima. Wote, humu Jamii Forumstunajadili tu, hakuna ambaye yuko perfect, na hatuna majibu kamili kwa kesi ya Gwajima. ELEWA PIA Ikiwa wewe unajua hili, wengine wanajua lingine.Wengine hatukufundishwa kudharau watu, kuwaona hawana akili nk. Tulifundishwakuuliza, kusikiliza, kuhoji, kutoa mawazo yetu/kuchangia. Inaweza kuwa ni kesiya kisiasa kama unavyosema, au inasukumwa na mambo ya kisiasa, hapo ilipofikiasasa inahitaji busara za pande zote mbili, vifungu vya sheria vitasaidia tukuondoa utata na kurahisisha mchakato mzima. Nikirudi kwenye swali lako, kamaraia mwema, mimi ningepeleka documents hizo nikiwa na mashahidi, mwanasheria namtu mwingine yeyote ambae ningependa aone, ili kuweka kumbukumbu sawa, naningepeleka Copy na original, na ningeomba original zangu zote nirudishiwebaada ya kukaguliwa na photocopy zote ziwe cirtified. Hayo ni maoni tu. Gwajimaapelike documents, baada ya kupewa barua na hata bila kupewa barua.

ndugu yangu kilichopo nyuma ya pazia hapa si kingine bali ni katiba pandikizi na hofu ya dola kuanguka katika uchaguzi mkuu ujao; makanisa yanatakiwa yaufyate kwa staili ya mwenzio akinyolewa wewe tia maji. Gwajima akilegeza tu hao wanaojiita sijui umoja gani wa maaskofu gani wote kikaangoni; wala hoja yangu sio kwamba gwajima yuko sawa kwenye tuhuma zile za msingi shida yangu ni haya yanayoibuliwa tokea kusikojulikana.

i got you very well, have a nice day
 
Kwanza nikusahihishe,pengo alisign waraka na yeye akaja kuwageuka baadae.pili nikuulize ni kifungu gani cha sheria kinawapa polisi power ya kudai hizo docs?Tatu wewe wangekuomba ungepeleka bila maandishi?No wonder this country is not moving forward,umesema wewe ni lecturer?Im questioning your credibility

Angele007, Please, hapa tunajaribu tu kubadilishana mawazo,wala mawazo yetu hayawezi kumsaidia lolote Gwajima. Mwanzo umeniweka kwenyekundi la Div.5, Nimekubali, Hapa unasema tena kwa kimombo YOU QUESTION MYCREDIBILITY, nimekubali ! pokea tu ahadi toka kwangu kuwa SITAKUDHARAU WALAKUPUUZA MCHANGO WAKO HAPA JF. Naamini wote wanaoingia hapa wana mawazo mazurisana, japo pia natambua kuwa mawazo hayo yanaweza kutofautiana kwa kiwango Fulani,hii inatokana na kuwa wote tuna background tofauti tofauti. Wengine ni wazee, wengine ni vijana, wengine tumesomea social scienceswengine pure sciences, wengine Lugha nk. Asiyebobea katika sheria atakuwaamebobea katika fani nyingine. Lakini haya sio ya muhimu sana hapa, Ukitoahoja, kama ina mashiko, hata usiponidharau, NITAKUELEWA TU. Kwenye post namba89, nimekujibu kidogo. Naomba uchukulie huo kama mchango wangu mimi ambaeuelewa wangu ni mdogo. Then wewe mwenye uelewa mkubwa watakupima watu wengineambao mko kiwango kinachofanana. Kuhusu Pengo kusaini au kutosain tamko laBishops, bado ni utata, that is why Gwajima ameombwa apeleke TAMKO hilo ambaloKadinali amesain pamoja na Maaskofu wengine. Do we really need to argue on that?Do we need to use some abusive languages?

Gwajima yy kiburi, haogopi jeshi la polisi, mahakama wala bunge, na anasema hivyo wakati anajua ana mambo yake nyuma ya pazia akidhani polisi hawajui, sasa polisi wamepata pa kuanzia kufichua maovu yake...
Polisi walivyo na kimbelembele wangejua kitu chochote nyuma ya pazia juu ya GWAJIMA wangesema haraka sana kama walivyosema kuhusu silaha kwamba haimiliki kihalali wakati si kweli! Mimi namshauri GWAJIMA aendelee kutumia Wakili wake ili amwongoze kila hatua ili angalau itajulikana tu mwisho wa siku kinachotafutwa ni nini na pia itampa nafasi nzuri ya kujiandaa na utetezi!

Sijajua ni kwa nini Polisi wanaenda kupata ushauri kwa wanasheria wa Serikali ili wajue kwamba nyaraka zinaombwa kwa barua au la! This is strange!
 
Neno la Mungu linasema usiogope,sasa kwanini Gwajima aogope?

Ndio maana sasa akasema siogopi,bunge,mahakama,wala chochote

Pia Gwajima ni mtu wa namna yake,sii kama watu wengine kabisa,kwanini nasema ivi?

Kwa hili jambo ambavyo lilikuwa laiti kama angekuwa mtu mwingine angekuwa amruliwa na serikali au hata kufa yeye mwenyewe,kwa maana hakuna mtu anaye weza kushindana na serikali kiasi hii cha Gwajima,na haija wahi kutokea hapa Tz
 
Back
Top Bottom