Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,231
- 113,591
Mi nilidhani South Beach ya MIA....kumbe south beach ya bongonyoso.
Mi nilidhani South Beach ya MIA....kumbe south beach ya bongonyoso.
sina uhakika lakini nyumba hizi anaweza kukaa yeyote ili mradi anaweza kulipa pango au anaweza kununua, nimeikuta hii huko huko likoulizwa swali linafanana na la kwako jibu lilikua hivi
(Even the same type vary because each house has a different owner but generally rent starts from USD 600-1,000 for the 2 bedroom house.)
Ukategemea kuona watoto wakijiachia spring break sio lool.
Kidogo kidogo tunaelekea huko.
Wee acha ndugu yangu. Niliifungua thread kwa bonge la shauku nikitegemea ntakutana na totoz za ukweli. Badala yake nakutana na vijumba.....hovyo kabisa
Iko poa! Lakini vipi umelipia hili tangazo? Rifanye hima kabura sija riarest riingize pesa kwenye riaccount No. TISS 07777111
Mzee naona umezoea kuona vitu kama hivi huko South Beach ya ukweli sio!.
New home: Tiger Woods is preparing to move into this new mansion in Jupiter, Florida
Mzee naona umezoea kuona vitu kama hivi huko South Beach ya ukweli sio!.
New home: Tiger Woods is preparing to move into this new mansion in Jupiter, Florida
mkuu hizi ndoto zako unaotaga sijui utazinduka lini teh tehMi nilidhani South Beach ya MIA....kumbe south beach ya bongonyoso.
mkuu hizi ndoto zako unaotaga sijui utazinduka lini teh teh
haha, basi hapo mwandishi kafanikiwa kuivuta hadhira, niliweka picha kuhusu majiji ya afrika mashariki, lilidoda, lakini jana baada ya kuandika mavituz ya souch beach, ndani ya lisaa kulikua na watu kama mia wameshaangalia, ila lile la majiji lilichukua siku mbili na zaidi kufikia watu mia, teh teh.Wee acha ndugu yangu. Niliifungua thread kwa bonge la shauku nikitegemea ntakutana na totoz za ukweli. Badala yake nakutana na vijumba.....hovyo kabisa
Hakika ni Kweli usiseme "Twafa" sema "Nafa"mwe!!!!!!! kwa hiyo hizi ni nyumba za watu sio (riz1) na wanazikodisha tu sio? duh!! kweli hapa bongo kama wewe ni maskini ni wewe tu na ndugu zako