Pascal Ndege
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 2,977
- 1,897
Kuna kosa la uhujumu na Pesa chafu pia niweza pelekea kuombwa vitu hivyo KWA ajili ya Usalama wa nchi
Ignorance and stupidity at its best level,hivi kweli tutaendelea kwa kua na type ya watu kama wewe?Think outside the box.
Kova na team yake uzee unawajia vibaya,nasi wawaandikie barua kina kakobe,lusekelo,mwingira,nabii flora na mwakasege wapeleke nao vielelzo hivyo.
Ngoja tusubiri. Au hana nyaraka nn. Si apekeke yaishe....
Kwani Pengo ndio "dola?"
...yupo sawa hupaswi kuogopa taasisi zilizowekwa kwaajili ya kutenda haki. Kwanini ziogopwe kwani zimekuwa magaidi ? Kimsingi hata rais anapaswa kuheshimiwa na sio kuogopwa...
Nyaraka alizoatakiwa apeleke ziba uhusiano gani na shutuma za kimsingi?
Apeleke nyaraka kwa kifungu kipi cha sheria?
Nyinyi ndio hata polisi wakikohoa tu mnazimia, mwishowe watawamuru muwape wake zenu ebo!
Mwambie asipekeke maana yeye kidume! Pia asiende akiitwa maana hakuna sheria! Hao wanaozitaka wana maana nazo. Wewe ni mshabiki tu
Akipeleka hizo nyaraka ataambiwa apeleke tena nyaraka zinazohusu mahari aliyotoa wakati anaoa! Ni afadhali waseme wanahitaji nyaraka hizo kwa mujibu wa Sheria gani ili tuhuma zieleweke! Pia awe anaitwa kwa barua na sio kujipeleka tu kwa kusikia tu kwenye vyombo vya habari!
Kova na team yake uzee unawajia vibaya,nasi wawaandikie barua kina kakobe,lusekelo,mwingira,nabii flora na mwakasege wapeleke nao vielelzo hivyo.
Gwajima yy kiburi, haogopi jeshi la polisi, mahakama wala bunge, na anasema hivyo wakati anajua ana mambo yake nyuma ya pazia akidhani polisi hawajui, sasa polisi wamepata pa kuanzia kufichua maovu yake...
Hakuna bosi anayeweza kuogopa vyombo alivyounda mwenyewe vimtumikie; hivi ni kifungu gani cha katiba kinachosema raia waogope polisi, mahakama na bunge au dola kwa mfumo wowote?Yeye SIO DOLA, that is why baada ya kutukanwa amekaa kimya. Gwajima kwa mdomo wake alisema haogopi DOLA: haogopi Polisi, haogopi mahakama na wala haogopi Bunge...That is what he said, kumbe wakili wa nini ?